mwandishi wa habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sheikh23

    JamiiForums Tanzania Oscar Oscar, mwandishi anayesumbuliwa na mafanikio ya Yanga

    Wakuu habari,kimsingi sielewi km ni sahihi kwa anachokifanya huyu mwandishi,kutwa kucha kuikejeli Young Africans. Kwenye utaratibu huo wa post zake za kuitweza brand kubwa ya Yanga kuna matangazo ya Dstv,M_bet na Asas. Mbali na kutafuta umaarufu mavi[emoji90],mwandishi huyu anaitumia yanga...
  2. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Amshusha kwenye Gari Mwandishi wa Habari wa Wapo Radio

    Anaandika mwandishi wa habari wa wapo Radio. Hapo wakati Tuna chati na Dc . Kama Alikuwa Hataki mimi niende katika Ziara yake Ni Vema Angesema kwamba Sitaki Mwandishi Namimi nisingepoteza Muda wangu . Maana kwa Majibu hayo niliamini kuwa Alikuwa Tayari mimi niwe nae katika ziara...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwandishi William Ngazija wa ITV akamatwa na Polisi mkoani Tanga

    Taarifa zinaeleza kwamba Mwandishi huyo anayeripotia ITV kutokea Mkoa wa Tanga , amekamatwa na Polisi wa Korogwe na kulundikwa Sero kwa Amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo , Ambaye pia ni Mlimbwende wa Tanzania wa miaka iliyopita Mtukufu Basila Mwanukuzi . Bado haijafahamika kosa lake Chanzo : Kitenge TV
  4. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Video: Taleban wacheka walipoulizwa na mwandishi wa habari kama wapo tayari kuunda serikali ya kidemokrasia ambayo wanawake watagombea/kupiga kura

    Katika hii video hapa chini magaidi wa Taleban wanaonekana wakicheka na kumwamuru mwandishi wa habari aache kurecodi pale walipoulizwa kama wapo tayari kuruhusu demokrasia ambayo wanawake wataruhusiwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika serikali yao na kupiga kura katika kuchagua...
  5. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari akamatwa na Polisi akiwa katika majukumu yake mkoani Mwanza

    Taarifa ya kukamatwa kwa Mwandishi wa habari Shagata Suleiman na Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza. ................................................. Ndugu waandishi wa Habari na Taasisi za kihabari Nchini Tanzania, nasikitika kuwataarifu kuwa, Mwandishi wa habari mwenzetu na mwanachama wa Klabu...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Belarus yawekewa vikwazo baada ya kulazimisha ndege itue na kumkamata Mwandishi wa Habari

    Viongozi wa Umoja wa Ulaya (EU) wamekubaliana kuwekwa vikwazo dhidi ya Belarus kufuatia tukio la Ndege kulazimishwa kutua ili kumkamata Mwandishi wa Habari mwenye aliye na mrengo wa Upinzani. Roman Protasevich alikuwa kwenye ndege kutokea Ugiriki kwenda Lithuania ambayo ililazimika kutua Mji...
  7. mshale21

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Atakeyeonea waandishi wa habari kukiona

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema yoyote atakaye waonea waandishi wa habari wakati wakitimiza majukumu yao watakiona, kwani serikali inawatambua na kuwathamini na isingependa kuona hata siku moja mwandishi anapata tatizo anapotimiza wajibu wake. === SERIKALI: HATUTAKUBALI KUONA MWANDISHI...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

    Mtangazaji wa kituo cha ITV cha jijini DAR ES SALAAM Bi Blandina Sembu amekutwa akiwa ameuawa maeneo ya ITV Mwenge usiku saa sita. Mwili huo ulitambuliwa na Henry Mabumo aliyekuwa mtangazaji mwenzake kabla Mabumo hajahamia TBC. Mwili ulichukuliwa na Polisi usiku huohuo. Taarifa rasmi...
  9. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Misri yamwachia mwandishi wa habari wa Al Jazeera baada ya miaka minne

    Baada ya kukaa kizuizini kwa zaidi ya miaka minne, mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Mahmoud Hussein ameachiwa siku ya Ijumaa. Hussein, raia wa Misri, alikamatwa mwezi Disemba mwaka 2016 kwa tuhuma za kuandika habari za uwongo. Shirika la Habari la Al Jazeera lilifanya kampeni kila siku kutaka...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari za Kiuchunguzi, Erick Kabendera ataka kuongea na DPP ili kumaliza kesi yake

    Jebra Kambole, wakili wa mwandishi wa habari nchini Tanzania, Erick Kabendera ameijulisha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa mteja wake anataka kujadiliana na mkurugenzi wa mashtaka (DPP) namna ya kumaliza kesi inayomkabili. Ameeleza hayo leo Ijumaa Oktoba 11, 2019 mbele ya Hakimu Mkazi...
  11. Donatila

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa kampuni ya Mwananchi Communications (MCL), Azory Gwanda apotea. Ni siku 10 na hajulikani alipo

    Mwandishi wa @MwananchiNews apotea. Siku 10 hajulikani alipo. Alikuwa anafanya uchunguzi wa Habari nyeti. Nataraji kesho tutajua zaidi - ZZK. KUHUSU AZORY GWANDA Azory Gwanda alizaliwa 1975 na alikuwa ni mwandishi wa habari wa Kampuni ya ya Mwananchi Communications iliyopo jijini Dar es...
  12. mzushi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee Paul Sozigwa, aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Mwalimu Julius Nyerere afariki Dunia

    Yule Mzee Mkongwe na Gwiji la siasa l za Tanzania Mzee Sozigwa amefariki Dunia. Sozigwa alikuwa amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Mtoto wa Mzee Sozigwa, Mchungaji Moses Sozigwa alisema tatizo la kwanza lililokuwa likimsumbua baba yao ni kupoteza kumbukumbu. Baadaye...
Back
Top Bottom