Biashara inaleta faida kuliko kiwanja, bora nikiuze niongeze mzunguko kwenye biashara yangu.
Bei ni 2.5 m
Urefu hatua 30 kwa 25
Maeneo yamepimwa, hati ya serikali ya mtaa,
Kinapatikana nyashishi, barabara ya vumbi inayoelekea kule inakojengwa bandari kavu.
2.5 cash
Piga simu namba...