mwanza

  1. Matata25

    JamiiForums Tanzania Secretary wa like anahitajika Mwanza

    Maconcept Enterprises Tunatangaza nafasi moja ya secretary mwenye sifa zifuatazo 1. Jinsia ya kike 2. Awe na umri usiozidi miaka 30 3. Awe uzoefu wa program mbalimbali za computer za designing 4. Awe anajua vizuri kiingereza na kiswahili 5. Awe mwaminifu na woga wa mali za watu 6. Elimu...
  2. MoSantu

    JamiiForums Tanzania Arusha na mwanza ukijitafuta unajipata

    Wakuu habari zenu? Kuna hoja apo juu kwa upande wangu katika kuzunguka huku na huko nimekuja kupata majibu kwamba Arusha na Mwanza ni miji ambayo ukikaza kujitafuta unajipata. Nilikua na washikaji wanaishi Dsm wakati huo me nipo kaskazini, wakanishawishi kuamia dsm kweli bana nikasogea jiji la...
  3. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ujenzi wa SGR Mwanza - Isaka wafikia 63%

    Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amelishauri Shirika la Reli Tanzania (TRC) kushughulikia changamoto zilizojitokeza katika ujenzi wa kipande cha Dar es Salaam–Dodoma ili zisijirudie katika ujenzi wa kipande cha Mwanza–Isaka. Prof. Mbarawa ametoa ushauri huo alipokuwa Malampaka, mkoani...
  4. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Teller - Mwanza Branch at Standard Bank

    Job Description We are seeking a friendly and professional Teller to join our Mwanza Branch. As a Teller, you will be the face of our bank, providing exceptional customer service while accurately processing financial transactions. This role is ideal for detail-oriented individuals who enjoy...
  5. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Samia Legal Aid wamaliza mgogoro wa majirani Mwanza

    Jopo la Wanasheria wa Serikali kutoka Wizara ya Katiba na Sheria wakiongozwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Haki za Binadamu Bi. Beatrice Mpembo Februari 19, 2025 Jijini Mwanza wamefanikiwa kutatua changamoto ya ardhi iliyokuwa ikiwakabili wananchi wa Kata ya Nyamagana. Hayo ya yamejili kufuatia...
  6. K

    JamiiForums Tanzania KERO Kero: Kuna shida kubwa sana ya maji jiji la Mwanza (Nyamagana)mitaa ya Igoma, Machinjioni, kwa Kibeshi, Mhandu

    Sijui ni viongozi wa MWAUWASA wanataka kumgombanisha mama na wananchi kwa makusudi au ni vipi.Yaani maji yanaweza kukosa mwezi mzima na viongozi wapo tu ofsini. Wizara ya Maji chini ya AWESO em fatilia hili limekuwa kero inayojirudia mara kwa mara.Mama anamwaga fedha nyingi sana kwenye MAJI ila...
  7. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandamano ya CHADEMA Mwanza kupinga kutoweka kwa Katibu wa BAVICHA yapigwa marufuku

    Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza limefanikiwa kudhibiti maandamano ya wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA yaliyokuwa yamepangwa kufanyika siku ya leo katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mwanza hasa katika wilaya ya Ilemela na Nyamagana. Akizungumza na waandishi wa habari...
  8. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Mwanza kuandamana kesho Februari 19, 2025 hadi ofisi ya Mkuu wa Mkoa kupinga mauaji na utekaji wa viongozi wao

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria kimekusudia kufanya maandamano ya amani kwenda kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda kushinikiza kutoweka kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa chama hicho Mkoa wa Mwanza Amani Manengelo. Akizungumza leo Februari 18, 2025 na...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hii kasi ya ujenzi wa bararara ya njia nne Mwanza- Usagara ni sawa?

    Wakati bajeti ya mwaka 2024/2025 ikisomwa, ilielezwa ujenzi wa barabara ya njia nne kati ya Mwanza hadi usagara, ungefanyika. Bajeti mpya ya 2025/2026 itawasilishwa hivi karibuni. Mwezi uliopita waziri mpya wa ujenzi alifanya ziara Mwanza. Tuliona vifaa vya kutengeneza barabara vikichimba eneo...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yazindua kamati ya ushauri wa Kisheria bila malipo, kutatua migogoro ya kisheria inayosababisha baadhi ya wananchi kuishitaki serikali

    Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali nchini imezindua kamati maalumu ya ushauri wa kisheria na kliniki ya sheria bila malipo mkoani Mwanza ikiwa ni hatua ya serikali ya kutatua migogoro ya kisheria inayosababisha baadhi ya wananchi kuishtaki Serikali. Akizungumza jijini Mwanza Mkaguzi wa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Mwanza ulisitishwa?

    Nian̈ze kwa kuonyesha masikitiko yangu ya dhati kuhusu kusuasua kwa mradi wa uwanja wa ndege wa Mwanza, kulikoni? Hivi itawezekana kweli huu uwanja kuanza kutumika mwaka huu. Sisi wananchi wa kanda ya ziwa tunaomba majibu na ufafanuzi kabla ya oktoba. Mimi ni mwana CCM ninapata shida sana...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kata ya Shibula walioko pembezoni ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza wametoa siku saba kwa serikali Kuhusu Hatma ya Maeneo Yao

    Wananchi wa Kata ya Shibula walioko pembezoni ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza wametoa siku saba kwa serikali kuja mezani kuzungumza nao kuhusiana na mustakabali wa maeneo yao endapo ombi lao halitasikilizwa wataanza rasmi kuendeleza maeneo yao. Wananchi hao ambao wamekuwa katika mgogoro wa ardhi...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wasira apokelewa rasmi Mwanza, ateta na kamati ya siasa ya mkoa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Ndugu Stephen Wasira amepokewa rasmi mkoani Mwanza na kuzungumza na Kamati ya Siasa ya mkoa huo, katika Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa Mwanza. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mwanza jiji hadi kutua DSM - Mbagala

    Wakuu habari zenu na poleni na majukumu . Mimi ni msukuma wa mwanza nimeishi mwanza - Nyashishi takribani maisha yangu yote lakini kwa miezi minne sasa nimetua hapa Dar na sina mpango wa kuhama kabisa. Kwa sasa naishi maeneo ya Tabata Mwananchi - nimepanga. Hata hivyo katika tembea tembea...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia

    Serikali kupitia taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2024 imefanikiwa kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo 13 yenye thamani ya zaidi ya sh. Bil 4.4 kwenye sekta ya Elimu, Barabara na Biashara ambapo kati ya hiyo...
  16. comte

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali: Polisi walikosea kuwaua walioteka watoto Mwanza

    "Watekaji wawili walikuwa wanajihami kwa mapanga lakini askari polisi zaidi ya 20 walishindwa kuwadhibiti wahalifu hao wawili wenye mapanga na kulazimika kuwapiga risasi. Yani askari zaidi ya 20 wanashindwa kuwadhibiti wahalifu wawili wenye mapanga na kulazimika kuwaua kwa mbali kwa kuwapiga...
  17. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Mwanza: aomba rift kwenye gari la shule na kuwateka watoto wa chekechea, ataka hela ili awaachie

    Amani iwe kwenu watu wa MUNGU MWENYEZI Kamanda mtafungwa ndo kayasema hayo Japokuwa maelezo ya kamanda hayajitoshelezi lakin ndo kasema hivyo =============== Wanafunzi wawili wa Shule ya Blessing Modern iliyopo Nyasaka wilayani Ilemela jijini Mwanza wametekwa na kupelekwa kusikojulikana na mtu...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Wapenzi wawili wamekutwa wamefariki dunia. Chanzo cha tukio hilo kikidaiwa kuwa wivu wa mapenzi

    Watu wawili jinsia ya kike na kiume wanaodaiwa kuwa ni wapenzi wamekutwa wamefariki dunia katika mtaa wa Mkudi uliopo katika Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza huku chanzo cha tukio hilo kikidaiwa kuwa wivu wa mapenzi. Soma Pia: Tabora: Mwanamke auawa, chanzo wivu wa mapenzi Watu hao waliokutwa...
  19. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Kwenye connection ya kazi ya delivery agent kwa kampuni za mwanza anishtue au kazi yoyote ndani ya Mwanza

    Wakuu habari ya jumapili Kwa heshima na tahadhima naomba kwenye connection ya kazi ya kufanya delivery ya mizigo kwa kampuni zilizopo Mwanza anishtue au kama kuna kazi yoyote halali mnipe jamani Hali mbaya kitaa Nina leseni ya udereva ninaweza kuendesha gari na pikipiki na nina ufahamu wa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Stand ya Gharama ya Nyamhongolo, Mwanza hata usafi wa kuondoa Buibui mmeshindwa???

    Kodi mnakusanya lakini hata usafi wa kuondoa buibui mmeshindwa??
Back
Top Bottom