mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani Makamu Mwenyekiti wa chadema taifa anaweza kua anapitia hali gani kisaikolojia baada ya tuhuma zake za ufisadi kutrend sana mitandaoni

    Je, anapata usaidizi wowote maalumu wa kiafya kutoka kwenye idara za chama chake kulingana na nafasi yake chadema taifa, na kutokana na maoni mseto yanayoenezwa mitandaoni dhidi ya tuhuma za ufisadi wa fedha za chama zinazomkabili? Kwa maoni yangu, licha ya familia yake kumtia moyo, nadhani...
  2. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi amvaa John Heche asema haogopi kufukuzwa

    Sakata la tuhuma za ufisadi wa John Heche limechukua sura mpya baada ya mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya kilindi kutamka hadharani kuwa John Heche awapishe na tuhuma zake za Ufisadi na haogopi kufukuzwa ndani ya Chama. ========== Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Mathias...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Piga picha Lissu angewa mwenyekiti na Wenje makamu wake, mind you that Lisuu angewa gerezani kama ulivyo sasa

    Jamani nauliza, mmewahi kujiuliza kama Wenje angewa makamu wa Lissu wakati kama huu chama kingewaje?
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Waliopokea pesa za moto CHADEMA waanza kuliwa vichwa

    Hongera Chadema safisha uchafu, msicheke na kima yeyote mtavuna mabua. Chama ni kikubwa kuliko mwanachama, walikuwepo kina Zitto, Mkumbo, akaondoka Mbowe na G55 yake bado chama kinasonga, sembuse hawa vidagaa tena vibichi.
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa kudinda kutibua minywele kama wengine, Godbless Lema anaweza kubanduliwa CHADEMA?

    Na kwamba, Godbless Lema ni msaliti kwa mambo ya chama kama vile kutibua minywele? Na eti kwa kutokuvaa t-shirt za free Tundu Lisu ni usaliti wa kiwango cha juu sana kwa chadema? Au kuna jambo jingine zito zaidi linataka kufunikwa na kufichwa na kwamba Lema ndio mfichuzi na amelishupalia sana...
  6. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tanzania hata mwenyekiti wa mtaa anataka ashinde ofisini muda wote badala afanye kazi zingine haya sasa ToneTone imekoma leo rasmi.

    Hii mentality ya kuishi kupitia siasa kula kupitia mikutano ya Hadhara ifikie mahali iondolewe hasa kwa hawa wanasiasa wanaotegemea wale kupitia kapu la donation. Wewe mwanaume unaishije kwa kutembeza kikapu? Ipo siku utajiuza kwa mabeberu ila mostly mmeshajiuza Mfano wewe kama mwenyekiti wa...
  7. YASIYOSEMWA

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kijiji Ni wetu sote

    Hapa Kijijini kumeibuka mtindo wa AJABU kila mwenyekiti wetu anapokosolewa utendaji wake na wa viongozi anaosaidiana nao,kunaibuka kundi la watu wa kitongoji chake na Dini yake kumtetea kwa matusi Na kejeli Bila kujali yanayosemwa yanaukweli kiasi gani.? NI WAKUMBUSHE KUWA MWENYEKITI WA KIJIJI...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hii kauli hatari sana. Chalamila, kesho utawajibika kwa kauli hii. Kumbuka wewe ni M/kiti wa Kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa. Kauli yako ni AMRI

    Matumizi ya nguvu kupita kiasi mwisho wake ni KUUA WATU KAMA 29.10.2026. BADO HAMJAJUTA! HATA MKIWA KABURINI MTAWAJIBIKA! Soma Pia: RC Chalamila: Wanatamani kuleta chokochoko, nguvu tutakayotumia awamu hii kulinda amani, haijawahi kutokea
  9. L

    JamiiForums Tanzania Familia ya Rostam, Mwenyekiti Halmashauri ya Monduli kwenye kashfa ya rushwa

    Mdogo wa Rostam Aziz, Akram Aziz akishirikiana na Mwenyekiti wa Hamsahauri ya Longido, Thomas Ngobei, na yule wa Monduli, Kisioki Moitiko wanadaiwa kumwaga mamilioni ya fedha za rushwa ili kuteka maelfu ya ekari za ardhi ya Wilaya za Longido na Monduli mkoani Arusha. Akram ambaye pia...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kijiji au mtaa anayeng'ang'ania muhuri hajitambui!

    Mamlaka ya serikali ya kijiji au mtaa inakamilishwa na uwepo wa mtendaji wa kijiji au mtaa. Maamuzi ya mkutano wa kijiji au mtaa yanaidhinishwa na katibu wa mkutano huo ....yaani mtendaji . Kuitisha mkutano wa kijiji bila uwepo wa mtendaji wa kijiji au . mtaa ni kujifurahisha tu ... yaani ili...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya mwenyekiti wa bodi ya simba yabainisha hali ilivyo Simba

    🚨Magori anasema Barker alisema Uza. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba, Crescencius Magori, amefichua siri nzito ya jinsi klabu hiyo ilivyolazimika kufanya biashara ngumu ya kuwauza mastaa wao watatu, Jean Charles Ahoua, Kibu Denis, na Steven Mukwala, wakati wa dirisha dogo la...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani hasa utakua muafaka zaidi kwa Joseph Selasini kuanza kupewa heshima na kutambuliwa kama mwenyekiti mpya wa Chadema Taifa?

    Tusibiri vikao vya Chama vya kumsimika rasmi au tusibiri mapinduzi tukufu halafu tukutane mahakamani? Kuna haja ya kukumbushana kidogo juu ya katiba ya chadema kuhusu nafasi ya mwenyekiti wa taifa au baada ya nafasi kujazwa? haiwezekani mtu awekeze pesa, muda wake meingi na maisha yake yote...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la CCM ni kuwa hakuna wa kudiriki kumwambia Mwenyekiti kuwa Hapa tunajielekeza vibaya tusifanye hivyo! Kibaya wengine ni toka jalalani

    Nadhani kama angetokea mtu jasiri akamwambia Mwenyekiti tusiende njia hiyo, huko si kwema kwa mustakabali wa taifa, maybe angeweza kuona ubatili wa yanayotokea. Shida ni kuwa wanamhakikishia kuwa all is OK and heading in the right direction
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda Joseph Selasini akawa mwenyekiti wa CHADEMA taifa kwasababu hakuna wa kumzuia wala kumtatiza kuikwaa nafasi hiyo iliyowazi kwasasa.

    Ni suala la muda tu kuanzia sasa, kwa hilo kutokea kulingana na uelekeo wa siasa za Tanzania na ombwe la uongozi linaloonekana wazi hasa ndani ya Chadema taifa. Joseph Selasini anaingia Chadema kama moja miongoni mwa viongozi nguli na waandamizi wa chama hicho cha siasa, wanaokwenda kujitoa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Chatanda ikemewe, imeonesha dharau kwa Mwenyekiti wa CCM

    Natumia jukwaa kuelezea kauli tata ya Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Chatanda na kumtaka aliyoitoa kuomba radhi kwa kauli hiyo na akemewe. Sina mashaka na uwezo na uzalendo wa Mhe.Chatanda katika kazi zake za kukiimarisha Chama lakini kauli zenye mashaka daima lina chimbuko la kusudi la kauli...
  16. Wong Fei

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kero soko kuu la vitunguu la kimataifa singida

    1. Mwenyekiti anaomba pesa washonaji ili awapangie Hela ya kushona magunia ya vitunguu. Kila jumamosi washonaji Kila Mmoja anatoa 5,000 (wapo zaidi ya 100) kwa mwenyekiti wa soko la vitunguu. Zaidi ya laki 5 anachukua mwenyekiti na kundi lake 2. Washushaji wa vitunguu kwenye magari nao...
  17. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya jaji mkuu mstaafu Mohamed chande othman, mwenyekiti wa tume ya rais ya kuchunguza matukio ya October 29 mwaka 2025

    HOTUBA YA MHE. JAJI MKUU MSTAAFU MOHAMED CHANDE OTHMAN, MWENYEKITI WA TUME YA RAIS YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA GHASIA NA UVUNJIFU WA AMANI YALIYOTOKEA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA, 2025, WAKATI WA KUWASILISHA RIPOTI YA TUME DAR ES SALAAM, TAREHE 23 APRILI 2026 ·...
  18. tpaul

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM achota mke wa mtu; wananchi wamemkataa

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwenyekiti wa CCM huko Kilimanjaro (Chugga) amemrubuni mke wa mtu na kumuoa (bibi harusi). Kufuatia kadhia hiyo, wananchi wa eneo hilo wamecharuka vibaya sana wakimtaka mwenyekiti huyo awajibike kwa ukware wake wa kuchukua wake za watu mara kwa mara huku akijua...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CV ya Mwenyekiti wa Tume ya matukio ya 29/ 10, Jaji Mohamed Chande Othman

    Ustadi wa Jaji Chande katika Sheria ya Kibinadamu ya Kimataifa, Sheria ya Wakimbizi, Sheria ya Jinai na Sheria ya Ushahidi unamfanya kuwa kiongozi bora siyo tu duniani bali eneo lote la Afrika Mashariki wa uchunguzi wowote muhimu unaohusisha hasara ya maisha na uwajibikaji wa serikali. Hii...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.

    Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.
Back
Top Bottom