" ukifuatilia sana hili sakata la wasanii na wananchi kwanza huwezi kugombana na mwenye nyumba, wewe msanii ni mpangaji na mwananchi ni mwenye nyumba. Alafu hata sisi watu wazima tunakuambia unaanza kulamaba uzi ndo upitishe kwenye tundu haulambi tundu ndo upitishe kwenye uzi na kuna muda hata...
Ndugu zangu Watanzania,
Nafikiri polisi wangemkamata pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa akiishi Humphrey Polepole ili aweze kulisaidia jeshi la polisi katika uchunguzi wake.
Aeleze ni lini alimpokea na mkataba wake ulianza lini na amekaa kwa muda gani na walionana lini na kama walikuwa na...
Mwenye nyumba ya Malawi alikuwa katili sana na mbaya zaidi hata wale vijana wake wa shambani walikuwa hawamsikilizi msaidizi wa kazi za ndani! Kwakuw msaidizi wa kazi za ndani alikuwa kashalalwa na mmoja wa watumbuizaji, pamoja na ulevi wake mmoja wa vijana wa walinzi hapo nyumbani Naye alipita...
Asubuhi nilipokea Message ya huyu bwana kunikumbusha kuhusu kodi. Basi nikahisi mwenye nyumba amejichanganya tarehe, maana natakiwa mlipa October. Nikampigia kwa namba yake niliyoisave. Akakana kuwa hajanitafuta.
Nikajua tu, jamaa ni mpigaji. Nikaamua acha nimu-enjoy.
Anapiga simu kufuatilia...
Waungwana na wenye busara naomba mnishauri maana sasa hii imenizidi. Iko hivi 👇
Nimehamia kwenye hii nyumba mwezi wa 7 nikitokea mkoani huko nimekuja Dar kutafuta maisha. Sasa siku za awali kila kitu kilikuwa poa ila nilipolipa tu kodi mama mwenye nyumba akaenda kununua sabufa mpya Kariakoo...
To be honest hali ni mbaya sana kwa site. Sio waislam sio wakristo. Wanalalamika na kulalamikia hali iliyopo.
Nipo sehemu nasubiria huduma ya kiserikali, watu utadhani wamefiwa. Ndio mmoja mwenye sigda na kofia yake anasema nyumba haina mwenyewe. Wapangaji wanajiamulia la kufanya. Huduma za...
Mimi ni mpangaji wa nyumba hapa Goba, lakini cha kushangaza mama mwenye nyumba ananipangia marafiki wanaoweza kunisalimia. Sifahamu sababu ya kufanya hivyo na ninahisi inaninyima uhuru wangu binafsi licha ya kulipa kodi kwa wakati.
Je, nifanye nini katika hali kama hii, nataka kuhama?
Nimepanga nyumba ambayo mwenye nyumba anaishi hapo hapo! Nimejikuta nikijilaumu na kujuta sana kwa nini nilifanya maamuzi hayo.
Maana mama mwenye nyumba anatabia mbaya sana, anapenda sana kuongea kwa mafumbo anapomuona mke wangu mara akisalimiwa aitikii yani ni vituko juu ya vituko.
Wakiwa...
Nyumba ya kupanga tupo hapa Buguruni Mnyamani ni shida sana. Ni manyanyaso kwa sisi ambao ni mambo safi. Maana naona vijana hapa tunashindana sana kuweka madish ya visimbusi mbalimbali. Na kutumia masabuwufa ya sauti kubwa. Tuliwasha jioni hatusikilizani na hatuna shobo na mtu. Mi nimenunua...
Nina miaka miwili kwenye hii nyumba lakini leo nimelipia tena kodi kama kawaida lakini mkata ulipokuja naona umeongezwa kipengele ambacho naona hakiko sawa mwenye nyumba ananiambia nisheria mpya ya upangishaji hapo kwenye picha nimewekea point nyekundu lakini hata ukiusoma mkataba mzima masharti...
Wasalaam,
Mwaka 2019 nilipanga nyumba mpya sehemu nzuri sana hapa jijini Daslaam nilichukua nyumba nzima kwa kodi ya laki 9 kwa mwezi. Nililipia miezi sita kwa cash na hiyo ilikuwa mara ya kwanza na ya mwisho wa kuonana na mwenye nyumba.
Nilipotaka kulipia tena miezi sita baadae namba yake...
Kijana wangu wa boda boda kaangukia penzini na housegirl kwenye nyumba moja mtaa flani karibu na kwangu changamoto imekuja kujitokeza baada ya bodaboda huyu kuwa kimya muda kama wa siku nne hivi bila ya kuniletea hesabu but nikicheck chombo kwenye king'amuzi naona imepaki kwake but simu yake...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu ya gazeti la Mwananchi.
Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, nikijikita kwenye kitu kinachoitwa Sovereignty, huu ni uhuru wan chi, kutoingiliwa kwenye mambo yake ya ndani. Nimeileta mada hii baadab ya kusikia malalamiko ya baadhi ya Watanzania kuwa...
Nipo Nawaza na kutafakari kila siku namkimbia na kuponyoka na story kibao, Leo naskia wapangaji wanaongea kwamba kaja ameshararuka na kuwa mkali na kesho hataki kuskia story za abunuasi kwa mpangaji mwenye deni!?
Hapa napiga nimfate Nyumbani kwake nikalia maana yupo yeye na mke wake tu...
Wana BODI naomba ushauri. Wapangaji wangu wote naingia nao mkataba wa miezi sita. Ambao ni renewable .
Katika mkataba kuna kipengele cha security deposit Sawa na kodi ya mwezi ambayo hutumika kutengeneza nyumba mkataba ukiisha.
Mpangaji wangu mmoja single mother mkataba wake ulikwisha mwezi...
Nipo zangu katika Site ya ujenzi ,Kuna wazo la Uwekezaji mdogo limenijia.
Kwa wale wanaopokea mshahara wa kuanzia 250,000 hadi 450,000
Ambao hawapati nafasi ya kufanya biashara nje ya kazi yao.
Wasio na Pensheni.
Uwezo wa kuiweka hela na kuisahau.
Fedha yenye maremgo ya miaka miaka mitano...
Habari za muda huu?
Nilitafutiwa chumba na dalali maeneo ya Magomen Kagera pale maeneo ya Oil com, Hivyo basi nilitoa kodi ya miez 5 na Kodi ya 1 ya dalali jumla nikatoa tsh 360,000 kwasababu kodi ya chumba ilikuwa tsh 60,000.
Sasa baada ya wiki moja alikuja mtu wa makamo na kujitambulisha...
Naombeni ushauri ndugu zangu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, naishi mkoani Iringa hapa mjini.
Nimepanda kwenye nyumba Moja hapa mtaani (mtaa sitautaja) hapa nilipopanga pia mwenye nyumba anaishi hapahapa
Mama mwenye nyumba ni nurse na baba ni mwalim, lakini baba mwenye lakino huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.