mwilini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SI KWELI Kidonge kikianguka chini hupoteza uwezo wa kufanya kazi mwilini

    Hivi ni kweli kuwa kidonge kikianguka chini i.e sakafuni kinakuwa hakina uwezo tena wa kufanya kazi yake mwilini pale kinapomezwa?
  2. M

    Kuna madhara nyuzi za tohara zinapobaki mwilini kwa muda mrefu? (Miaka 13)

    Maana japo ni muda ila zile nyuzi hazijatoka japo hospitali walisema zitaoza Na kutoka zenyewe. Zimepelekea mpaka chini ya kicha cha uume kuwa kugumu kiasi maana nyuzi zipo ngangali pale zilipoweka Na sasa ni zaidi ya miaka 13. Je kuna madhara kwenda kuzitoa wakuu? Au zinapobaki haziwezi leta...
  3. F

    Dawa ya kuondoa makovu sugu mwilini

    Mambo vipi, Naomba kujua kama kuna dawa ya kuondoa kovu, nilipata ajali ya boda nikapiga uso baada ya kupona nikabaki na kovu Je, kuna dawa ya kuondoa hilo kovu na kama ipo inaitwaje ili niitafute? Natanguliza shukrani.
  4. Kwanini wanawake na mabinti wengi wana vipelepele na makovu mwilini hasa kwenye makalio?

    Hii kero imezidi sijui ni mimi nakutana nao wa aina hii au ni mnyumbuliko kwa ujumla wake, ni aibu sana unakuta mdada au binti kasura kazuri kana kishepu, salale ikija kwenye kiota cha mnyanduo vipele na makovu kama yote, kwenye makalio ndio usiseme ni hatari. Mimi na kinyaa changu naahirisha...
  5. KWELI Baadhi ya Dawa za kutibu Malaria zinaweza kusababisha mzio mwilini, ikiwemo Kuchubuka Uume na Midomo

    Mdau wa JamiiForums analalamika kuwa alitumia dawa za kutibu Ugonjwa wa Malaria zinazoitwa EKELFIN ambazo baadaye zilimsababishia kupatwa na mchubuko sehemu za siri na midomoni. Anashangaa kwanini Serikali haitoi taarifa kwa watumiaji juu ya madhara ya dawa hizi kwa binadamu. Ni kweli kuwa...
  6. Aishi na risasi 3 mwilini kwa miaka 11 baada Muhimbili na Bugando kutomfanyia upasuaji

    Julai 6 mwaka 2011 ni siku ambayo hatoisahaulika kwa Kulwa Makasi (32) baada ya kupigwa risasi tatu, moja kichwani, mgongoni na kwenye paja la kulia anazoishi nazo kwa miaka 11 sasa. Mkazi huyo wa Shibula jijini Mwanza kwa sasa anatembea kwa kiti maalum kutokana na ulemavu alioupata baada ya...
  7. SI KWELI Ulaji wa Limao na Ndimu husababisha upungufu wa Damu Mwilini

    Baadhi ya jamii huamini kuwa ulaji wa limao na ndimu husababisha upungufu wa damu mwilini. Uvumi huu uliosambaa kwenye maeneo mengi hutoa maonyo makali hasa kwa watoto na wanawake wenye ujauzito wanaojaribu kutumia matunda haya. Je, ni kweli kuwa matunda haya hukausha damu mwilini?
  8. Naomba kufahamu aina ya lotion, cream au mafuta yanayofaa kwa ajili ya kuondoa madoa mwilini na yasiyochubua yaani kuondoa rangi ya asili

    Naomba kufahamu aina ya lotion, cream au mafuta yanayofaa kwa ajili ya kuondoa madoa mwilini na yasiyochubua yaani kuondoa rangi ya asili. Pia naomba kufahamu kwa matumizi ya cream kama goldie pearlybeauty cream ni nzuri kwa matumizi ya rangi nyeusi.
  9. Japokuwa Madini ya Zinc huhitajika kwa kiasi kidogo mwilini yana faida kubwa sana kiafya

    Madini ya zinc huhitajika kwa kiasi kidogo mwilini lakini huwa na faida kubwa sana kwa afya. Kwa mujibu wa National Institutes of Health, wanawake wenye umri wa miaka 19 na kuendelea huhitaji kiasi cha 8 mg kila siku huku wanaume wakihitaji kiasi cha 11 mg. Wakati wa ujauzito na unyonyeshaji...
  10. N

    SoC02 Afya: Tango na faida zake mwilini

    Mara kadhaa tumekua tukitumia Tango kama moja ya matunda yetu. Lakini je umepata kujua kazi za Tango mwilini? Makala hii itaangazia faida kedekede za Tango katika mwili wa binadamu. Wengi wetu tumekua tukila matunda kwa kupenda ladha yake lakini hatujapata bahati ya kujua kwa undani faida za...
  11. Chukua hatua kwa uvimbe wowote unaotokea mwilini.

    Ukuaji wa tishu mpya mwilini (Neoplasia) ni uvimbe usio wa kawaida ambao ukuaji wake haujaratibiwa na tishu za kawaida na huendelea kuleta mabadiliko. Mara nyingi vimbe hizi hujulikana kama ''tumour''. Utafiti na uchunguzi wa vimbe mpya mwilini (oncology) ndio hubainisha kama vimbe hiyo ni...
  12. M

    Msaada: Nahisi mwilini nina sumu

    Habari zenu wanajamvi, naandika haya nikiwa nahofu kutokana na hali ninayohisi; nahisi mwili kupungua mwilini, nahisi baridi tofauti na awali bila mabadiliko ya hali ya hewa. Nilishawahi kuleta Uzi humu jukwaani kuhusu maswaiba ya kazini na mauzauza kisa cheo, Sasa nahisi nimelishwa kitu...
  13. H

    Naomba kujuzwa tiba ya Uric Acid nyingi mwilini

    Habari ya leo wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema. Ningependa nipate msaada wenu kwa kunifahamisha dawa au tiba ya Uric acid nyingi mwilini. Natanguliza shukrani
  14. Tatizo la kutokwa Jasho lisilo la kawaida katika sehemu mbalimbali za mwili (Hyperhydrosis)- Fahamu Chanzo, tiba, ushauri

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI --- --- UFAFANUZI WA JUMLA WA TATIZO HILI Tatizo la kutokwa ana jacho mwilini, mikononi na miguuni: Ugonjwa huo unaitwa HYPERHIDROSIS. Kawaida tunatoka jasho ili kuupoza mwili.Mwili unapokuwa na joto nervesystem inatuma ujumbe...
  15. Nimechoka kutembea na mizigo isiyo ya lazima mwilini mwangu

    Baada ya jana kurudi nimechoka sana nyumbani, nikaanza kuwaza kwanini nafika nmechoka nyumbani ilihali sikuwa na kitu cha maana nilichokifanya wala kubeba mzigo wowote. Nikasema nuvue kila kitu ili mwili upate hewa vizuri, ndipo nikagundua kuna mizigo binadamu tunaibeba kila siku na inatuchosha...
  16. Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

    Jambo watanzania wenzangu!! Katika kubadilishana maarifa ninaomba kuulizwa chochote juu ya dawa asili za mimea na mitishamba katika kutibu magonjwa mbalimbali. NB: Maswali hayo yasihusishe ramli na mambo ya kishirikina, ama mambo dhahania, maswali yajielekeze katika magonjwa ya kila siku...
  17. Zipi dalili za mtu aliyepungukiwa sukari mwilini ?

    Naomba kujua dalili za mtu alipungukiwa sukari mwilini kabisa. Asanteni
  18. N

    Hivi hakuna njia nyingine ya kupunguza Vitambi/Mafuta mwilini?

    Wataalam Nimekuwa nikijiuliza hivi imeshindikana kweli kufanya surgery ya kuondoa mafuta toka kwenye tumbo? Mi naona jinsi yalivyojirundika sehemu moja tumboni kama mnavyotuaminisha kupitia michoro yenu nk ni kazi rahisi zaidi kama imewezekana kuzalisha mwanamke kwa kisu? Badala ya sijui...
  19. C

    Pata huduma ya Kusafisha tumbo. Kile unachokula ndicho kinachokuja kuwa sumu mwilini kwako !

    Copy & Paste kutoka kwenye hii link ya Group la WhatsApp. Safisha tumbo lako mara kwa mara ili uboreshe afya yako. Afya yako ni mali zaidi ya mali yako! Chanzo kikuu cha magonjwa mengi ni matokeo ya chakula tunachokula kugeuka kuwa sumu mwilini. Ndio maana Watalaam wa afya wanahimiza sana...
  20. J

    Chanjo ya COVID-19 haisababishi usumaku mwilini

    CHANJO YA COVID19 HAISABABISHI USUMAKU MWILINI Kituo cha CDC kinasema chanjo ya COVID19 haisababishi mwili au sehemu ya mwili iliyochomwa sindano kutengeneza nguvu ya usumaku Chanjo hizo hazina viambata vyovyote vyenye asili ya chuma ====== Can receiving a COVID-19 vaccine cause you to be...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…