Nimetuliza kichwa na kufuatilia mijadala kila kona hasa hapa bongo,naona kuna kundi la asilimia fulani humlaumu kocha kwa kitendo cha kutaka/kutoa timu uwanjani.
Ila kwa utafiti wangu kidogo nimegundua wengi waliweka mikeka na kumpa mwarabu,hivyo baada ya mazonge ya mchezo basi wao shutuma zao...
Rais Wa Chama cha mawakili Tanganyika ameeleza kuwa mauaji yaliyotokea Oktoba ni makubwa hayakuwahi kutokea Toka Tanganyika ijulikane na si Muarabu, Mjerumani wala Muingereza aliyefanya mauwaji makubwa hivi.
Awashangaa watu wanaozungumza kwa lugha nyepesi tu kuwa tusameheane kama vile mtu...
Mambo yanayoendelea SGR ya wananchi kulalamikia huduma ni mchezo unatengenezwa ili Serikali ije na maelezo kuwa TRC haiwezi kusimamia SGR hivyo Serikali imepata mwekezaji atakayeendesha kwa ufanisi na hapo ndipo mali ya umma itakapouzwa kwa bei poa kwa mwarabu.
Huyu mwarabu anakuwa kama kivuli...
Niliwahi kuwa na mpenzi wa kiarabu miaka ya 2014.
Tulikutana kwenye ndege nikiwa naelekea KIA kutokea Airport ya Nyerere.
Nilipokuwa nimefika airport nasubiri ndege nikaenda walipokaa wenzangu tunaosubiri ndege ya kwenda KIA, enzi huzo ni fastjet.
Mwarabu nilimuona akiwa na simu yake lakini...
Juzi huko marekanililitokea tukio la mtu kuwarushia bomu la petroli waandamanaji waliopinga vita Gaza na kutaka vita vikome
Mwanaume mmoja aliyetajwa kwa jina la Mohammed alitajwa kama muhusika
Lakini duru zinaarifu kwamba bwana huyo si mwarabu wa misri bali jasusi wa israel
Hata kule...
Imam wa Australia ambaye aliomba msamaha kwa mahubiri ya chuki dhidi ya Wayahudi sasa anataka 'kuwaua wadhalimu wote'.
Sheikh Ahmed Zoud hivi majuzi alifutilia mbali madai kwamba Wayahudi wana kiu ya umwagaji damu na wasaliti, lakini kauli mpya zinazua maswali iwapo anatumia filimbi ya mbwa...
Asilimia zaidi ya 80 wanataka Mwarabu ashinde dhidi ya huyu mtu mweusi. Mnajidanganya mtamfunga Mwarabu Zanzibar. Thubutuuuuuuuuuuuuu.
Ndani yenu wenyewe ya Simba kuna watu wanatamani Mwarabu ashinde. Si kwa sababu ya Yanga. Ila ni sababu ni team ya mabwana. Na sisi ni Watwana. Ipo hivyo...
Raia mmoja wa Israel mwenye asili ya kiarabu leo akiwa kwenye usafiri wa Umma wakati anashuka alimtemea mate Mwanajeshi wa jeshi la Israel IDF kisha kukimbia tukio hilo lilinaswa na kamera za cctv zilizomo kwenye basi hilo.
Juhudi za kumtafuta zinaendelea baada ya wataalamu wa Forensic-lab...
Golikipa wa Yanga Djigui Diarra ukiacha footwork yake hana tofauti yoyote ya kumzidi Ally Salim wa Simba na hata Hussein Abeli. Kuna nyakati Salim amedhihirisha kuna vitu anamzidi Diarra.
Moja ya jambo linaloniudhi kupita maelezo kuhusu huyu mdaka panzi ni vitendo vyake vya kupoteza muda...
Tupambane tu huko CAFCC na CRDB FA, ila huku katika Ligi Kuu imeshaisha hiyo sawa?
Sina uwezo wa Kumfunga Yanga SC kwa sasa sana sana nikijitahidi mno Sare / Suluhu nae.
Ni bora / kheri upewe Dawa iliyo Chungu ili Upone kuliko Dawa Tamu ambayo haitakuponyesha.
“Wapo watu wanasubiri tufeli waanze kutukebehi sasa tutumie kila tulichonacho kwenda nusu fainali. Na tukimuangalia mwarabu tunayecheza naye huyu ni wa kawaida kabisa. Katika waarabu tumewahi kukutana nao huyu tunamuweza kabisa na hii tunaweza kufuzu.”
“Sifa ya Simba, sifa ya Mwanasimba sio...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kuwa Simba ni miongoni mwa timu zinazotoa vipigo vikubwa barani Afrika huku akisisitiza kuwa tayari wamewahi kuwadhalilisha wapinzani wengi, ikiwa ni pamoja na Horoya AC.
Hata hivyo, anasema hawajawahi kufanya hivyo kwa timu kutoka...
Nimeota mashabiki wa Yanga wakitoka nje ya uwanja kwa ghadhabu kubwa. Huku Aziz Ki na Dube wakirushiwa kila aina ya lawama.
Ndoto zangu haziongopi. Kama kuna yeyote anataka kubet, aweke mzigo, soon atanishukuru.
Wanabodi
Vyanzo vya kuaminika vimethibitisha kwa "Atheer" taarifa za kifo cha Mheshimiwa Sayyid Jamshid Al Said, Sultan wa mwisho wa Oman aliyekuwa Zanzibar, akiwa na umri wa miaka 95, baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Vyanzo hivyo vimeeleza kuwa Sultan huyo wa zamani alifariki dunia Jumatatu...
Nimejaribu kupitia sheria kuhusu dakika za nyongeza lakini ki uharisia na sheria refa yupo sahihi kwa 100%
.someni na nyie kanuni za fifa nimeweka hapa chini
Amani iwe nanyi ndugu zangu
Mimi huwa najua waarabu ndo watu matajiri zaidi duniani nikiamini Mansour wa Man City atakuwa hata tajiri wa tatu au nne duniani kumbe hata kwenye matajiri mia mbili duniani hayupo nimeshangaa sana.
Lakini nilichokutana nacho huko Forbes sijaamini macho yangu kama...
Kesho kwetu ni siku muhimu mno kuliko Simba day, kesho ndio ile Ubaya Ubwela yetu sisi.
Sasa Kama ulkuwa ukienda uwanjani kuiangalia Simba ikicheza na Fountain gate, ukaenda Simba day ndugu yangu wa faida, kesho ndio cku muhimu kuliko cku zote katika maisha ya Simba msimu huu.
Tusipokwenda...
Hapa ndio inabidi tujiulize, kama lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili kulinda eneo la hifadhi, wanapata ugumu gani kukanusha madai kuwa lengo la kuwaondoa Wamasai ni ili ardhi yao apewe Mwarabu?
Binafsi naamini wanashindwa kukanusha kwasababu wanajua muda utawaumbua.
CCM must go!
Katika mashindano ya Olympics yanayoendelea huko Paris
Timu ya wanwake kutoka Misri vs Timu ya wanawake kutoka Hispania
Kielelezo cha tofauti ya tamaduni za Ulaya na za Mashariki ya Kati
Unaona ni utamaduni upi bora zaidi wa kufuatwa?