mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. GE2020 Msumari hatari kwa Mwigulu Nchemba

    *MWIGULU UMEJIMALIZA MWENYEWE , USITAFUTE MCHAWI GIZANI* Nimefuatilia sana mijadala hapa jukwaani kuhusu Mwigulu Nchemba kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020 Mwigulu akitamba kwa kujiita Mamba . Kwa tafsiri ya haraka Mamba ni mnyama anayeua binadamu na wanyama wengine bila huruma , kwa msiomjua...
  2. T

    GE2020 Anguko la Mwigulu Nchemba Iramba Magharibi/ the fall of Mwigulu Nchemba

    ANGUKO LA MWIGULU NCHEMBA Mwigulu ni sikio la kufa, amekuwa akiporomoka kuanzia ngazi ya familia, sasahivi amekuwa mzee wa vimada tu, baada ya kulipuliwa na wadau mbalimbali kuhusu Tabia ya kuwazini watoto wa kike anaowaahidi kuwasaidia halafu anawaongopea akishawatumia anawatelekeza. Vijana...
  3. GE2020 Mwigulu must go

    Mwigulu lazima aachie ubunge Iramba 2020 Kazi yake ni kumpinga Rais tu, majizi yote ndio yanampinga Rais wetu mpendwa, hata hili ni jizi , tunataka mbunge ambaye anaelewa kazi ya mbunge ni nini? Atakayewaongoza wanachi kupata maendeleo. Anayefahamu kuwa mshahara wake na marupurupu yote pamoja...
  4. GE2020 Baada ya kauli ya Mwigulu Nchemba kuhusu kuficha takwimu za maambukizi ya COVID-19, Kitila Mkumbo asema kauli hiyo ni ya mtu mjinga

    Kinyang'anyiro cha ubunge October 2020 huko Singida kimechukua sura mpya leo baada ya Kitila Mkumbo kumpiga kijembe cha wazi hasimu wake Mwigulu Nchemba dhidi ya kauli yake ya jana kuhusu kuondoa transparency kwenye utoaji wa takwimu za maambukizi ya virusi vya korona Tanzania. Tukumbuke watu...
  5. M

    GE2020 Injinia Jumbe Katala ajitokeza wazi kupokea Kijiti kwa Dkt. Mwigulu Iramba

    Huyu jamaa katika kundi lake la WhatsApp linaloshughulika na Maendeleo ya Jimboni kwake Iramba ameandika hivi: "Hi ni nia tu, Campaign Bado. Mimi Eng. Jumbe Katala bado nafasi yangu ya kuwatumikia rasmi wna Iramba mbali na hii kujitoa kibinafsi katika kuchangia kuinua elimu Iramba. Wana Iramba...
  6. Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri. Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
  7. M

    Kumbe Mwigulu bado anahitajika na Magufuli, imeonekana leo

    Amekuja leo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara - Mangula Iramba. Nipo hapa kikaoni anaongea - nilichogundua kumbe alikuwa na mawasiliano ya karibu na Dkt Mwigulu na Dk. Mwigulu bila wasiwasi akawaalika Timu yake iliyopo hapa Jimboni wahudhurie kikao hiki muhimu. Inavyoonekana baada ya kushambuliwa...
  8. J

    Kama Mwigulu na Lugola waliokuwa wanaivaa bendera ya Taifa uzalendo umewashinda hadi kutumbuliwa sishangai ya Kigwangalla na Kabudi kutaka kujiuzulu

    Natafakari tu zile mbwembwe za Mh Mwigulu na mwenzie Kangi Lugola kuivaa bendera ya taifa kama kielelezo cha uzalendo uliotukuka. Kwa bahati nzuri wawili hawa walipitishwa katika kipimo kimoja kuthibitisha uzalendo wao na wote wamefeli na hawaivai tena ile bendera ya taifa wamebakia kuikodolea...
  9. M

    Mbunge wangu Mwigulu umeshindwa kabisa!

    Wewe ni Mchumi na siku zote wachumi huelezea uhalisia wa mambo kwa namba. Wataalamu wanadai "namba haziongopi". Mheshimiwa umekosa ujasiri wa kusema mambo ambayo umeifanyia Iramba kwa sababu hamna ulichofanya ambacho unaweza kujivunia. Au unataka kuongelea kwa mfano shule yako ya Kata yaani...
  10. Rais Magufuli aeleza sababu 13 za kumfukuza kazi Mwigulu Nchemba

    Juzi baada ya Rais John Magufuli kutangaza mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri ambayo yalimtupa nje aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Mwigulu Nchemba kila mmoja alisema yake, lakini jana, mkuu huyo wa nchi aliweka kila kitu hadharani kwa kutaja sababu 13 za kuchukua hatua hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…