mwezi

  1. JamiiForums Tanzania Una computer /PC huitumii? Naomba niazime kwa mwezi mmoja tu

    God
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kwa hiki kibaridi ! mwezi wa tatu na wa nne hauwezi kuwa na mpinzani kwa idadi kubwa ya watoto wanaozaliwa.

    Kwa hiki kibaridi mwezi wa tatu hadi wa nne utaendelea kuwa na rekodi ya foleni kubwa wodi za kujifungua
  3. JamiiForums Tanzania NSSF Tanzania (Mwanza) tunaomba Maelezo kwanini wastaafu wa JWTZ mwanza hawajapata Mafao yao ya kila mwezi hadi leo.

    PSSSF Tanzania tunaomba Maelezo kwanini baadhi ya wastaafu wa JWTZ mwanza hawajapata Mafao yao ya kila mwezi kwa mwezi june hadi leo ? Moderator Active naomba kichwa cha habari kisome PSSSF.
  4. JamiiForums Tanzania Nakusihi ukipanda gari unaposafiri tanguliza jiwe kwenye gari kabla ya kupanda kafara kubwa zinatolowa kwa kasi mno mwezi huu hadi wa 10 mwishoni

    Nakusihi ukipanda gari unaposafiri tanguliza jiwe kwenye gari kabla ya kupanda kafara kubwa zinatolowa kwa kasi mno mwezi huu hadi wa 10 mwishoni na kama huna ulazima wa kusafiri tulia nyumbani. Asili huponya Asili Ina sili. Mazarau hasili hufa kikatili😂😂😂🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️
  5. JamiiForums Tanzania Kwa nini tukio la mwezi kupasuka/kugawanyika vipande viwili lilionekana Mecca, Saudia tu?

    Kwa nini tofauti na maandiko kutoka Mecca hakuna rekodi nyingine yoyote ya kihistoria duniani kwingine kote kuhusu binadamu mwingine yeyote kuwahi kushuhudia mwezi ukigawanyika vipande viwili kama ilivyoandika katika Surah Al-Qamar 54:1–2? Hii ni kwa kuzingatia pia kwamba dunia ni sayari yenye...
  6. JamiiForums Tanzania Makachero wa jf tukutane hapa. Je Rusia kua na taarifa za mashambulizi ya marekani uko Iran. Ni kudorola kwa ufanisi wa FBI na CIA?

    Bila kubeza ubora wa idara za ki usalama za Rusia toka kipindi cha Coldwar, ikasemekana KGB ndo shirika tishio kwa intelengnce kwa kipindi icho ikafatiwa na wana wa malkia MI6 , CIA walikua wanapata taarifa kutoka kwao, na japo kwa ishikiano wote ila bado walikua wana salimu amri kwa ubora wa...
  7. JamiiForums Tanzania Pendekezo la hii kodi linawafaa TRA?

    Habari TRA ! Naomba kuuliza hii kodi eti inafaa hapa nchini? "MOTOR VEHICLE CROSS REGION TAX" Karibu.
  8. JamiiForums Tanzania Kwa wabunge wote kabla ya kuelekea majimboni mnakumbushwa kuja kuoga dawa kuondoa nuksi na kukatwa jina mwezi huu ni mgumu sana sana

    Mimi kama mganguzi napenda tu kuweka mambo sawa! Mwezi huu ndio utakutana na wagonjwa wengi wenye sukari na presha ! Mwezi wa kujidhalilisha ndio huu ! Na Mimi Sasa nimefungua dirisha kuanzia Leo kutakuwa na huduma ya kuoga dawa kabla hujarudi jimboni na hujakutana na wajumbe wenye roho mbaya...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuuza Followers na Kutengeneza TZS 2,000,000+ Kwa Mwezi Kwa Kutumia Simu Yako Tu

    Katika dunia ya leo ya kidigitali, social proof ni kila kitu. Watu wanataka kuonekana wanafuatiliwa, na biashara nyingi zinahitaji followers ili kuwashawishi wateja wao. Hii ndiyo sababu kuu iliyoifanya biashara ya kuuza social media followers kuwa fursa halali, rahisi, na yenye faida kubwa —...
  10. JamiiForums Tanzania Simba ikimfunga Yanga leo nipigwe Ban ya Mwezi Mzima

    Hizi teams zina mambo ya kipuuzi sana lakini nashukuru YANGA MATAKWA YETU YOTE YALITIMIZWA ILI LEO TUIFUNGE SIMBA KWA UHAKIKA KABISA... SIMBA HAWAWEZI ISHINDA YANGA HII AMBAYO INAPIGA MTU BAO 3,4,5,6 bila huruma kabisa.
  11. JamiiForums Tanzania Kukiendelea hivi, mpaka mwezi July Iran itakuwa imeanguka

    Tupo Salama! Wanasema ukipigana na adui mwenye nguvu usimshambulie kwa harakaharaka. Usiende kwa Kasi Sana. Kadiri unavyomshambulia kwa haraka adui mwenye nguvu kukuzidi ndivyo unavyojimaliza kwa upesi. Adui mwenye nguvu hupigwa na kuangushwa polepole! Polepole kwa uhakika. Polepole ni...
  12. JamiiForums Tanzania NSSF wanalipaga tarehe ngapi pesa za Kila mwezi?

    Hello, Kama ushapata mafao ya kukosa kazi NSSF Kwa miezi mitatu. NSSF Wana utaratibu wa kukulipa 33% ya mshahara Kwa miezi sita. Je malipo ya Kila mwezi ulipwa tarehe zipi za mwezi?
  13. W

    JamiiForums Tanzania Nani unamtabiri kuwa Rais mpya wa TFF katika uchaguzi wa mwezi wa nane ?

    Uchaguzi uliopita Karia aliweza kutwaa kiti cha urais kwa mara ya pili kwa kuengua wapinzani wote kisha yeye mwenyewe kubaki kugombea. kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Karia kashamaliza muda wake wa mihula miwili, hawezi kugombea tena. Je ni nani atakuwa Rais mpya ?
  14. JamiiForums Tanzania Nataraji Kupata Mtoto Mwezi huu na hakia nitamwita Benjamini Netanyahu

    Huyu mwamba anastahili kabisa jina lake liendelee kuwa sehemu ya maisha ya Mwanangu ajaye... Benjamini Netanyahu ni kiongozi ambaye Israel sijui itampata lini tena baada yake... Hanaga mbambamba na hacheki na wowote linapokuja suala la kulinda uzayuni na wazayuni.... Kwa heshima namtunuku...
  15. JamiiForums Tanzania Vodacom imetimiza miaka 25 siku ya leo tarehe 9 mwezi 6 kuwepo kwake.

    Kongore kwa vodacom kutimiza miaka 25 tokea kuwepo kwenu kwa mawasiliano yenu.
  16. JamiiForums Tanzania Mwezi mmoja ndani ya uchaguzi tutarajie kuzimwa internet mpaka watakapojitangaza?

    Kuna dalili za kwamba nguvu iliyopo kuwa danganya toto zao za uchaguzi ni za haki watafanya kuzima kabisa. Sababu za kuzima ili kuzimisha mijadala na yote zaidi mtapewa kisingizio mkongo wa taifa umekatika. Hakutakuwa na internet mpaka watakapomaliza watakalo.
  17. A

    JamiiForums Tanzania Epuka faini ya TZS 300,000 kila mwezi toka TRA kwa kutuma taarifa ya mapato ya biashara yako kabla ya tarehe 30/6/2025.

    Kampuni nyingi zimekuwa zikitaabika sababu ya malimbikizo ya kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), malimbikizo ya madeni hayo yanatokana na faini zitokanazo na kushindwa kuwasilisha taarifa ya mapato ya biashara zao kwa wakati. Ili kufahamu nini unatakiwa kufanya …Basi soma mpaka mwisho…...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Epuka faini ya TZS 300,000 kila mwezi toka TRA kwa kutuma taarifa ya mapato ya biashara yako kabla ya tarehe 30/6/2025.

    Kampuni nyingi zimekuwa zikitaabika sababu ya malimbikizo ya kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), malimbikizo ya madeni hayo yanatokana na faini zitokanazo na kushindwa kuwasilisha taarifa ya mapato ya biashara zao kwa wakati. Ili kufahamu nini unatakiwa kufanya …Basi soma mpaka mwisho…...
  19. JamiiForums Tanzania KERO Wakuu mwezi wa pili sasa Airtel ussd haifanyi kazi hili tatizo ni kwangu tu au Hadi kwenu

    Wakuu mwezi wa pili Sasa Airtel ussd haifanyi kazi hili tatizo ni kwangu tu au Hadi kwenu
  20. JamiiForums Tanzania Tunapoenda kuanza mwezi June; Aya hii ikusaidie, iwe muongozo kwako.

    TUNAPOENDA KUANZA MWEZI JUNE; AYA HII IKUSAIDIE, IWE MUONGOZO KWAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Isaya 48:17 Bwana, mkombozi wako, mtakatifu wa Israeli, asema hivi; Mimi ni Bwana, Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida, nikuongozaye kwa njia ikupasayo kuifuata. Nisikie! Mungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…