Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia...
Wakuu,
Kama una nyumba sehemu kaa kwa chonjo kuna habari mpya huku kutoka DCEA.
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amewahimiza wamiliki wa nyumba za kupangisha kuwa waangalifu na wapangaji wao.
Alieleza kuwa baadhi ya...
Kodi ilitakiwa iishe mwezi September. Nilimkusanyia mwenye nyumba 300k yake nikaiweka attention ili nikiskia "Puu" na mimi naitikia "Paaaaaaaaa", cha ajabu siku zikasonga hadi juzi 6 / 11
Baba mwenye nyumba huwa anafungasha safari kwa miezi mitatu mfululizo. Kaingia kwake majuzi kati, akawa...
Hivi karibuni nimeshuhudia kitendo kikubwa sana cha unyanyasaji, udhalilishaji na ukatili aliofanyiwa Mwanamke mmoja jirani na kwangu dhidi ya mwenye nyumba wake, nikaona si vyema kulikalia kimya tukio hili ni lazima nilitolee taarifa ili wahusika wamsaidie mwanamke huyo na jamii ijifunze...
Anonymous
Thread
baba mwenyenyumba
dorothy gwajima
mwanamke
mwenyenyumbanyumba
ukatili
unyanyasaji
Habari gani ndugu zangu?
Nahitaji kufahamu, unapotafuta chumba/nyumba ya kupanga, kuna mantiki gani ya kuonana na Dalali kwanza hata kama umeshaonana na mwenye nyumba?
Sijui utaratibu kwa mikoa mingine, lakini kwa Dar es salaam unaweza kuonana na mwenye nyumba, na akakwambia kabisa vyumba/...
Iko hivi mimi nimepanga nyumba ila huyu mama mwenye nyumba ana kero mimi sio muumini wa dini yeyote ile sasa yeye usiku kucha ni maombi na kelele yaaan hata nikiiingiza demu yeye ni mayoe tu kwa jina la baba sijuiii damu ya Yesu mimi sipendi nifanyaje?
Kelele kubwa hata sabufaa sinaa
1. Usijenge tu ili uitwe baba mwenye nyumba
Jenga mahali tambarare mahali ambapo gari, pikipiki na baiskeli vinaweza kuingia bila shaka.
Usiwe na akili za watu wajinga kama waliojenga kwenye makorongo Keko, Mbezi, Kimara na Buza.
Hizo locations nilizotaja aisee kuna sehemu hata baiskeli...
Wana jf, kwemaaaaa..?
Hapa niliponga kuna kero nyingi sana ambazo zinaweza epukika ila kutokana na utaratibu uliowekwa{nimeukuta} basi inabidi niendane nao hivyo hivyo kama wenzangu walivyobariki.
Ipo hivi hapa mamamjengo ni mjane na anavijana wake wakubwa tuu wa 3 umri wao wa kati ni kati ya...
Nawasalim kwa jina la jmt...
Nilileta thread hapa kuomba ushauri kuhusiana na mama mwenye wangu kunipa wakati mgumu sasa hali naona ndo inazidi kuwa mbaya yani kama moto ndo kama umemwagia petrol kibaya zaidi kashapata na namba yangu baasi ma msg kila nishamuonya suala kunitafuta mimi siitaki...
Assalam aleikyum guys
Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi kwenda mbele na madem kibaooo
Sasa mkewe anajua mumewe itikadi zake zooote ila yuko kimyaa sasa naona...
Wakuu kuna biashara nimefungua sehemu lakini unashinda siku nzima hujauza hata mia.
Location ni nzuri ni karibu na center kubwa kabisa.
Hizi fremu watu hawakai huwezi kuta mtu amemaliza haya miez 6 .
Nimekuja kuanza kusikia maneno baada ya kuchukua fremu kwamba mwenye napo kuna vitu amefanya...
Wakuu habari ya muda huu.
Sisi wengine kama ilivyo kwa wengi, hapa ndipo pa ku-share issues tunapohisi ku-release baadhi ya mambo yakituzidia.
Mchana wangu umeharibika ghafla sana.😅 Kulingana na tides za kibiashara safari hii (ofcourse ni mambo ya kawaida tu), landlord wangu hatimae leo...
Nakumbuka miaka hiyo ndio nimepata kazi benki Fulani, nikapata nyumba Sinza ya mama mtu mzima kijana.
Akanikaribisha sana, hakuwa na noma, nilipokuja kununua flat TV enzi hizo plasma tv ndio zimetoka, hamna cha LCD na LED ni ndoto kabisa, yaani ndio kwanza watu wachache sana tumeamza kujikwamua...
Maisha yenyewe ya sasa ukijichanganya ukaishi maisha fake ya kuigiza lazima u collapse tu kuna mpangaji mwenzangu single mother aliforce kumpeleka mtoto shule hizi za mamilion sasa hata baba mtoto amegoma kulipa ada mambo magumu Leo hii kafikisha miezi Sita anadaiwa tu kodi ila baba mwenye...
Wanajamvi habari za muda huu, poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki. Niende kwenye mada moja kwa moja.
Nimepangisha fremu kwenye NYUMBA moja mjini kwa lengo la kufungua biashara ya pombe Kali yaani liquor store.
Nikaingia mkataba na mwenye nyumba wa miezi kumi wakati huo yeye hajui nataka...
Sijakosea. Nafahamu fika kuwa members wote wa JamiiForums tuna majengo makubwa sana hasa maeneo ya Sinza na Oestabey, lakini yote kwa yote, wengi wetu tumewahi panga vyumba kabla ya kujenga
Ni sharti lipi gumu uliwahi pewa na mwenye nyumba ndani ya nyumba yake ulipopanga kwake?
Kwema wakuu nataka nilianzishe hapa maana mtu unalipa kodi kila baada ya miezi 6 halafu choo kimejaa, mwenye nyumba hakai hapa lakini je ni nani mwenye jukumu la kulipa wakati sio mwenye nyumba ndo anaestahili kulipa hyo pesa kama shilingi 80,000.
Inakuaje wapangaji tupigishwe mchango wa elfu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.