mwanga

Danieri Basammula-Ekkere Mwanga II Mukasa (1868 – 8 May 1903) was Kabaka of Buganda from 1884 until 1888 and from 1889 until 1897. He was the 31st Kabaka of Buganda.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    Niliwahi kuandika hapa kwamba Polepole alikuwa anamtumia Sabaya kuleta "mizigo" kutoka Manyara, naona sasa mwanga unafunguka

    Nimeshindwa jinsi ya kuupata ule uzi niliweka hapa miaka kama mitatu imepita. Kwamba procurement officer wa mizigo alikuwa Sabaya. Ndio maana alijiamini sana ndugu Sabaya. Haya sasa, na inasemekana Harakaraka yuko waya mkali. Anakula booster kila siku
  2. chiembe

    Kwanini Mnyika huwa anamshambulia Jaji Mwanga na Mahakama kila shauri linapoahirishwa?

    Kwanza nashangaa, kila baasa ya kesi Mnyika anakusanya watu waliokuwa kwenye kesi hiyohiyo na kuanza kuwahutubia, wakati watu hao waliona na kusikia kila kitu. Kwa nini wasifanyie makusanyiko maofisini kwao? Mahakama inahitaji utulivu, lakini mayowe ya pipoz, sijui no reform Hapo kuna wateja...
  3. Roving Journalist

    GE2025 Jaji Mwanga kuendelea na Kesi ya CHADEMA leo Agosti 7, 2025 baada ya kukataa kijitoa

    Leo, Agosti 7, 2025, Jaji Hamidu Mwanga anatarajiwa kuendelea kusikiliza Kesi Namba 8323/2025, iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Zanzibar, Said Issa Mohammed, dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho. Inatarajiwa leo mahakama itasikiliza...
  4. Parabolic

    Kwanini Jaji Mwanga asikilize kesi anayolalamikiwa? Iko wapi Natural Justice?

    Dhana ya kanuni za haki ya asili (natural justice) kimsingi imejengwa juu ya misingi mikuu mitatu. Kwanza ni Nemo Judex in Causa Sua – "Hakuna mtu anayepaswa kuwa jaji katika kesi yake mwenyewe" Pili ni ni Audi Alteram Partem – "Sikiliza upande wa pili" Pia soma GE2025 - Jaji Hamidu Mwanga...
  5. R

    Watanzania wameuona Mwanga wamechoka sasa, FANYENI REFORM WEKENI MPIRA KATI TUCHEZE asema Mwanamama

    Watanzania/Watanganyika wameuona mwanga wa Bwana. FANYA REFORM, WAMECHOKA, WEKENI MPIRA KATI TUCHEZA
  6. K

    Professor Maghembe ameishiwa sere na Sasa anatumia udini kumsimika Madara ya ubunge wa Mwanga mwanae

    Inasikitisha sana na Kuona mwanasiasa mkongwe aliyehudumu mihula minne jimboni Mwanga mkoani Kilimanjaro akikosa mbinu ya kumnadi mwanaye na Sasa anamtumia shekh wa wilaya kuendesha harakati za udini misikiti yote ya BAKWATA jimboni humo Mtoto wa professor Maghembe ajulikamaye kama...
  7. L

    Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa Amuwakilisha Rais Samia Katika Kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu Mteule wa KKKT Dayosisi Ya Mwanga.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassimu Majaliwa,Leo hii Tarehe 13 Amemuwailisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Katika kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu...
  8. The redemeer

    Ukitaka kuamka kiroho pokea zawadi ya Kitabu hiki upate mwanga wa maisha

    KUAMKA KIROHO NI mchakato wa kuamka kutoka kwenye giza ( ujinga) na kutembea kwenye mwanga baada ya kufunguliwa kwa lock zilizoshikilia akili yako ili utembee kwenye Nuru. Kwenye Giza la kiroho kuna umasikini, matatizo, magonjwa, nadharia za kuogopa wachawi majini mapepo mizimu nk hivi ni...
  9. kalooo 25594

    Si kile kinachoandikwa tu,bali maisha yenyewe ya mtu ndo maandiko ya kweli. Na Kalooist atakapoanza kuhoji huo ndo mwanga na uhuru wa kweli

    Mwanajamvi ni nani?,mwanajamvi ni nini?,mwanajamvi yuko wapi? Kalooist ni nini ni nani?,Kalooist yuko wapi? Mungu ni nini na nani na yuko wapi? Dunia ni nini, ni nani na iko wapi?au ndo nini tofauti na bustani(enclosed area) ya Edeni( eneo liletalo furaha) ya watu tangu asili ya...
  10. Dennis Robert Shughuru

    Electrical Motor ina-speed zaidi ya Mwanga

    Nikiwa Rais wa Tanzania kutatengenezwa electric motor ambazo zitakuwa zina-speed zaidi ya mwanga na zitakuwa zinatumiwa na rockets Ni ukweli kwamba technology ya sasa ya electric motor haiwezi kufikia speed ya mwanga, as Technology grow nakuhakikishia electric motor ina-uwezo wa kuwa na speed...
  11. Logikos

    Uongo unaotambulika kama Ukweli: Archimedes aliweza kuunguza meli za Warumi kwa kutumia Vioo na Mwanga wa jua

    Hili lipo Historically, tunaambiwa huyu mdau (mgunduzi) alitumia mbinu za kutumia vioo na mwanga wa jua (kama vile lense inavyoweka kuchoma karatasi) na kuunguza Meli zilikuwa zinavamia..., Je kuna ukweli kwamba hilo lilitokea ? https://youtu.be/ZI3WcOTGd4o?si=l0gGUXgAPdBg9pwJ
  12. Valencia_UPV

    Wilaya ya Mwanga kesho tunaenda kusimamisha dunia kumwaga Mzee wetu Msuya

    1. Huyu Mzee ndo ameifanyia mengi wilaya yetu ya Mwanga kufahamika duniani. Lami, hospitali za kutosha, free WiFi na Umeme mpaka Vijijini kuliko wilaya nyingi hapa Tanzania. Tunamshukuru kwa yote. 2. Pia tupunguze ubahili ili miradi hii isife baada ya yeye kufariki. Ikiwezekana tujenge...
  13. Jamii Opportunities

    Relationship Manager – SMEs and Retail Banking (Mwanga, Kilimanjaro) at Mwanga Hakika Bank May 2025

    About the job Relationship Manager – SMEs and Retail Banking (Mwanga, Kilimanjaro) Mwanga Hakika Bank Limited (MHB) is a fully fledged commercial bank 100% owned by local Tanzanians. We have an exciting opportunity for enthusiastic and committed individuals to join our dynamic and growing team...
  14. Jamii Opportunities

    Mwanga Hakika Bank Jobs – 4 New Opportunities in May 2025

    Discover Exciting Career Opportunities at Mwanga Hakika Bank – Apply Now! Savings accounts Are you looking to take your career to the next level? Mwanga Hakika Bank in Tanzania is currently offering four dynamic positions for talented professionals who want to join a thriving institution. This...
  15. Jamii Opportunities

    Customer Service Manager at Mwanga Hakika Bank May 2025

    Mwanga Hakika Bank Limited (MHB) is a fully fledged commercial bank 100% owned by local Tanzanians. We have an exciting opportunity for enthusiastic and committed individuals to join our dynamic and growing team in the following open vacancy. Purpose of the Role To lead and manage the branch’s...
  16. The redemeer

    Vitabu vinavyoweza kukupa mwanga maarifa kuhusu mafanikio

    Kama unatafuta vitabu vya kujifunza siri za utajiri, kujenga mali, na mafanikio ya kifedha, hapa kuna baadhi ya vitabu maarufu na vya thamani vinavyoshughulikia mada hii: ### 1. Vitabu vya Klasiki kuhusu Utafiti na Uwekezaji - "The Richest Man in Babylon" – George S. Clason (Mtu Mjakazi...
  17. L

    Rais Samia ni Nuru na Mwanga wa Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla wake

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Huyu Mama Mwenye moyo wa Upendo,huruma, Ukarimu, Unyenyekevu, Uzalendo na Moyo wa kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania katika kuleta matumaini na tabasamu kwa watu wote. Amekuwa ni nuru na Mwanga wa Taifa letu katika mioyo ya...
  18. Just Pray

    Zaiylissa: Namshukuru Mungu kwa kunitoa gizani na kunielekeza kwenye mwanga, Ilikuwa uamuzi mgumu sana, lakini leo nimesimama

    "Namshukuru Mungu kwa kunitoa gizani na kunielekeza kwenye mwanga. Ilikuwa uamuzi mgumu sana, lakini leo nimesimama nikiwa na nguvu zaidi na nimejaa azma kuliko wakati wowote. Nimebarikiwa na ninafurahia kufanya kazi na chapa (brands) nzuri kama balozi wa chapa (brand influencer), njia ambayo...
  19. Imani rubaba

    Je Unajua? 🐔🥚 Mwanga unaathiri Sana Kuku Wa Mayai?

    Kuku wanahitaji takriban saa 14–16 za mwanga kila siku ili kudumisha uzalishaji bora wa mayai. Ikiwa mwanga ni hafifu au haupatikani kwa muda mrefu, uzalishaji wa mayai unaweza kushuka kwa kasi. Hii ndiyo sababu wafugaji wa kisasa hutumia taa maalum za LED kudhibiti mwangaza, na hivyo...
  20. JanguKamaJangu

    Rahim Mwanga: Kustaafu hakupaswi kuwa chanzo cha matatizo ya kifedha, Watumishi jifunzeni kuwekeza mapema

    Afisa Masoko Mwandamizi, Kampuni ya Uwekezaji ya UTT – AMIS, Bw. Rahim Mwanga, akitoa mafunzo ya elimu ya fedha kwa watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, yaliyotolewa na Wizara ya Fedha na Taasisi zake. Watumishi wa Umma na Sekta Binafsi wameshauriwa kujifunza kuhusu uwekezaji mapema ili...
Back
Top Bottom