mwenza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kitu gani kinakupa uhakika kuwa unapendwa kweli na mwenza wako?

    Habari wana JF, Kumekuwa na tafsiri nyingi tofauti juu ya kupendwa, hebu kama wewe ni mwanaume au mwanadada tuelezane ni mambo gani yanaweza kukuhakikishia kwamba unapendwa kwa dhati na mwenza au mpenzi wako... Pia soma: Do you feel LOVED?
  2. Kwanini umuingilie mwenza wako kinyume na maumbile?

    Mimi binafsi na huu uchakataji wangu wote sijawahi kufanya kitendo kisicho na stara kama hicho ata mara moja, ingawa nilishapitia vikwazo na changamoto kadhaa kwa baadhi ya wanawake waliotaka nifanye hivyo kwa wao kama wao tena waking'ang'ania kabisa na bado nilikataa, Nilikuwa najiuliza sana...
  3. Ulipata changamoto gani katika kumtambulisha mwenza katika familia yako?

    Wakuu tupo pamoja. Mimi hapa nina mwanamke mmoja bwana ana mtoto mmoja ila sio wangu nataka kumuoa, nimeridhia kabisa na nimempenda mwanamke licha ya kuwa na mtoto, ila kipengele kinakuja kwenye familia sidhani kama watanielewa! na hata kama watanielewa sidhani kama watatoa ushirikiano...
  4. Unaweza tumia njia gani kumwambia mwenza wako kuwa ananuka mdomo bila kumfanya ajisikie vibaya

    Habari za usiku huu wana JF.... Naomba nijikite kwenye mada moja kwa moja. Ndugu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Naomba tuelekezane namna ya kumwambia Mwenza wako eidha wa kike ama wa kiume ukukitana na janga kama hilo. UTAMWAMBIEJE Au UTAMSHAURIJE ILI ASIJISIKIE VIBAYA MTU...
  5. Maneno 10 mabaya ambayo hutakiwi kusema kwa mwenza wako

    Maneno ya Matusi Maneno kama “mjinga” au “mpumbavu” yasitumike kwa mwenza wako hata kama yana ukweli ndani yake. Japo ujinga ni kutofahamu kitu fulani lakini neno hili linaleta majeraha kama likitoka kwa mwenza. Hasa kama linatoka wakati wa ugomvi au kutofautiana. Useseme maneno mabaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…