mwanza

  1. Roving Journalist

    LGE2024 Zoezi la Upigaji Kura Mwanza linaendelea licha ya mvua kunyesha, leo Novemba 27, 2024

    Mbali na baadhi ya wananchi kujitokeza lakini kumekuwa na changamoto mbalimbali kama vile Utaratibu wa majina haujafuata mpangilio wa majina ya watu (alfabeti) na kuchanganywa hali ambayo inasababisha usumbufu kwa wapigaji kura Mfano Katika kituo cha kupigia kura cha National Housing Kata ya...
  2. Waufukweni

    LGE2024 Mwanza: RC Mtanda ahimiza Wananchi waende kupiga Kura, ataka wasiogope mvua

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amewataka wananchi wa Mwanza kujitokeza kushiriki katika kutimiza haki ya kidemokrasia na kikatiba ya kupiga kura licha ya kuwepo na hali ya mvua na kuwataka hali hiyo isiwatie uvivu. Mhe. Mtanda ametoa rai hiyo mapema leo Novemba 27, 2024 mara baada ya...
  3. Just Pray

    LGE2024 Mwanza: Nane mbaroni kwa kukimbia na kura za mwenyekiti

    Msimamizi wa uchaguzi Halmashauri ya Jiji la Mwanza Kiomoni Kibamba, amesema watu nane wanashikiliwa baada ya kuchukua kura na kukimbia nazo. Soma pia: Ezekiah Wenje: Siasa sio ya Kubembeleza, CCM tutaenda nao Mperampera. Ukishapiga kura linda kura Chanzo: ITV
  4. Waufukweni

    LGE2024 Mwanza: Askari wa Jeshi la Polisi Wafanya doria kuimarisha Usalama wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu Hizi ni picha mbalimbali zikiwaonyesha askari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza wakifanya doria katika maeneo mbalimbali ikiwa ni kuimarisha hali ya ulinzi na usalama mkoani humo.
  5. BigTall

    KERO Ujenzi wa Interchange ya SGR - Mwanza umesimama, Barabara nayo ni mbovu, kero ya foleni ya magari imekuwa kubwa

    Ujenzi wa Mradi wa SGR hapa Mwanza ambao kwa muda mrefu umekuwa hauna mwendelezo umesababisha kero ya foleni hasa katika Barabara ya magari eneo la Mswahili Mkoani Mwanza. Kero hiyo ipo zaidi katika Interchange ya SGR ambapo Barabara inayotumika kwa chini ni mbovu na wakati wa mvua hali huwa...
  6. R

    RC Said Mtanda amekuwa akituhumiwa kwa matendo yasiyo ya kiuongozi. Je, kwa alichowafanyia viongozi wa Simba atabakishwa ofisini?

    Mkuu wa mkoa wa kwanza alituhumiwa tukio la unyanyasaji kingono lililomhusisha RC Simiyu. Mamlaka kwa makusudi zikamwacha ofisini Sasa hivi viongozi wa Simba wamelalamika hadharani kwamba amekwenda kukamata viongozi wao akiwa na polisi na kuelekeza wawekwe ndani. Wakati akifanya haya yeye...
  7. Mkalukungone Mwamba

    LGE2024 Wananchi wa Mwanza wagoma kutawanyika, wamsindikiza Lissu na Pambalu hotelini walikofikia

    Wananchi wa Mwanza wagoma kutawanyika baada ya Tundu Lissu na John Pambalu kumaliza mkutano, wawasindikiza Lissu na Pambalu kwa maandamano hadi hotelini walikofikia, Pambalu atoa neno la shukrani.
  8. Mindyou

    LGE2024 Mwenyekiti UVCCM Mwanza: Hakuna siku nchi hii tutamaliza shida zote maana kila siku tunazidi kuongezeka

    Wakuu, Naona UVCCM wanaendelea kutoa boko huko kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Unaendaje on stage kusema kuwa CCM haiwezi kumaliza matatizo yote? Mbona Serikali nyingine zimeweza? Maji na huduma za afya ndio mnaita matatizo yasiyoisha? Soma pia: Mwanza: Wanafunzi na baadhi ya...
  9. Dalton elijah

    Je, Mradi wa SGR Mwanza Umesimama?

    Miezi kadhaa imepita sasa Tunapenda kuhoji kama mradi wa SGR kipande cha Mwanza kimesimama au mradi unaendelea Maana siku zimepita bila kushuhudia wakandarsi wakifanya kazi katika mradi huo Mkubwa. Tunapenda kufahamishwa kama mradi unaendelea au umekwama kuendelea. Au Kuna changamoto ambazo...
  10. Waufukweni

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mtanda: Ajibu shutma vurugu za Simba SC, CCM Kirumba, "Sikuingia Uwanjani"

    Kufuatia sakata lililotokea Mwanza, na Uongozi wa klabu ya Simba kutoa taarifa ya kulaani vikali vitendo visivyo vya kiungwana vilivyodaiwa kufanywa na viongozi wa timu ya Pamba Jiji FC kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, pamoja na maafisa wa polisi. Soma, Pia: + Vurugu...
  11. GENTAMYCINE

    Simba ikishinda leo mbali na nuksi zote zilizotokea tukafanye sherehe kubwa

    Uongozi wa Simba SC nawalaumu sana kwani mlijisahau, kubweteka na kujiamini, badala ya Kujiandaa na Mechi hii muhimu Kwetu Sisi muda wote tukawa tunashangalia Watani zetu Yanga SC kupokea Vipigo viwili mfululizo vya Azam FC na Tabora United. Tulijua tokea Wiki Tatu au Mbili kuwa tunaenda...
  12. L

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza RC Mtanda unamchonganisha Rais na mashabiki wa Simba kwa mambo ya hovyo kabisa, Omba radhi yaishe

    Najaribu kufikiria sana kwanini RC uliamua kufanya haya uliyoyafanya, wewe ni wa kwenda uwanjani kweli na masilaha ya moto? Wewe kazi yako c kuagiza tu kwa RPC ss iweje ubebe magari ya umma na masilaha kwenda kukabiliana na wachezaji na viongozi ambao hawana hatia? Hihi kweli RC wangap...
  13. chiembe

    Said Mtanda amepwaya Mwanza, impendeze Rais atuletee Kenani Kihongosi ambaye sasa yuko Simiyu

    Mkoa wa Mwanza ni mkoa "injini", kama ni timu, basi mwanza ni " Kiungo mchezeshaji".Kwa Kanda ya ziwa, Mwanza ikipiga chafya, mikoa jirani lazima nguo zipeperuke kutokana na upepo. Hakuna mtu aliyejipata wa Kanda ya ziwa asiyewekeza Mwanza. Mkoa unahitaji damu changa ya amsha amsha. Mkoa una...
  14. Waufukweni

    Ukweli kukamatwa kwa Matola, Vurugu walizofanyiwa Simba SC, Mkuu wa Mkoa Mwanza, Said Mtanda atajwa kwenye sakata hilo

    PIA SOMA - Simba yalaani matumizi ya Polisi kuwazuia kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba kuelekea mchezo wa dhidi ya Pamba
  15. Just Pray

    Simba yalaani matumizi ya Polisi kuwazuia kufanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba kuelekea mchezo wa dhidi ya Pamba

    Soma pia: Vurugu kali zimezuka Uwanja wa CCM Kirumba wakati Simba SC ikifanya mazoezi kuelekea mechi na Pamba Jiji hapo kesho' ======== Uongozi wa klabu ya Simba umesikitishwa na vitendo visivyo vya kiungwana vilivyofanywa na viongozi wa timu ya Pamba Jiji FC, kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    Mkuu wa mkoa wa Mwanza hajavamia mazoezi ya Simba ni uzushi

    Ofisi ya mkuu wa mkoa Mwanza imesikitishwa na taarifa zilizoenezwa na baadhi ya watu kuwa mkuu wa mkoa Mhe Said Mtanda amevamia mazoezi ya Simba akiwa na polisi na kuwashikili meneja wa timu na kocha msaidizi, Taarifa hizi si sahihi Ukweli ni kuwa mkuu wa mkoa alipokea simu kutoka kwa maafisa...
  17. Waufukweni

    LGE2024 Mwanza: TAKUKURU waonya wananchi na wagombea kukaa mbali na rushwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Mwanza (TAKUKURU) imewaonya wagombea na wananchi kuelekea katika Uchaguzi wa Serikali za mtaa, kuacha kutoa, rushwa, kuelekea katika uchaguzi huo. ambao unatarajiwa kufanyika Novemba 27 Mwaka huu,. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza...
  18. Mkalukungone Mwamba

    Mwanza: Afungwa maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka 8

    Samwel Anthony (34) mkazi wa kijiji cha Shilima wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 8. Hukumu hiyo imetolewa jana tarehe 20 Novemba 2024 na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya wilaya ya Kwimba, Ndeko Dastan Ndeko ambaye ndio Hakimu...
  19. Political Jurist

    LGE2024 Dkt. Nchimbi kuzindua kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani Mwanza

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt.Emanuel John Nchimbi atazindua Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mtaa kwa Wagombea wa CCM Mkoani Mwanza tarehe 20 Novemba ,2024 .
  20. JanguKamaJangu

    KERO Serikali ya Mwanza iboreshe ‘maeneo korofi’ ambapo mvua ikinyesha hali inakuwa mbaya

    Maeneo ya Daraja la Masai Daraja la Masai Moja ya changamoto kubwa wanayoipata wakazi wa eneo hilo ni wakati wa mvua kubwa au mafuriko, inapokuwa hivyo Daraja la Salamani na Daraja la Uhuru ambayo yana kina kifupi athari inazidi kuwa kubwa. Kinachoombwa na watu wengi ni kusafishwa kwa Mto...
Back
Top Bottom