mwanza

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mbunge Tabasamu usitoe sifa za bure kwa Prof. Mbarawa Bungeni kuhusu uwanja wa Ndege wa Mwanza

    Nimefuatilia hotuba ya kuchangia ya Mhe. Tabasamu kwenye Bajeti ya Uchukuzi na kusikitishwa na sifa na shukrani aliyoitoa kwa waziri wa uchukuzi kuwa amewezesha ujenzi wa uwanja huo kuwa wa kimataifa. Ajabu uwanja huo haujaanza kujengwa wala site mobilization haipo, na mitambo ya kudanganyia...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa wakili mzuri aliyepo Sengerema, Mwanza atakayeweza kusaidia hili suala la NMB kugoma kutoa hati ya mteja wao kwa miaka mitano

    Ndugu zangu naomba tumsaidie huyu mama anayezungushwa na NMB kupewa hati yake aliyoitumia kama dhamana ya mkopo miaka 5 iliyopita. Naomba msaada wa kisheria kama kuna wakili humu ambaye yuko Sengerema, Mwanza anaweza kusimamia hili suala. NB: MKOPO UMESHALIPWA MIAKA 5 ILIYOPITA Pia soma...
  3. JamiiForums Tanzania Kufungua Bucha la samaki Dar kutoka Ziwa Victoria

    Kwa hapa Dar, je naweza kufungua butcher la samaki wabichi sato, sangara n.K kutoka Mwanza ? Kwa mtaji wa 2 milioni. Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa inatosha ?? Naomba mnielekeze
  4. JamiiForums Tanzania Microsoft Excel Short Course

  5. JamiiForums Tanzania Natafuta bloggers wa Mwanza kwa ajili ya mentorship

    Wakuu natafuta bloggers waliopo mwanza kwa ajili ya mentorship ya vipengele mbalimbali. Panapo majaliwa tutakua tunapeana kazi
  6. JamiiForums Tanzania Serikali kichunguzeni hiki chuo Cha Mwanza Youth Center kimekuwa mwiba kwa wanafunzi kwa Sheria kandamizi ?

    Ndugu wananzengo habari ya asubuhi , Jamani wazazi tunatakiwa kuwa makini sana pale linapofikia suala la kuwatafuti watoto wetu vyuo kwa ajiri ya kupata ujuzi mbali mbali haya ninayoyasikia kutoka kwa wanafunzi ni hatari sana,wanafunzi wamekuwa wakilalamika kunyimwa uhuru wa kuhoji na mbali...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge aishauri Serikali jinsi ya kudhibiti Watoto wanaochezea Kondomu Mwanza

    Mbunge wa Ilemela (CCM), Dk Angelina Mabula ameitaka Serikali kujenga uzio katika Shule ya Msingi Kitangili iliyopo mkoani Mwanza ili kuokoa maisha ya watoto wanaochezea kondomu katika uwanja wa mpira. Akiuliza swali la nyongeza bungeni leo Jumanne Aprili 23, 2024, Dk Mabula amesema eneo hilo...
  8. JamiiForums Tanzania Battle: Mwanza VS Dodoma

    Kulingana na baadhi ya Watanzania kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Mwanza kipo hakipo Dodoma na kipo Mza hakipo Dom. Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dom wale wa Mza wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao...
  9. JamiiForums Tanzania Battle Mwanza VS Kigali

    Kulingana na baadhi ya Wanyaruanda kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Kigali kipo hakipo Mwanza na kipo Mwanza hakipo Kigali. Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Mza wale wa Kigali wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi Mshauri Mwanza Airport

    Naomba kumjua mkandarasi mshauri kwenye uboreshaji wa miundo mbinu uwanja wa ndege wa kimataifa Mwanza, ni nani hasa ili tujua uwezo wake.
  11. JamiiForums Tanzania Nilipotimka nyumbani kwenda jiji la Miamba

    Hapo zamani za kale, katika jiji lenye kupendeza la Arusha, nilijikuta nikitamani mabadiliko ya mandhari. Nikiwa na roho ya kutokuwa na utulivu na hamu ya kujifurahisha, nilifanya uamuzi wa kufunga virago vyangu na kuanza safari kwenda Mwanza, jiji lililofahamika kwa maoni yake ya kuvutia ya...
  12. JamiiForums Tanzania MWAUWASA acheni kutumia mo Mirongo kupeleka maji machafu Ziwani.

    Licha ya umuhimu wa mto huo uliopo ndani ya Jiji la Mwanza, lakini ni kituko cha kila siku kuona uko hatari kwa uchafu wa mazingira na kusababisha madhara ya kiafya na kimazingira kwa watu wanaoutumia kwa shughuli mbalimbali. Hali hiyo imesababishwa na kuongezeka kwa shughuli za binadamu ikiwemo...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Nahitaji frame ndogo mjini mwanza

    Kama Una frame ndogo mjini sehemu iliyochangamka nicheki pm
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kampuni iliyoingia mkataba wa kujenga jengo la abiria Mwanza Airport kulikoni mbona kimya?

    Mkataba umesainiwa kwa vishindo na vigelegele ili uwanja wa ndege wa Mwanza uanze kujenga kwa kile kilichosemwa na Mkurugenzi wa TAA kwa dharura iliyopo hapo uwanjani kuboresha huduma. Magreda yakasombwa site, Msukuma akasifu, Hamis Tabasamu akatabasamu na kusifu na wananchi waliokusanywa...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta mbwa wa kufuga Mwanza (wakienyeji)

    Nipo mwanza mjini natafuta mbwa Bei iwe kitonga aisee sitaki mbwa wa kizungu. Rangi: Nyeusi itapendeza zaidi Tabia: Mkali sana Bei: Isizidi elf 20
  16. JamiiForums Tanzania Pacome ameanza mazoezi Yanga na atajumuishwa kwenye msafara wa Mwanza

    Habari nilizonazo mpaka sasa afya ya Pacome imeimarika na atasafiri na kikosi kuelekea Mwanza. Lolote linaweza kutokea haswa mechi ya derby. Yao Kwasi bado kuna uwezekano akaikosa mechi tatu zinazokuja.
  17. JamiiForums Tanzania Mwanza ni sehemu gani wanachoma kitimoto Murua?

    Niko Mwanza kitaliii…. wapi napata kitimoto nzuri ya kuchoma
  18. JamiiForums Tanzania TBC: Mfanyakazi aliyesoma habari kuhusu Meli ya MV Mwanza amechukuliwa hatua

    Vongozi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) unapenda kutoa fafanuzi kuhusu sehemu ya maudhui ya matangazo mbashara ya hafla ya ushushaji wa Meli ya MV Mwanza, Ziwa Victoria iliyofanyika tarehe 12 Februari, 2023 kwamba mtangazaji alichokusudia kukisema ni kuwa MV Mwanza itasafirisha mizigo...
  19. JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa TBC 1 anasema meli ya MV Mwanza itapiga route ikiwa ziwa Victoria kwenda Sudani Kusini, Burundi, Zambia Congo na Malawi

    Sitaki niongee mengi nishasema watanzania wengi hasa kwenye kada ya uandishi wa habari miaka ya 2000+ ni hopeless na vilaza wa kutupwa sijui journalism gani hawajui hata Geography ya Primary na O level. Kama mnauzinduzi wa MV Mwanza basi vilaza wenu washaropokwa huko. Endeleeni na vilaza...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Michango ya wana JF kuhusu Q-Net imeniokoa nisitapeliwe Mwanza

    Za siku nyingi wana JamiiForums, natumaini mu wazima. Naomba nitoe shukrani zangu kwa JF kwa maada mbalimbali zimekuwa zinasaidia sana, mimi si mtoa maada sana ila msomaji mzuri. Niende kwenye point. Siku ya leo, nilipigiwa simu na ndugu yangu kwenye ukoo huku Mwanza kuwa ana mchongo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…