Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian economist and CCM politician, who serves as the elected Member of Parliament for Iramba West Constituency since 2010. On 31 March 2021, President Samia Suluhu appointed him as the Minister of Finance, replacing Philip Mpango, who was elevated to the position of Vice President of Tanzania. Before his current appointment, he served as the Minister of Law and Constitutional Affairs in the Tanzanian Cabinet, since May 2020.
Ameandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche:
"Tangu Mwenyekiti wetu akamatwe mwezi wa nne,
Leo ni miezi 11.
Watanzania wanajua na Dunia inajua kwamba Lissu hajafanya kosa, kesi hii ni ya uongo kwaajili ya kulinda Utawala usio na ridhaa, kutishia watu na kutaka tusitimize wajibu wetu...
Asanteni sana wananchi wa Mkoa wa Rukwa. Kazi Inaendelea, Hodi Mkoa wa Katavi.
Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hotuba ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ilitoa maelekezo na kubainisha changamoto pamoja na majukumu yanayotupasa kuyatekeleza kwa kushirikiana na wananchi na wadau wengine wa maendeleo-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Dodoma-Tanzania
🗓️Januari 27, 2026
———————————————————-...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Januari 18, 2026, ameungana na waumini wa Kanisa Kuu la Anglikana la Roho Mtakatifu jijini Dodoma katika ibada ya Jumapili, ambapo amesisitiza dhamira ya Serikali ya kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini katika kulijenga Taifa lenye hofu ya...
Kwa kifupi Lithium ipo Kilimanjaro, Uranium pale Namtumbo.
hivi hamjui kwamba mkijifunga mkanda nyie wenyewe matumizi yenu na ma v8 yenu semina, warsha, kongamano safari za nje, malipo HEWA, mnaweza kupata pesa za kufanya project hizo kuliko kupayuka tu kwenye majukwaa na kulialia kwamba...
dkt. mwigulu
jamhuri
jamhuri ya muungano
mkuu
mpya
muungano
muungano wa tanzania
mwaka
mwaka mpya
mwigulumwigululamecknchemba
tanzania
watanzania
waziri
waziri mkuu
wenzangu
wote
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa zipo sababu zinazofanya baadhi ya watu kuingilia mambo ya Tanzania, akibainisha kuwa wanajua nchi imegundulika kuwa na madini ya uranium na kuwa ya kwanza barani Afrika.
Amesema madini hayo ni adimu na...
"Wewe huku unaambiwa komaa kamanda mpaka ufe, sisi [wabunge wa CCM na upinzani] tunaazimana mpaka mafuta." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu akizungumza na wananchi wa Uyole, Mbeya
Ndugu zangu Watanzania,
Waziri Mkuu Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr Clean au waweza kumwita Mzalendo wa kweli Ametua na kuingia Kikomandoo Mkoani songwe Usiku Huu.
Ambapo Mheshimiwa Waziri Mkuu anatarajiwa kufanya ziara nzito kwelikweli katika...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameeleza masikitiko yake kuhusu tabia ya baadhi ya Watanzania kuvumisha uongo, ikiwa ni pamoja na kumvumishia kufanya biashara ya mabasi.
Tumefikishwa pabaya sana. Watu wamejipa haki yao, wamekuwa ndugu zake na Mungu, ni ‘wakweli’, na wengine wote...
DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025.
Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu...
dkt. mwigulunchemba
dodoma
kassim
kassim majaliwa
majaliwa
mkuu
mstaafu
mwigulumwigululamecknchemba
novemba
ofisi
ofisi ya waziri mkuu
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu mstaafu
Nimefuatilia uapisho huu wa Waziri Mkuu na jambo moja limejionyesha wazi kuliko yote, ni sura za wageni waalikwa, na hata za viongozi waliokuwa karibu naye, hazikuakisi ile furaha ambayo kawaida huambatana na tukio la kihistoria kama hili.
Wageni wengi walionekana wakiwa na nyuso zilizokosa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atamuapisha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb.) kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa...
Leo, tarehe 13 Novemba 2025, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, ametuma salamu kwa watumishi wa umma waliokuwa wavivu, wazembe na wala rushwa, akiwahakikishia kuwa watakabiliwa na mkono wa sheria.
Akiwa Bungeni Jijini Dodoma, katika hotuba yake ya kwanza baada ya...
Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi Mkoani Singida kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Serikali ya Awamu ya Sita imeweka rekodi ya...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema kasi ya ukuaji wa deni la Taifa unatia shaka. Amedai mashaka hayo pia yanaletwa na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kufuatia kutopeleka Bungeni taarifa ya pesa za mikopo zilizopokelewa na namna zilivyotekeleza miradi.
Ameongeza:
"Deni la Serikali katika...
Waziri wa fedha Dr Mwigulu Lameck Nchemba leo tarehe 8/12/2024 ameongoza waombolezaji na ndugu wa marehemu Amani Simbayo katika kutoa heshima za mwisho kabla ya mwili kusafirishwa kwenda Malinyi kwa ajili ya mazishi.
Soma Pia:
Jeshi la Polisi linawashikilia watu 4 kwa tuhuma za mauji ya...
Mechi ya watani wa jadi huwa ni mechi ya wakubwa inaheshima yake na kwa ukubwa ulele huwa autabiriki. Matokeo yanapatikanaga baada ya filimbi ya mwisho ndiyo inajulikana nani ameshinda.
Lakini kwa kiu najuwa Simba watakuwa na kiu kubwa sana ya kushinda mechi hiyo na kwa kweli najuwa mechi...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), limeipongeza Tanzania kwa kupiga hatua kubwa katika masuala ya uwazi kwenye mchakato wa uandaaji na utekelezaji wa Bajeti Kuu ya Serikali kutokana na matokeo ya utafiti wa uliofanywa na Shirika hilo.
Pongezi hizo zimetolewa jijini Dodoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.