mwigulu lameck nchemba

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian economist and CCM politician, who serves as the elected Member of Parliament for Iramba West Constituency since 2010. On 31 March 2021, President Samia Suluhu appointed him as the Minister of Finance, replacing Philip Mpango, who was elevated to the position of Vice President of Tanzania. Before his current appointment, he served as the Minister of Law and Constitutional Affairs in the Tanzanian Cabinet, since May 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia kumuapisha Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu kesho Novemba 14, 2025

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atamuapisha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb.) kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Nchemba: Lazima twende na gia ya kupandia mlima, watumishi wa umma, wavivu, wazembe na wala RUSHWA kufekwa

    Leo, tarehe 13 Novemba 2025, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, ametuma salamu kwa watumishi wa umma waliokuwa wavivu, wazembe na wala rushwa, akiwahakikishia kuwa watakabiliwa na mkono wa sheria. Akiwa Bungeni Jijini Dodoma, katika hotuba yake ya kwanza baada ya...
  3. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwigulu: Serikali ya Samia imevunja rekodi ya kuajiri vijana wengi zaidi

    Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi Mkoani Singida kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Serikali ya Awamu ya Sita imeweka rekodi ya...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mpina: Ukuaji wa deni la Taifa unatia shaka, Waziri Mwigulu haelezi matumizi ya mikopo, ana-concentrate muda mwingi kutafuta mikopo nje ya nchi

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema kasi ya ukuaji wa deni la Taifa unatia shaka. Amedai mashaka hayo pia yanaletwa na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kufuatia kutopeleka Bungeni taarifa ya pesa za mikopo zilizopokelewa na namna zilivyotekeleza miradi. Ameongeza: "Deni la Serikali katika...
  5. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Dar eS salaam: Waziri wa fedha DR Mwigulu Lameck Nchemba ameongoza waombolezaji kifo cha Amani Simbayo

    Waziri wa fedha Dr Mwigulu Lameck Nchemba leo tarehe 8/12/2024 ameongoza waombolezaji na ndugu wa marehemu Amani Simbayo katika kutoa heshima za mwisho kabla ya mwili kusafirishwa kwenda Malinyi kwa ajili ya mazishi. Soma Pia: Jeshi la Polisi linawashikilia watu 4 kwa tuhuma za mauji ya...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Kariakoo Dabi, Mwigulu atoa utabiri wake - "Mechi itakuwa ngumu, Yanga unaifungaje?

    Mechi ya watani wa jadi huwa ni mechi ya wakubwa inaheshima yake na kwa ukubwa ulele huwa autabiriki. Matokeo yanapatikanaga baada ya filimbi ya mwisho ndiyo inajulikana nani ameshinda. Lakini kwa kiu najuwa Simba watakuwa na kiu kubwa sana ya kushinda mechi hiyo na kwa kweli najuwa mechi...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania UNICEF yaipongeza Tanzania kwa uwazi katika maandalizi na Utekelezaji wa Bajeti

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), limeipongeza Tanzania kwa kupiga hatua kubwa katika masuala ya uwazi kwenye mchakato wa uandaaji na utekelezaji wa Bajeti Kuu ya Serikali kutokana na matokeo ya utafiti wa uliofanywa na Shirika hilo. Pongezi hizo zimetolewa jijini Dodoma...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yasisitiza matumizi ya mashine za kutoa Risiti za Kielekroniki (EFD)

    Serikali imesema kuwa taratibu za kikodi zimebainisha kwamba, mfanyabiashara yeyote mwenye mauzo ghafi yenye kiasi cha shilingi milioni kumi na moja (TZS 11,000,000) na kuendelea kwa mwaka, anapaswa kutumia mashine za kutoa risiti za kielekroniki (EFD) kwa walipakodi wote wanaofanya biashara...
  9. Evody kamgisha

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwigulu Lameck Nchemba tumia elimu uliyonayo, okoa uchumi wa nchi. Hali sio hali

    Hali sio hali nchini hususani kwenye uchumi wa nchi na mauzo na manunuzi. Gharama ya bidhaa iko juu sana, vyakula na bidhaa nyingine iko juu kupindukia. Ukienda kila kona ya nchi hali ni mbaya. Kodi ni kubwa sana. Watu wanashindwa kufanya biashara. Biashara inafungwa, watu wanahifadhi pesa zao...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wazawa watakiwa kupewa kipaumbele katika miradi ya AfDB

    Waziri wa Fedha. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) ameiomba Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kuangalia uwezekano wa kuboresha Sheria yake ya Ununuzi ili miradi inayotekelezwa kupitia ufadhili wa Benki hiyo iweze kuwanufaisha wakandarasi wa ndani. Dkt. Nchemba alitoa rai hiyo jijini Dodoma...
  11. technically

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ndiye suspect namba moja kupotea kwa Ben Saanane?

    Mwigulu nchemba ambaye ni waziri wa mambo ya ndani alete majibu kupotea kwa Ben Saanane na Maiti saba mto Ruvu,Mauaji ya police Mbagala,Mauaji watu Soweto,Ugaidi wa Lwakatale. Amekuwa mtu asiyeaminika kwenye jamii toka zamani. Mara jina lake lina utata,Mara alikuwa akifuga Lasi. Sasa hivi...
  12. utaifakwanza

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

    Akichangia bungeni muda huu Mwigulu Nchemba amesema yupo tayari kutoa ushahidi popote pale iwe polisi, mahakamani bungeni hata mbinguni kuthibitisha video ya Lwakatare jinsi alivyoipata, na kwamba kiongozi wa CHADEMA aliyempa pia yupo tayari kuthibitisha mahali popote. Amewataka viongozi wa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ni mtuhumiwa wa kwanza kutekwa kwa Absalom Kibanda

    Wanajamvi niwasalimu kwanza. Ni hivi karibuni tumeshughudia kutekwa na kuumizwa kwa mwenyekiti wa jukwaa la wahariri ndugu yetu Absalomu Kibanda. Kutekwa huku kwa Kibanda na kuumizwa hakutofautiani sana na kule kuteswa kwa mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari ndugu yetu Stephen Ulimboka. Leo...
Back
Top Bottom