Kuharibu Mali za Umma au za mtu yeyote sio njia nzuri ya kufanya demonstration.
Hizi Mali za Umma, ni kodi zetu ndio zinatumika kujenga.
KWa akili ya kawaida tuu kituo cha mwendokasi au kituo cha polisi hakuna faida yoyote ukikichoma moto, zaidi ya hasara.
Maandamano kwa watu waliostarabika...