mwanzo

Mwanzo is the debut album by Sauti Sol, a Kenyan afro-pop band. It was released on August 4, 2009 by Penya Records.

View More On Wikipedia.org
  1. Huu mwezi kabla hujaisha kuna Tenguzi na Teuzi tena, lengo kuu ni kuwakeep watu Busy, Hapa Mama ana akili kubwa sana

    Raisis Samia nahisi ana washauri wazuri sana kwenye nyanja za Propaganda, hii eneo Raisi naweza mpatia 100. Anacho Fanya ni kucheza na kili za wajinga wa hili Taifa na ameisha ambiwa na watu wa kitengo kwamba Watanzania wengi asilimia 98 ni watu wa kupiga mdomo kwenye vijiwe vya kahawa na...
  2. Kwa waliosikiliza mwanzo mwisho utekaji aliofanyiwa Sativa kwenye Jambo TV ni episode gani imekuumiza kuliko zingine zote kwenye simulizi yake?

    1. Nilipoona mshikaji ana pingu nikajua ni polisi nilirelax nikajua niko mikono salama. Hii ni statement imeniuma sana sana Sativa alikuwa na trust kwa hili jeshi ambalo si ajabu lina kundi ambalo limeshavunja trust wanayostahili toka kwa watanzania. It is painful. Mwl Nyerere hakutuachia...
  3. Mwisho wa tetesi au mwanzo wa breaking news?

    Mfuatano wa matukio kama tarakimu mnyumbuliko Nambari 1 Mwana jangwa anatua mwituni kimya kimya kisha wahandisi wanamfyatua mafoto akiwa na wapendwa.. Wahandisi kupitia nukuu ya wapendwa wanasema mwana jangwa kaleta bure kabisa neema ya chemchem na vijito.. Huu ni upendo mkubwa kabisa na...
  4. Ni wakina nani hawa na wanamadhumuni gani au ni mwanzo mpya wa maarifa umetufikia?

    Ukiwasikiliza kwa sikio la kusia wana hoja, japo wapo kinyume na imani zetu, wapo kinyume na uungu na dini na vyote vyenye mwelekeo huo. Nina nani haswa hawa , wamepata wapi elimu hio wanayo iwasilisha kwetu, madhumuni yao ninini na wametumwa na nani haswa?
  5. Hapo mwanzo mwanaume alichagua mwanamke wa kuishi nae,hivi sasa mwanamke ndio huchagua mwanaume wa kuishi nae.. Unadhani nini kimebadilika?.....

    Tatizo litakuwa ni nini hapa..? Hivi sasa jamii na hichi kizazi kwa ujumla mambo yamebadilika sana, haswa kwenye suala la mahusiano na haya mahusiano ndio msingi wa uchumba,ndoa mpaka kujenga familia na familia zilizo bora ndio huenda kutengeneza jamii zilizo bora. Sasa hv mwanamke hata umtoe...
  6. Huu ni mwanzo mzuri kwa Simba SC

    Ewe mpenzi wa soka la Tanzania, habari zikufikie popote ulipo kuwa kikosi cha Simba SC kimeanza vizuri katika maandalizi yake ya Msimu mpya huko nchini Misri. Hii ni baada ya kukichapa kikosi cha El Qanah siku ya jana baada ya kuibuka na ushindi mnono wa goli 3-0 (Tatu kwa mtungi). Wale wote...
  7. Wanaume, watoto wako hawawezi kukugeuka ikiwa ulishiriki malezi Yao tangu mwanzo

    Natumain mna afya njema Kuna namna malezi yanakuwa magumu Kwa walezi wa kiume hasa kubadilisha fikra za watoto wao na kuthaminika Kwa watoto wao japo walijitahid kufanya hivo ila hawakuzngatia code Kiukweli mm ni miongoni mwa watu ambao huwezi kuniambia chochote kibaya kuhus babaangu...
  8. Waziri Bashungwa: Mkoa wa Kigoma Utakuwa Mwanzo wa Reli Katika Sekta ya Miundombinu

    MKOA WA KIGOMA UTAKUWA MWANZO WA RELI KATIKA SEKTA YA MIUNDOMBINU: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya miundombinu ya barabara katika Mkoa wa...
  9. S

    CCM itakuja kugawanyika na kuzalisha chama kingine cha upinzani na hapo ndo itakua mwanzo wa upinzani imara

    90% ya watanzania wote ni ccm. ukichekiki mwenendo wa ccm watu wengi wanataka vyeo vya kuteuliwa au kuchaguliwa kwa kura. CCM kuna watu wengi sana ambao wanakosa teuzi ila wanavumilia tu.kwa machungu makada wote wa ccm wazee kwa vijana shabaha yao ni teuzi ili watafune keki ya nchi tatizo...
  10. U

    Huu ndiyo ukweli sabato inaashiria mwisho ya uumbaji za zamani, jumapili siyo sabato bali ni ishara ya mwanzo ya uumbaji mpya!

    Tumsifu Yesu Kristo Moderator tafadhali Uzi huu usiunganishe kwingineko Wadau hamjamboni nyote? Wakristo tokea mwanzoni waliabudu jumapili ambayo ni ishara ya uumbaji ikiachana na sabato iliyoashiria uumbaji wa zamani Naweka ushahidi kuhusu Jumapili huo kama ifuatavyo Kwamba Yesu Kristo...
  11. Serikali ya Umoja South Africa: Je Huu Ndiyo Mwanzo wa Mwisho wa ANC?

    Ni lazima imekuwa hivyo. ANC haina option zaidi ya hiyo (ANC/DA coalition). Na hii inatokana na Conditions walizo zitoa MK na EFF ambazo ni ngumu kwa ANC kuzitekeleza. In fact, the EFF has shown it's willingness to co-govern with the ANC but has demanded the deputy presidency position in...
  12. R

    Mwanzo nilidhani wanapendana, urafiki wa walevi ni wa mashaka tele!!

    Salaam, Shalom!! Usishangazwe na salamu, Kuna Wana wa Mungu wamenitoroka, nawatafuta niwarudishe nyumbani. Turudi kwenye mada. Katika kuishi kwangu nimewahi kuona aina mbalimbali za walevi, Kwa nje unaweza kudhani wanapendana sana, Mlevi mmoja alisafiri Kwa pikipiki karibia kilometa Tano...
  13. Mwanzo umri ulikuwa unaenda Taratibu (10 hadi 20) ila sasa Umri unakimbia (20 hadi 30)...

    Yani kuna hali yanifkirisha,au sijui ndiyo akili za weekend...!? Mtu kukua kutoka umri wa miaka 10 hadi 20 ilichukua mda mrefu sana. Ila Kukua kutoka umri wa miaka 20 hadi 30 mbona imefanyika fasta sana.
  14. T

    Biblia Mwanzo 4: Kwa nini Kaini baada ya kumuua Abel, aliogopa watu wengine watamuua, hao watu ni kina nani?

    Msingi wa dini uko kuanzia mwanzo 1 inayoelezea uumbaji wa Mungu wa binadamu wa Kwanza. Baada ya Adamu kuubwa, alipewa mke wake akamuita Eva, wakazaa watoto 2, mmoja Abeli mwingine Kaini. Hao watoto mmoja akawa mkulima (Kaini) na mwingine Abel mfungaji. Mmoja, Abel akapata kibali machoni pake...
  15. Albatros ndege anaye spend miaka sita ya mwanzo bila kutua chini.

    Albatrosi ni ndege wakubwa wa bahari katika familia Diomedeidae. spishi hizi za ndege wana mabawa marefu kabisa kuliko ndege wote duniani. Albatrosi ana mabawa ambayo mawili pamoja yana urefu wa sm 310 kwa wastani na urefu mkubwa kabisa uliopimwa ulikuwa sm 370. Rangi zao zinatofautiana kutoka...
  16. G

    Tukipeana namba na mdada halafu akatumia neno "dear" katika kuchat na mimi siku 3 za mwanzo, huwa nam-delete fasta

    Mdada akitumia neno dear kuni-ddress mimi mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha. Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.
  17. Jinsi ya kukaza (kutekeleza) hukumu ya Mahakama ya Mwanzo

    JINSI YA KUKAZIA AU KUTEKELEZA HUKUMU MAHAKAMA YA MWANZO: Mwandishi: Zechariah Wakili Msomi Zakariamaseke@gmail.com (0612275246 /0754575246 - WhatsApp) Unaposhinda kesi ya madai, mfano umefungua kesi na hukumu imetoka umeshinda kesi, labda Mahakama imesema ulipwe au urudishiwe nyumba, hauishii...
  18. G

    Family business: Mke wa kamshika masikio kaka, anazidi kuingiza ndugu zake, ndio mwanzo wa hostile takeover ??

    kuna family business ya close relatives naona inakoelekea sio kuzuri and i am so concerned, Binafsi nimepewa huu mkasa na moja wanafamilia ila nikaona mawazo yangu pekee yanaweza yasitoshe. OK ipo hivi.... Inatokea mna family business mliachiwa na wazazi muisimamie. Kaka mwenye nafasi kubwa...
  19. Mwanzo huwa mtamu sana. Sijui ni nini huwa kinavuruga mambo?????!!!!!

    🤔🤔🤔
  20. Dhana ya Adam na Hawa kuwa wa mwanzo kwenye dunia na hadithi ya Nuhu ni mada ambazo zimekuwa na hukakasi nyingi za kifikra na kidini

    Watu wamekuwa wakibishana kuhusu uhalisia wa hadithi hizi na jinsi zinavyolingana au kutofautiana na maarifa ya kisayansi na historia. Kwa mfano, wengine wanachukulia hadithi ya Adam na Hawa kama tafsiri ya kiroho zaidi kuliko kama historia halisi, huku wengine wakiiona kama ukweli wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…