Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Huyu Mama Mwenye moyo wa Upendo,huruma, Ukarimu, Unyenyekevu, Uzalendo na Moyo wa kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania katika kuleta matumaini na tabasamu kwa watu wote.
Amekuwa ni nuru na Mwanga wa Taifa letu katika mioyo ya...