mwezi

  1. JamiiForums Tanzania Nilifungua Website ya Kimataifa Mwezi wa Kwanza nikapokea Maoni mengi sana

    Sasa imefikia hatua hii, Naombeni maoni yenu 🙏 https://fntaz.com/
  2. JamiiForums Tanzania Tumalize mwezi wa 5 na zipi?

    June itakuwa ya moto sana.. Lakini hebu tuangalie za kufungia mwezi huu.. Zinazobamba sana 1. CHADEMA: No reforms no election 2. Gwajima: Utekaji vs wajibu hoja (wana ccm) 3: Gen-Z vs ..... 4.chaumma. 5. Ongezea.. Kati ya hizi kuna zitakazopewa shavu zitrend na kuna zitakazominywa zisisikike...
  3. JamiiForums Tanzania Wadau niende mbele nyie mrudi nyumanyuma. Leo Simba anakalia. Ama sivyo Ban ya Mwezi Mzima

    Sioni. Kila nikiangalia sioni Simba akichukua kombe. Yanga tumefanya kazi kubwa sana na hawa maarabu. Kwa kweli haitowezekana Simba kuchukua kombe. Labda kombe la uji au urojo huko Zanzibar. Nawashauri watuletee Tende na Halua tu.
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbowe kuondoka na covid-19 kumi kwenda nao CHAUMMA

    Zile Helicopter zilizoandaliwa Kwajili ya Mission C4C ya CHAUMMA zitaanza kuonekana Rasmi punde na Mbowe Yuko mbioni kujiunga na Chama hicho Pamoja na WABUNGE 10 wa KUNDI LA COVID-19. akiwemo Halima mdee!. Mwezi julai Tarehe 5 Mwamba kutimka Rasmi Kwenda CHAUMMA Kwajili ya kugombea Urais.
  5. JamiiForums Tanzania Chanjo ya mifugo kitaifa ni Mei

    CHANJO YA MIFUGO KITAIFA NI MWEZI MEI Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa Kati ya Mwezi Mei na Juni 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP) zimenunuliwa na zinatarajia kuchanja jumla ya ngombe 19,099,100. Aidha Jumla ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

    Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,, Mungu huyu Ibariki Tanzania
  7. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina mwezi na nusu tu wa kufanya siasa!

    Hadi Sasa badala ya kutafuta walipojikwaa humo ndani mwao, wanakazana na siasa za kuchoganisha Dola na Makanisa. Kampeni hii kwa ukweli imebuma maana hakuna Kanisa lililoshawishika kwa utoto wao hui. Hii imebuma frankly speaking. Hakuna hata chama kingine Chochote kiliungana na CHADEMA...
  8. JamiiForums Tanzania Je, kwa siku, week au mwezi April 2025 kuna Matamshi Mabaya ambayo Mdude aliyasema?Labda tuanzie hapo inaumiza sana

    Ndugu wadau wote wapenda amani naomba msaada wa post yoyote iwe maandishi au video ya mdude ambayo ilipelekea kutafutwa ama kuuliziwa na Afande Shabani na Afande Veda. Tafadhari itusaidie kujua chagizo la kupelekea hadi kuvunjiwa mageti na milango ili wampate. Tafadhari ndugu zangu si kwa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tunamuomba Mhe Rais na sisi wastaafu tuongezewe pensheni ya kila mwezi.

    Mhe. Rais sisi Wastaafu tunakupongeza sana kwa kuwaongezea watumishi wa umma mishahara yoa ya kila mwezi. Mhe Rais tunakuomba sana na sisi WASTAAFU uone namna ya kutuongezea pensheni yetu sisi Wastaafu wa nchi hii. Tumeitumikia nchi hii kwa uadilifu mkubwa. Mhe. Rais kwa niaba ya Wastaafu...
  10. JamiiForums Tanzania Ninatafuta muuzaji/wauzaji WA dhahabu. Mwenye uwezo WA kusupply minimum kilo5 kwa mwezi

    Habari ya jioni Wana JF, Nina connection na kampuni kubwa iliyo na ofisi zake hapa Dar es salaam pamoja na Dubai. Wanahitaji supply kubwa ya dhahabu yaani kwa soko lao wanao uwezo wa kununua mpaka kilo nne kwa wiki non stop. Changamoto iliyopo ni upatikanaji wa mzigo umekuwa wa kusuasua Sana...
  11. JamiiForums Tanzania Ndoto ya JPM mwezi mmoja kabla hajafariki.

    Akitokea Kijijini Chato akapita Dodoma,akamwapisha Jaji mmoja aliyetoa hukumu kwa lugha ya kiswahili,ndani ya wiki mbili ndani ya Ikulu ya Dodoma akaota ndoto,kwa kiingereza wanasema "nightmare" kesho yake wakiwa jogging na mkewe,akamuhadhithia ile ndoto akamwambia,"Mwenzio Jana usiku nimeota...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo mwezi wa saba nchi inaenda kuzalisha mamilionea

    Moja kwa moja kwenye mada. Kama inavyojulikana pension ya mbunge mmoja ni zaidi ya milioni 250 na huwa wanapewa kwa mkupuo hawana kikokotoo wala kikakataa. Hivyo kama kila mbunge akipokea kitita chake mapema mwezi Julai mwaka 2025 baada ya kuvunjwa bunge, ina maana hapo kuna mamilionea 400+...
  13. JamiiForums Tanzania Ng’ombe 1 = 900K kwa Mwezi!

    Unasikia vizuri kabisa! Ng’ombe mmoja wa maziwa anaweza kukuingizia hadi Tsh 900,000 kwa mwezi ✨ Ushuhuda huu unatoka kwa wafugaji waliopata ✅ Ng’ombe Bora ✅ Mafunzo ya Kitaalamu kutoka kwetu! Na wewe unaweza! ⏰ Usichelewe – fursa bado ipo! Wasiliana nasi leo: 📞 0764 148 221 Upate Ng’ombe Bora...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga waweka mezani TSh. 750 milioni kuinasa saini ya Fei Toto na mshahara wa TSh. 40 milioni kwa mwezi

    Imefichuka kuwa klabu ya Yanga imemwaga dau nono ili kumshawishi kiungo mahiri Feisal Salum "Fei Toto" kurejea Jangwani. Kwa mujibu wa taarifa, Yanga wameweka mezani ofa ya shilingi milioni 750 kama sign-on fee pamoja na mkataba wa miaka miwili. Aidha, kiungo huyo ameahidiwa mshahara wa shilingi...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu/watu tuliozaliwa tarehe na mwezi kama wa Leo 11th April

    Habari za muda huu wadau. Yoyote ambaye amezaliwa tarehe na mwezi kama wa Leo 11 April, wa jinsia yote kama anaishi Dar es salaam na maeneo jirani natamani nipate partner wa ku share nae siku hii muhimu kwanga. Karibu inbox kwa maelekezo zaidi Ahsante 🙏
  16. JamiiForums Tanzania Arsenal akimshinda Madrid leo basi mods wanilime ban ya mwezi. Sioni hawa watoto wa mama wakifanya lolote leo

  17. JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Ni mwezi umepita tangu Simba akimbie mechi ya derby

    Leo tarehe 4 April ni mwezi umepita ambapo Simba alikimbia mechi,tarehe 8 March Sababu za kukimbia mechi ni uoga uliowajaa Simba kutokana na wachezaji wao wenye unafuu kuwa na majeraha kama Che maloni, Camara na Ngoma Simba walishirikiana na Bodi ya ligi pamoja na TFF kuhujumu derby bila...
  18. JamiiForums Tanzania Walio maliza chuo hawana ajira , walipwe posho na serikali ya 50,000. Kila mwezi

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada kutokana na wimbi la vijana wasio. Na ajira kua kubwa, ili kujikimu na changamoto za kimaisha yao kila siku nashauri walipwe posho iwe kama kifuta jasho uku wakingojea kuajiriwa. Naomba kuwasilisha.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kuota namulikwa na mwezi mchana

    Habari za siku mingi wakuu, Nina hii ndoto inanikosesha amani na sielewi ni nzuri au mbaya Nimetoa ni mchana ila kutazama juu nikaona mwezi ndio upo wakati natembea nikagundua mwanga ni mweupe wa mbalamwezi badala ya ule wa jua tuliouzoea na watu wakaanza kunikagua na kunishangaa nimemulikwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Sio Kila Mwenye Mabaka ni Fresian! Utamtambuaje ng’ombe wa maziwa mwenye uwezo wa kukuingizia hadi laki 9 kwa mwezi?

    Mfugaji au mtu yoyote unaetaka kuanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa na unatamani kufuga aina ya Fresian, usidanganyike kwa Mabaka 😅 Leo tunaendelea na somo letu maalum kwenye group la mafunzo ya ufugaji wa maziwa.Tutaeleza na kuchambua kwa kina jinsi ya kutambua fresian sahii. Tutachambua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…