mwerevu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    Jinsi Nilivyomtapeli Mganga wa Kienyeji: Simulizi ya "Mjanja Aliyekutana na Mwerevu"

    Watu wengi husema mganga wa kienyeji ni mtu wa kuogopwa. Wanasema ana macho yanayoona mbali na majini yanayompa taarifa za kila anayemtembelea. Lakini siku hiyo, niliamua kuthibitisha kuwa hata "nguvu za giza" hupigwa na giza la njaa na tamaa. Mtego wa Kisaikolojia Mganga huyu, ( jina kapuni")...
  2. ERTUGRUL BEY

    PostGE2025 Mtu Mwerevu Haumwi na Nyoka Katika Shimo Moja Mara Mbili

    My people, Natambua tumeumizwa sana kwa kupotelewa na vipenzi vyetu,tumepoteza mali zetu na mitaji yetu,tumetezwa utu wetu na heshima yetu Lakini kutumia njia ambayo hapo awali ilifeli na kutaka kuitumia katika namna ile ile tusitarajie matokeo tofauti,tena kibaya zaidi watesi wetu wanajua...
  3. Abtali Mwerevu

    Abtali Mwerevu, Mtu mwema, Makini na Mwaminifu Kupitiliza

    Nimekuwa nikiitumia JamiiForums tangu inaanza. Kwanza niliitumia kawaida bila kujiunga, mpaka nilipoamua kujiunga rasmi mwaka 2013. Kila ninapoingia mtandaoni mtandao wangu wa kwanza ni JamiiForums. Mara zote nilipoingia, nilikuta habari za watu wengine mpaka hii leo nilipoingia na kukuta tuhuma...
  4. Knock life

    Moderators naomba mtu anajiita Abtaili Mwerevu apewe ban kwa kutangaza ajira za utapeli .

    Abtali Mwerevu ni member Mkongwe Ila tapeli . Anakuja JF anatangaza ajira ambazo zimejaa utapeli mkubwa kuna ajira katangaza juzi watu wamemfata WhatsApp kawafanyia utapeli. Kuweni nae makini au apewe life ban
  5. K

    Fundi Mwerevu wa exhaust

    Hamjambo wakuu. Nisaidieni, nahitaji fundi wa exhaust ambayo anaexperince kubwa kuzikagua, rekebisha au replace exhaust. Pia kuweka ngao au kinga yoyote ya kuizuia kuharikibika tena. Gari ni Toyota Runx.
  6. R

    Ulikuwa mwerevu kuondoka kabla hujaumia ? Ni kitu gani kilikusukuma uache lifestyle, tabia au watu wa karibu wabaya / Toxic kabla ya majuto ?

    Hakuna shimo gumu kutoka kama tabia zilizokolea, Lifestyle uliyoizoea na Mahusiano yaliyoshamiri, Tatizo linakuja vitu hivyo vikiwa vibaya vinaweza kuathiri maisha yako negatively, unakuja kustuka baadae unajutia, Ila kuna matukio kadhaa huwa yanatugusa, Akili inasema "SASA BASI" na kuamua...
  7. Mshana Jr

    Juha mwerevu na ticha kihiyo

    MIMI:- Mwalimu, nina swali 🙋🏾‍♂️ MWALIMU:- Ni lipi? 🙄 MIMI:- Unamweka aje tembo ndani ya friji? 😜 MWALIMU:- Sijui 😒 MIMI:- Ni rahisi sana, unafungua friji na kuweka tembo ndani 😁 MWALIMU:- Sawa 🙊 MIMI:- Na unamweka aje punda ndani ya friji? 😜 MWALIMU:- Rahisi sana, unafungua friji na...
  8. Just Pray

    Askofu Bagonza: Malumbano, MJINGA, MWEREVU, na MSHAMBA 'No reform No election"

    MALUMBANO: MJINGA, MWEREVU, na MSHAMBA. MJINGA: No Reform, No Election. MWEREVU: Hatuna muda wa kufanya Reforms hizo. MJINGA: Tutakusaidia kuzuia uchaguzi ili upate muda wa Reforms. MSHAMBA: Kama una nguvu za kuzuia, zitumie kuzuia wizi wa kura. MJINGA: We mjinga vipi? Mbona unanukia wizi...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Tofauti kubwa kati ya mwerevu na mjinga, tajiri na maskini

    Kwema Wakuu! Tofauti kubwa ya mwerevu na mjinga ni kuwa Mwerevu anaweza kujifanya, kuigiza kuwa ni Mjinga ila Mjinga hawezi kujifanya wala kuigiza kuwa ni mwerevu. Vile vile Tajiri huweza kujifanya au kuigiza ni Maskini lakini Kamwe Maskini hana uwezo wa kujifanya wala kuigiza yeye ni Tajiri...
  10. Mr Chromium

    Kenya: Ilikuaje hadi mtu mmoja anaua watu 42 bila polisi kujua?? Je muuaji ni mwerevu kuliko vyombo vya usalama?

    Sakata linaanza na Mwili mmoja wa mwanafunzi aliyekua anasoma Jomo kenyata university of Agriculture and technology (JKUAT) unagunduliwa kwene ambapo eneo la dampo mjini Nairobi.Baada ya kutolewa unagundulika ni wa kijana anaitwa…densel Omondi… raia wanadhan kua aliuawa na vyombo vya usalama...
  11. GENTAMYCINE

    Baada ya Utafiti wa Uongo kuwa Watanzania wana Furaha Afrika nzima, Mwanasaikolojia Nguli na Mwerevu apingana nao

    "Ukweli ni kwamba siyo kwamba Watanzania wana Furaha bali wana Amani ambayo inapelekea Wao kuridhika haraka na kila Wanachokikuta na Wanachokipata kutokana na Umasikini wao Waliouzoea ila kiuhalisia wengi Wao wamekuwa Wakikereka na Maisha yao magumu yasiyo na Ufumbuzi hadi wameamua Kuyafurahia...
  12. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC kabla hamjaanza kususia maandazi ya Azam jibuni hoja nzito za mwerevu Zaka za Kazi

    ASIYE NA DHAMBI AWE WA KWANZA KURUSHA JIWE Mwaka 2004, beki wa kushoto wa Simba, Ramazan Ramazan, raia wa Burundi, aliomba klabu yake imuache huru kwa sababu amepata timu Ubelgiji. Simba kiroho safi kabisa wakampa barua yake ya kumuacha (release letter) na kumtakia kila la heri. Viongozi...
  13. Mshana Jr

    Ruto asipokuwa mwerevu yanaweza kumpata ya mwendazake na kuishia kipindi kimoja tu

    William Ruto rais aliyethibitishwa na mahakama baada ya mpinzani wake kugomea matokeo yuko hatarini kuangushwa kabla hata ya kumaliza kipindi chake cha kwanza. Ameanza na papara huku akijua fika kuna majeraha mengi ya kuponya kwanza. Kwa haiba na hulka Ruto ni mbepari si mjamaa, tajiri mkubwa...
Back
Top Bottom