Friends and our Enemies,
Huyo anaejiita Askofu,kukimbilia kwake kwenye ulingo wa kisiasa kulitokana na kauli ya mwendazake kipindi kile ambacho alimtaka yeye BINAFSI kwa maslahi yake na hesabu zake.
Kwa kauli ya MWENYEKITI WA CCM Jana,ni wazi kuwa huyo siyo miongoni mwa zao la mfumo wao,kwa...
Alianza kwa kusema nawaombeni. Halafu akasema au sijui niagizeee ?
Nendeni mkatende haki kwenye mchujo. Lakini Ma Gwajima tuyaache nje.
Jamani, ndivyo alivyosema Mwenyekiti.
Sasaaa...... logic yake hapa mimi sijamuelewa.
Haki hapa ni kumkata mwana CCM asubuhi na mapema au kumpa chance mtu...
UMUHIMU WA KUCHAGULIWA LISSU KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA IDU KATIKA SIASA ZA UPINZANI NCHINI TANZANIA!
Watu wengi wanajadili kuhusu Tundu Lissu kuchaguliwa Makamu Mwenyekiti wa IDU. Kilichovutia wengi ni kitendo cha kuchaguliwa kwake akiwa gerezani hivyo kuthibitisha uwezo na mvuto wa Lissu hata...
Katibu Mwenezi, itikadi na mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Amos Makalla akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam amejibu kuhusu ukimya wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Masato Wasira.
VYOMBO VYA HABARI VINAUA CHADEMA KWA KURIPOTI WANAOHAMA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameibua hoja nzito inayolenga mahusiano ya vyombo vya habari na vyama vya siasa, akidai kuwa baadhi ya vyombo vya habari vinahujumu...
CHADEMA HAILETI WANAHARAKATI KUTOKA NJE, LHRC NDIO INAWALETEA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA
Katika mkutano uliojaa msisimko wa kisiasa uliofanyika leo Mei 23, 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameweka wazi msimamo wa chama hicho kuhusu tuhuma...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema hali ya kisiasa nchini ni tulivu, ambako amemjibu mwanazuoni mmoja aliedai kuwa hali ya siasa ni mbaya.
Mkongwe huyo wa siasa nchini amesema mwanazuoni huyo anachanganya hali mbaya ya chama chake na Tanzania kwa...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Isihaka Mchinjita amekamatwa na Jeshi la Polisi asubuhi ya leo (Mei 23, 2025) baada ya kuingia kwenye Kituo cha Mwendokasi cha Kimara Mwisho kwa ajili ya kujionea adha ya usafiri huo.
Mchinjita aliyeambatana na Waandishi wa Habari muda huu yeye na...
Hashim Rungwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) akihojiwa na Edwin Odemba anasema:
“Kila tukienda kwenye mikutano ya vyama vya Siasa CCM inachukua pesa za wananchi inatulipa ili ionekane nchi hii kuna demokrasia, hakuna dawa hosptalini ila pesa za kutulipa wanapata na...
Halmashauri Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) imemteua Benson Kigaila kuwa Makamu Mwenyekiti mpya wa chama hicho.
Kigaila ambaye alikuwa akiunda kundi la G55 lililoanzisha harakati na kwenda kinyume na uongozi wa sasa wa Chadema, ametangazwa leo kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya...
Bado nipo dilemma kuelewa mchezo mzima wa siasa za CDM mara baada ya uchaguzi.
Sitaki kuamini kwamba kiongozi eti kapumzika kutokana na pirikapirika za siasa kwa miaka 20+ iliyopita, hivyo kaamua kutandika akili na kujihusisha na siasa za CDM.
Ikiwa ni mtu aliyeaminiwa na waazilishi wa hicho...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Njombe, Dkt. Scholastika Kevela, amewataka wanawake kote mkoani humo kujiandaa kwa uchaguzi mkuu ujao, akisisitiza kuwa chini ya serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakuna atakayeweza kuvuruga mchakato wa uchaguzi.
Dkt. Kevela...
MWENYEKITI WA ZAMANI WA CCM WILAYA YA MASWA AFARIKI.
Nimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mzee Paul Jidayi (pichani) aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Maswa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Maswa,Mwl Onesmo Makota imesema...
Sabato Njema!
Waafrika wengi ni rahisi kuwaonea na kuwadhulumu kwa sababu hawana umoja. Hawapendani. Uoga mara nyingi husababishwa na kutokuwa na upendo wa dhati.
Kama Watanzania wangekuwa wanapendana Kwa dhati yote. Kusingekuwa na msamiati watu wasiojulikana.
Watu wasiojulikana ni matokeo ya...
Mbunge wa Jimbo la Mlimba mkoani Morogoro, Godwin Kunambi alivyomsonya Mwenyekiti wa Bunge wakati akichangia Bajeti ya Ujenzi baada ya kuambiwa muda wake wa kuchangia umeisha.
Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Frank Kailembo amekemea wanasiasa wanaowasemea watumishi wa umma na kueleza kuwa yapo majukwa na taratibu za kisheria zinazowapa mwanya wa kuwasilisha changamoto zinazowakabili.
Kailembo amesema hayo katika madhimisho ya Siku ya...
Eng. Hersi ni mwenyekiti wa Vilabu Afrika,inashangaza hadi sasa hajatoa pongezi kwa club ya Simba kutinga fainali.
Eng. Hersi anatakiwa kujivunia kuwa na timu kubwa kutoka nchini kwake maana hii inamwongezea CV kwa hatua ambazo Simba wamefikia.
Sikilizeni Wapinzani,
Naomba mfanye utafiti mdogo tu ili muamini kwenye uchaguzi wa Oct 2025 hakuna wa kupambana na Rais Samia,
Fanyeni hivi,
Piteni kwenye kila Kijiji kwenye vijiji vyote 12,333 kama hamtakuta mradi wowote wa maendeleo ulianzishwa ndani ya miaka hii minne ya Rais Samia...
Makamu mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa nyumba yake imezingirwa na polisi wakiwa na gari nne. Anaandika;
"Nimezingirwa nyumbani kwangu tangu saa 10 alfajiri ya leo. Askari wakiwa na magari manne wako kwenye milango ya kuingilia."...