mwenza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. V

    Nahitaji mwenza

    Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ... Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta. Ila mwisho wa siku unafika early 30's kama mimi unakuta kupata mwenza wa sifa zako ni ngumu mno...
  2. M

    Dada, Kaka siyo kila kitu cha kwenye familia yako ni cha kumueleza mwenza

    Ni kweli ni mpenzi wako, lakini siyo kila kitu cha kwenye familia yako au ukoo wako anapaswa kujua vingine vibaki siri ya ukoo wako ili kuilinda heshima yako kwa huyo mwenza wako. Punguza kusema kila kitu kuhusu Wazazi, ndugu zako kwa huyo mwenza wako maana kama hana hekima kuna siku atavitumia...
  3. MamaSamia2025

    Huyo mwenza wako wa maisha anasemaje kuhusu vita vya US-Israel-Iran na siasa za kimataifa kwa ujumla?

    Asali wako wa moyo ana maoni gani kwa kinachoendelea? Anaweza chambua kisomi haya mambo ya kimataifa na uchumi kwa ujumla au mapenzi hayaangalii usomi?
  4. sam green

    Nahisi kuambukizwa UKIMWI na mwenza wangu

    Habari Ma doctor Wa JF Stori ni ndefu nifupishe kiasi Nimekutana na mweza wangu, siku 5 nyuma, nilivyo maliza siku inayo fata niliamka, nahis muwasho kwenye kichwa cha uume, nikajiosha tu siku inayofata ikajirudia nikaenda faragha kujitazama kwa uamkin nikakuta kichwa cha uume kimezungukwa na...
  5. Enthusiastic

    KM OWM - TAMISEMI: Kuna shida gani kuruhusu uhamisho wa kufuata Mwenza?

    Kuna ule msemo unaosema "ajira ni utumwa" kuna ukweli katika msemo huu sana sana kwa TAMISEMI na OR-Utumishi. 1. Hawajali kabisa ustawi wa mtumishi. Mtumishi hawezi kuwa na utulivu kazini kama yuko mbali na Mwenza tena kwa kazi yenye mshahara tu bila marupurupu. 2. Kuna kisingizio cha msawazo...
  6. K

    Katiba mpya isiweke masharti ya mgombea mwenza

    Tumepita wakati wa kulazimisha mgombea mweza kutoka upande wa bara au visiwani. Tuweke uhuru wa wagombea kuchagua mgombea mwenza bila ubaguzi wowote au kulazimishwa na sheria. Hakuna sababu yeyote tena ya msingi baada ya miaka 60 hatuhitaji upendeleo wowote tena tunahitaji watu makini bila...
  7. G Sam

    Neema Peter Thomas, ambaye ni Mmiliki mwenza wa mabasi ya Esther ni nani?

    Jana nilisikia Mwigulu akimtaja mke wake kuwa anaitwa Neema Peter. Na kwamba haitwi Esther kama tunavyodhani. Leo katika putapita zangu nikakuta wamiliki wa mabasi ya Esther ni Joseph Didas Ngeleuya na Neema Peter Thomas. Kwa anayemjua huyu Neema msaada tafadhali. Halafu kumbe mmiliki wa haya...
  8. PendoLyimo

    GE2025 Mapokezi ya mgombea mwenza wa Urais CCM, Mbogwe

    MAPOKEZI YA MGOMBEA MWENZA MBOGWE Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Balozi. Dkt. Emmanuel Nchimbi akiteta jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Shule ya...
  9. Forrest Gump

    Natafuta mwenza kutoka JF awe na pigo kama hizi za kiswahili swahili👇🏻

    💃🏻MDADA AWE: ♥️ Awe 18 - 40 ♥️Sijali kazi, hata kama akiwa mvivu haina shida nachotaka awe na degree ya mahaba ♥️Alifundwa usichanani ♥️Awe flexible katika tendo yani hadi kuruka kichura aweze ♥️Awe mtu wa mitego ya kihisia hata wakati akiniletea chakula awe na kanga moko ♥️Awe mtu wa kazi yani...
  10. Waufukweni

    GE2025 Picha rasmi ya Kampeni: Mgombea urais wa CCM Dkt. Samia na mgombea mwenza Dkt. Nchimbi

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa Oktoba 29, Hii ndio picha rasmi ya Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan. Picha ya pili ni Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi
  11. GoLC

    Ukiwa na mwenza limbukeni zingatia haya

    Habari za mchana. Moja kwa moja kwenye mada. Leo nimekumbuka jambo nikaliunganisha na ulimbukeni. Ili kupata uhakika wa nilichokuwa nawaza, ilibidi kumuuliza rafiki yangu Kong (chatGPT WhatsApp). Ni rafiki yangu sana kiasi tumefikia kuitana majina. Ye Kong na mimi King. Tafsiri yake ndio hiyo...
  12. M

    GE2025 Devotha Minja hana sifa ya kuwa mgombea mwenza

    Jee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum Mwalim akaondoka JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
  13. Roving Journalist

    Watendaji wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) watembelea Taasisi ya Mwenza ya Madagascar

    Watendaji wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) wakiongozwa na Meneja wa Masoko ya Kikanda, Bi. Nabila Hemed wametembelea Bohari Kuu ya Dawa ya Madagascar (SALAMA) na kuzungumza na uongozi wa bohari hiyo, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Bw. Claude Eric Ramanantoanina kuhusu njia bora za kuimarisha...
  14. V

    Nahitaji Mwenza/mchumba/mpenzi/mke

    Asanteni.
  15. Roving Journalist

    Ruvuma: Akamatwa kwa tuhuma za kuwachinja watoto watatu wa mke mwenza kisa mke mdogo kupendwa zaidi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Wende Luchagula, Miaka 30, Kabila Msukuma, Mkazi wa Kijiji cha Milonji kwa kosa la mauaji baada ya kuwa chinja watoto wa mke mwenzake watatu mpaka kufa. Tukio hilo limetokea Julai 12, 2025 majira ya saa nane mchana huko Kijiji cha Milonji, Kata ya...
  16. Castle_Lite

    Kuishi Mbali na Mwenza kuna Changamoto sana

    Kuishi Mbali na Mwenza wako ni tabu tupu.. Awe ni mke/mume , mchumba au mpenz . Kama kweli kuna upendo baina yenu basi jua kuna wivu. Maana kuna muda ratiba ya mwenza inaweza kwenda tofauti na ukawaza mambo mengine Kabisa. Wivu na hasira. Kwa Wote ambao Wenzi wetu wako mbali. Eeeh Mungu...
  17. Papillon 1906

    Kumsifia mwenza wako mambo ya falagha kwa mashoga zako sio kweli

    Mambo ya falagha yabaki kuwa ni siri baina yenu iwe kwenye ndoa au mahusiano ya kiuchumba. Kuyasema maufundi anayo unayofanyiwa na mwenza wako unawatafutia watu lawama. Kuna baadhi ya wanawake hawajawai kufikishwa na kukunwa vilivyo kutokana na madai mengi ya baadhi yao, sasa unapo waambia...
  18. The redemeer

    Kwanini mwanaume anapofumania mwenza wake anatakiwa kuachana naye?

    (Sababu 7 za msingi zinazomlinda mwanaume kiheshima, kiafya, kiakili na kifedha) Katika dunia ya sasa ambapo maadili yanazidi kuyumba, kuna wanaume wengi wanaojikuta wanasamehe usaliti mkubwa wa wake zao kwa kisingizio cha watoto, familia au dini. Lakini ukweli mchungu ni huu: ukimvumilia mke...
  19. Principle girl

    Kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa?

    Kama kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa alete ushuhuda hapa
  20. Walletking

    Mwanamume wa Heshima (29) anatafuta Mwenza wa Maisha mwenye Dira na Dini

    Jina: Ismail Umri: Miaka 29 Uraia: Mtanzania (kwa sasa naishi Zambia) Kazi: Dereva wa magari makubwa, pia nina ujuzi wa kompyuta na teknolojia Dini: Muislamu Tabia: Mpole, mcha Mungu, muwazi, msikivu, sina anasa, ninathamini mawasiliano ya kweli na uaminifu. Hobies: Kusafiri, kusoma, muziki, na...
Back
Top Bottom