Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs
Leo Dkt. Mwigilu Nchemba alisamama kuhitimisha hoja ya mapendekezo ya mpango wa tatu wa maendeleo ya Taifa wa miaka mitano kwa mwaka 2021/22 hadi 2025/26 kwa niaba ya wizara ya fedha na wabunge kujadili kwa takribani siku tano. Pamoja na mambo mengine amefafanua hoja chache ikiwemo mjadala wa...
Law is an art, na sisi kama Taifa katika Sheria tumerithi doctrines mbalimbali kutoka common law na hivyo suala la kujua Kiingereza (English) haliepukiki!
Tanzania tunajenga utamaduni wa ajabu sana kwamba kama mtu fulani au kikundi fulani hakijui jambo fulani badala ya kuwekeza katika kujifunza...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba amemtaka Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, kutafuta wataalamu mara moja wenye uwezo wa kutafsiri sheria zote za nchi kwa lugha ya Kiswahili
Imeamriwa kufanywa hivyo ili iwe rahisi kwa wananchi kuelewa sheria hizo hususan wakati wa kesi na hukumu ili...
Mgombea ubunge jimbo la Iramba Magharibi ambaye pia ni Waziri wa katiba na sheria Dr Mwigulu Nchemba adaiwa kuteka, kupiga na kuumiza wananchi wanaomuuliza maswali asiyoyapenda jimboni kwake.
Hapa ni video ya mwananchi aliyepigwa na watu anaosema kwamba walikua na Mwigulu kwenye gari...
Hii ndio taarifa mpya inayovuma huko Iramba , kwamba Uwezekano wa Mwigulu Nchemba kurudi bungeni kwa njia ya kura ni kama haupo , Jessica Kishoa kishamkalia kooni , tangu njama za kumuengua Jessica kwa kutumia tume ya uchaguzi zilipobuma upepo ukageuka jumla , ama kwa hakika hakuna marefu...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Siku za kampeni ndiyo hizo zinayoyoma.
Kampeni nazo haiishi viroja. Mwendo ni bandika bandua. Mmoja baada ya mwingine.
Sikia mheshimiwa huyu
Ninawasilisha.
Namfahamu mwanasiasa mmoja ambaye alikuwa akimtuma house girl kwenda kununua nyama buchani/ supermarket Afrika ya Kusini kila wiki.
Hili la kufua nguo Ulaya, Nairobi au Pretoria ni la kawaida sana kwa viongozi na wengi wao wanakwepa dry cleaners za hapa nyumbani kwa kuhofia kulogwa kupitia nguo...
Kuna baadhi ya kata zilitakiwa kurudia kura za maoni za uteuzi wa madiwani. Mojawapo ya Kata ni ile ya Ulemo ambayo Dkt. Mwigulu Nchemba alihakikisha iwe isiwe Diwani aliyekuwepo asiongoze tena. Mengi yalifanyika kuhakikisha hilo linafanikiwa.
Binafsi niliandika barua kwa uongozi wa Wilaya na...
Ninaandika hivi kama MwanaCCM mwenye uchungu na Chama changu na ninayeamini usafi katika kutumikia umma. Ninatokea kijiji cha Simbalungwala ambacho ni jirani na kijiji cha Makunda anapotoka Dkt. Mwigulu Nchemba na pia jirani na Ulemo kijiji ambacho Dkt. Mwigulu Nchemba kajenga na ndipo...
Juzi baada ya kushtukia mpango wa viongozi wa CCM Wilaya kumpatia kura Dkt. Mwigulu Nchemba mpango huo ulichezwa kwa namna ingine.
Pamoja na kuweka mazingira yote kuwa kura zitahesabiwa kwa uwazi na taratibu zingine zote kufuatwa bado Dkt. Mwigulu alikuwa kishawashawishi viongozi wote wa CCM...
Dkt. Mwigulu Nchemba anavyopendelewa na uongozi wa CCM Wilaya na Mkoa inaweza kabisa kutuponza CCM Iramba tukapoteza kwa upinzani. Nasema kweli kabisa
CCM wametoa maelekezo wagombea wote wapewe majina ya wajumbe wapiga kura ikibidi na namba zao ili wafanya nao mawasiliano ya kuomba kuungwa...
Hapo juzi aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania shushu mbobezi, bwana Benard Camilius Membe alijitokeza kupitia mitandao ya kijamii akihoji juu ya uwepo wa tume huru ya uchaguzi. kauli ya Membe juu ya jambo hilo ilizua kelele nyingi miongoni mwa wahafidhina wa chama tawala ccm. kwao wao...
Mkakati mkali sana unapangwa wa kutengeneza Upinzani mkali na wa kueleweka. Zitto Kabwe, Benard Membe na Tundu Lissu ni wazi watakuwa pamoja. Ni suala la muda tu - kule Zanzibar kuna Fatuma Karume pia. Uchaguzi huu ni uchaguzi wa kiharakati na Tume ya Uchaguzi Huru ni lazima itazaliwa katika...
1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile.
2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa...
Watu wanaombea Dkt na Waziri wa Sheria na Katiba Lameck Madelu Mwigulu Nchemba akatwe na Halmashauri Kuu ili asigombee Ubunge ili apate nafasi ya kujijenga akisubiri mpaka 2025 aje kugombea Urais ili kutimiza ndoto yake.
Watu wanatarajia watu wapya kujitokeza kuchukua Fomu na kumpa changamoto...
Baada ya kumalizika kwa Kamati kuu ya chama iliyoketi kwa siku mbili hapa Dodoma, Kamati kuu ilimpongeza mh Mwigulu Nchemba kwa jitihada zake za dhati katika kupambana na kuisaidia serikali hasa katika Kukusanya kodi toka bilion300 hadi bilion 800 kwa mwezi pia kwa kutatua kero nyingi za walimu...
Jumamosi iliyopita kulikuwa na msiba kwenye makao makuu ya kata anayotoka Dkt. Mwigulu kule Kyengege - Iramba. Basi Dkt. Mwigulu bila kutoa taarifa yeyote au kuomba ruhusa ya kutoka nje ya Dodoma akakimbilia msibani kwa gari la Ofisi - Msibani gari lake limeandikwa W- KS utafikiri aliyefariki...
Siku chache kabla hajateuliwa tena alikuwa jimboni na akakutana na Mzee mmoja wa mambo fulani kule kijijini kwao Makunda na Ng'anguli (jina la Mzee huyo nalihifadhi).
Akaambiwa asiwe na wasiwasi kwani atarudi tu kwenye ukubwa na akamwambia apambane vema na maadui zake.
Ni kweli baada ya hapo...
WAZIRI wa Katiba na sheria, Mwigulu Nchemba amesema kitendo cha baadhi ya Wabunge wa Upinzani kususia vikao vya Bunge kwa kuogopa Corona ni ishara ya kutengeneza madaraja na mpango wa kushusha uchumi wa nchi.
Waziri Nchemba amesema hayo jana Bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya...
Siku tu Dkt Mwigulu alipodai kesi mpya za wagonjwa wa corona zisitangazwe na akashambuliwa sana mitandaoni basi nikajua Dkt. Mwigulu anakijua atendacho. Nikakumbuka ndugu mmoja aliyenidokeza kuhusu Dkt. Mwigulu tangu akisoma Sekondari Mazengo alivyokuwa akitaka cheo ni lazima akipate, atatumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.