mwijaku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    Hivi Mwijaku unataka kusema wewe unaifahamu game na majiji hapa Tz mpaka Dudu baya

    Mtu umetoka zako kijijini ukafika chuo juzi leo unataka kujiona kama umezaliwa DSM. wanaomsikiliza Mwijaku naona akili zenu zipo sawa naye.
  2. Mhaya

    Mwijaku aachwa na Mke Kisa UZINZI

    Moja wa influencers maarufu nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la Mwemba Burton a.k.a Mwijaku au Jaku Boy amejikuta katika njia panda baada ya kuchwa mke wake Alice ambaye walibahatika kupata mtoto mmoja anayejulikana kwa jina la Marichui. Kupitia chapisho la Instagram, aliyekuwa mke wa...
  3. Ex Spy

    Mwijaku na “Wema wa Mama” wakimbia nchi, wanahofia nini?

    Wema ‘wa Mama’ ameelekea South Africa, na ameenda jana Disemba 7 na taarifa za aliko tunazo. Mwijaku yeye katimkia Dubai juzi Disemba 6. Na aliko taarifa zake pia tunazo. Sasa hawa watetezi wa Mama kwanini wanaondoka dakika za lala salama?
  4. ChekoFagia

    PostGE2025 Mwijaku: Umoja wa Ulaya utapigwa na viherere vyao. Afrika tunajua kujisimamia

    Kutoka kwenye ukurasa rasmi wa DC Mwijaku, ameshiriki kipande cha video akisindikiza na maneno haya katika sehemu ya maelezo: “Vile Umoja wa Ulaya utakapopigwa kwa vihele hele vyao. We are Africa na tunajua kujisimamia.”
  5. K

    Mwijaku kasema hawa watu wazuri

    Je Mwijaku anatakiwa kutembelewa na kumjulia hali tarehe 9 December?
  6. Mafyangula

    Mwijaku: Tumeshamaliza uchaguzi, tuijenge nchi yetu na tusamehane

    Huyu kichwa maji Mwijaku na huo upara wake kama ugali wa moto anaendelea kujibaraguza tu hapa! Yani anaendelea kutia hasira sana. NDugu zangu uchaguzi umekwisha na sasa tuijenge nchi yetu najuwa tuna hasira, chuki, tunamaumivu ila tusamehane, Tulipokesea sisi mtusamehe na tuijenge nchi yetu...
  7. The Mongolian Savage

    GE2025 Mwijaku amefuta post zote za Samia na CCM Instagram yake

    The national disgrace kubwajinga Mwijaku kafuta posti zote za mama na CCM kwenye ukurasa wake wa Facebook na Instagram
  8. Its Tesha

    Unakubalije kushauriwa na Mwijaku, maandamano vyokooo!!!

    Mwijaku maarufu CHAWA wa CCM anataka vijana wasiandamane yeye kama nani jamaa ana mambo ya hovyo kawaida huyu ni mnufaika wa mfumo.
  9. GENTAMYCINE

    Mwijaku: Tokea Fred Vunjabei aweke Jezi mpya za Yanga zilidoda ila tangia aweke Jezi mpya za Simba anauza hadi anachoka kupokea Pesa

    Yaani Jezi zitengenezwe Italia zisiuzike halafu zile zilizotengenezwa Tandahimba na kupigwa Chapa Tandale ndiyo ziuze?
  10. Auto-Marvelt

    Wamataizy: Nimeumia sana kumuona kwenye interview ya Mwijaku

    Nyota ya mtu inaweza kufifia lakini bado kuna watu wataendelea kuithamini na kuiona ni nyota bora kuliko zote. Amonaizy Wamataizy ni jina maarufu sana mkoa wa Kigoma hususani wilaya ya Kasulu. Binafsi nimemfahamu 2009 kipindi nafanya kazi kambi ya shirika la GTZ, ngoma yake ya kwanza inaitwa Ua...
  11. McLaren

    Tumefika pabaya, Chawa kama Mwijaku kutembea na vimulimuli vya kwenye gari za polisi au gari za escort ina maana gani?

    Wakuu, Hii picha mmeiona? Hivi vimulimuli ambavyo naviona kwenye hili gari la Mwijaku vinamaanisha nini? Au sio vimulimuli hivi? Na hapa alikuwa nyumbani kwake huko Kigomboni. Kama nchi tunaelekea pabaya sana. Ni vyema tujulishwe hivi vimulimuli vinamaanisha nini na kwanini Mwijaku anavyo...
  12. R

    GE2025 CCM hawana huruma kweli chawa wao damu damu Mwijaku, wamemfyeka kwenye teuzi?

    Huyu jamaa alikua anagalagala chini akimsifia Mwenyekiti wa CCM Rais Samia utasikia tu "asante mama, asante mama" heee leo kachinjwa, hiyo hela ya fomu ungemnunulia mama mjengo supu basi 😂 😂
  13. R

    PreGE2025 Video ya Mtia nia Ubunge CCM Mvomero, Burton Mwemba (Mwijaku) akigalagala chini akimshukuru Rais Samia

    Wakuu, Nimekutana na hii uko mtandaoni, sidhani mtu kama huyu ikitokea akapewa uongozi akaweza kuleta mabadiliko au maendeleo yoyote kwa wananchi, kwanza video hii itakupa maswali, Je yupo sawa kiakili? Akiwa kiongozi basi hata wananchi wataambiwa wasujudu Soma pia: Pre GE2025 - Special...
  14. Just Pray

    GE2025 Mwijaku: Nikipita kwenye ubunge, sikosi nafasi ya unaibu waziri wa Katiba na Sheria

    Mtangazaji na mtia nia ya ubunge Mwemba Burton (Mwijaku) amefunguka kuwa kwa elimu yake aliyonayo na endapo akapata bahati ya kuingia bungeni basi hawezi kukosa unaibu Wazari hususani Naibu wa Katiba na Sheria...
  15. sinza pazuri

    Ukweli kuhusu digrii ya Mwijaku

    Burton Mwemba anajulikana zaidi kama Mwijaku. Mara kadhaa anasikika akibrag ana degree ya mzumbe university na university of Dar es Salaam. Sijui kuhusu UDSM ila kuhusu mzumbe. Mwijaku hana degree ya mzumbe japo alisoma mzumbe miaka mitatu. Nini kilitokea? Je alifeli? Hapana Mwijaku akufeli...
  16. technically

    Siasa za kitapeli TANZANIA zikomeshwe Mwijaku anaishi kigamboni mvomelo anafata nini?

    Kama sio utapeli ni Nini? Huyu jamaa anaishi kigamboni mvomelo kafikaje uko hakuna watu wanaojitambu mpaka aende yeye p diddy? Hii nchi ni ya vilaza kiasi gani? Hivi hii nchi Mungu tumemkosea Nini Watu wanaoenda kuongozwa na Malaya anayenunua watoto wa chuo na kuwagombanisha? Hivi hii...
  17. Genius Man

    Mwijaku na Baba Levo vipi unadhani wana uwezo wa kushika nyadhifa za juu za kwenye nchi?

    Mwijaku na baba levo vipi unadhani wanauwezo wa kushika nyazifa za juu za kwenye nchi ?
  18. DuaZaMama

    GE2025 Burton Mwemba (Mwijaku) apishana na Baba Levo, achukua fomu ya ubunge jimbo la Mvomero

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Burton Mwemba maarufu Mwijaku amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hatua hiyo imeashiria mwanzo rasmi wa safari yake ya kisiasa katika kuwania nafasi ya Ubunge wa Mvomero.
  19. W

    GE2025 Mwijaku ajitosa ubunge jimbo la Mvomero kwa tiketi ya CCM

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Burton Mwemba @mwijaku amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hatua hiyo imeashiria mwanzo rasmi wa safari yake ya kisiasa katika kuwania nafasi ya Ubunge wa Mvomero...
  20. Mr Sir1

    Mwijaku ana immunity gani ya kumuwezesha kudhalilisha watu atakavyo?

    Inamaanisha kuwa chawa wa CCM ndio kunampa ruhusa ya kudhalilisha watu atakavyo. Japo kwa Tanzania kila kitu kinachukuliwa poa, ila kuwepo na ukomo wa udhalilishaji. Mwijaku amevuka mipaka ya udhalilishaji. Kwa nchi zinazojielewa Mwijaku ilipaswa iwe keshasimamishwa kazi hapo Crown kwa...
Back
Top Bottom