Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,615
- 10,520
Habari za wakati huu wakuu. Mimi ni kijana ambaye nimeamua kitumia mtandao kutengeneza CONNECTION za biashara.
Leo hii naomba kama kuna mwenye mawasiliano ya kampuni ya KYOSK mkoa mwanza anisaidie.
Au kama kuna watu wa KYOSK wako humu naomba wanitafute nipate mawasiliano yao.
Kwa wale wasiojua kampuni hii, KYOSK ni kampuni inayojihusisha na usambazaji bidhaa kwa wafanyabiashara wa reja reja. Wapo nchi kadhaa
Asanteni sana.