mwandishi wa habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa EATV ashambuliwa na wanaodaiwa kuwa polisi, wakati akifuatilia changamoto ya usafiri wa mwendokasi Mbezi

    Mwandishi wa habari wa Kituo cha Televisheni cha EATV, Marco Kilo amedaiwa kushambuliwa wakati akiendelea na majukumu yake ya kihabari katika Kituo cha Mabasi yaendayo kasi (Mwendokasi) cha Mbezi Luis juzi. Kwa mujibu wa taarifa ya Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwandishi wa Habari apitishwa na CHAUMMA kuwania Ubunge Jimbo la Uyole dhidi ya Dkt. Tulia

    Naibu Mkurugenzi Habari Uenezi na Mawasiliano kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Mwandishi wa Habari wa Mawio Online TV, Ipyana Samson Umetuliwa na Chama hicho kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Uyole Jijini Mbeya Katika Uchaguzi Mkuu wa Rais Ubunge wa Diwani Utakaofanyika Oktoba...
  3. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari aliyepiga picha hii Kenya anatafutwa na serikali ya Uganda

    Kosa ni kutumia picha ya raisi bila kuihariri na kuiongezea mivuto.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sifa za kusajiriwa kama mwandishi wa habari hizi

    Wanajamvi, nimeona niweke hapa sifa zinazotakiwa ili mtu aweze kusajiriwa kama mwandishi wa habari kwa mujibu wa Section 19 ya Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari, 2016 na Kanuni zake za mwaka 2017 (Regulations 17, 18, & 19). Wachangiaji wengi tumeingia kwenye mjadala bila kujua kwanza sheria...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwandishi wa Habari na Kada wa CCM, Harubu Kabwe: Nitamlinda Rais Samia kwa gharama yoyote, yeye ni Lulu ya Taifa letu

    Mwandishi wa Habari na Kada wa Chama cha Mapinduzi, Harubu Kabwe amesema; "Nitamlinda Rais wangu Samia Suluhu Hassan kwa gharama yoyote ile, Rais ni Lulu kwa Taifa letu la Tanzania"
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwandishi wa habari Salim Kikeke achukua fomu kugombea Ubunge Moshi vijijini

    Mwandishi wa habari mkongwe na mtangazaji Salim Kikeke amechukua fomu ya kuwania ubunge katika Jimbo la Moshi Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aliyekuwa Mwandishi wa Habari MCL, Daniel Makaka ajitosa kugombea Udiwani Bulyaheke kupitia CCM

    Aliyekuwa mwandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), wilayani Sengerema mkoani Mwanza, Daniel Makaka amechukua fomu ya kugombea udiwani wa Bulyaheke wilayani Sengerema kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makaka amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM kata ya...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwandishi wa habari, Charles Mwakipesile achukua fomu kutia nia kugombea ubunge jimbo la Mbeya mjini

    Mwanahabari Charles Mwakipesile amechukua Fomu kugombea Ubunge jimbo la Mbeya mjini
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwandishi wa habari, Adam Malima achukua fomu ya Ubunge Mpwapwa kupitia CCM

    Mwandishi wa habari wa channel ten Adam Malima amechukua form ya kuwania kuteuliwa na chama cha mapinduzi CCM kugombea ubunge wa jimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma. Adam Malima ambae ni mzaliwa katika jimbo hilo ameeleza kuwa dhamira yake ni kuhakikisha kuwa anaifungua Mpwapwa ili iwe kubwa zaidi...
  10. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: SIjamuelewa huyu Mwandishi wa Habari

    Tazama caption kwenye hiyo picha hapo chini kisha unisaidie kuelewa https://www.youtube.com/watch?v=wZ4YOttFfPw
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Mwandishi wa habari wa Ki-Palestina Hassan Aslih Majeshi ya Israel yalitaka sana auliwe?

    Ni kweli kabisa Majeshi ya Israel yalijaribu mara moja kutaka kumuua Mwandishi huyo wa Kipalestina Hassan Aslih na kumjeruhi vibaya sana akalazwa Hospitali ambako jana waliamua kumfuata huko huko na kumuangamiza bila huruma yoyote. Swali linarudi kwa nini Israel ilitaka sana hasa kuwaua...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari wa Palestina Hassan Aslih aliyeandamana na Magaidi wa Hamas Oct 07,2023 kuvamia Israel aangamizwa.!!!

    Kulingana na ripoti kutoka Gaza, mwandishi wa habari wa Palestina Hassan Aslih, anayejulikana kwa kuandika shambulio la Hamas la Oktoba 7 na kuwa na uhusiano wa karibu na Hamas, aliuawa katika shambulio la anga la Israel katika Hospitali ya Nasser huko Khan Younis. Alikuwa amelazwa hospitalini...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwandishi wa Habari wa Global TV asimulia alivyokamatwa na Jeshi La Polisi mahakamani Kisutu kwenye kesi ya Tundu Lissu

    Wakuu, Akiwa anazungumza muda mfupi baada ya kuachiwa na Jeshi La Polisi, mwandishi wa habari kutoka Global Online TV Grace Khuni amesimuliwa namna ambavyo alikamatwa na Jeshi La Polisi wakati ameenda kuripioti kesi ya Tundu Lissu "Nilikuja kwenye majukumu yangu kikazi, (polisi) wakaniuliza we...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Yule Kamanda wa Polisi ambaye alishuhudia Kifo cha Mwandishi wa habari Daudi Mwangosi yuko wapi kwa sasa?

    Kuna kauli imezoeleka ya malipo ni hapa hapa Duniani, hivyo basi samba samba na kauli hii elekezi, ndugu wadau na wajumbe wote naomba kujua alipo yule ambae alipewa tuzo ya kupandishwa Cheo na Mstaafu Kikwete wakati ule. Tutaona mengi kwa kadri ya majaaliwa yake Mungu. Gusa achia ni kwa...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hassan Masana, Gaidi aliyeripoti mauaji ya Oktoba 7, aangamizwa Khan Younis

    Gaidi aliyejifanya kuwa mwandishi wa habari, Hassan Masana, aliyeripoti mauaji ya Oktoba 7 na ambaye aliongozana na magaidi hao naye ameangamizwa baada ya mashambulizi ya ndege za israel huko Khan younis kumjeruhi vibaya baada ikaripotiwa katutoka Mwandishi huyu alikuwa na nafasi ya kuzuia...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Si vyema mwandishi wa habari kuwa mtu wa akili ndogo na mawazo finyu.

    Inawezekanaje mtu mwenye akili ndogo na uelewa finyu kama huyu kuwa mwandishi wa habari katika kituo kikubwa cha habari?! Hii nchi bado ina safari ndefu sana.
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwandishi wa habari, Khalifa Said: Hakuna dalili yoyote inayoashiria kuwa CHADEMA kweli watazuia uchaguzi usifanyike

    Kwa mujibu wa Khalifa, hakuna dalili yoyote inayoashiria kuwa CHADEMA kweli kuzuia uchaguzi usifanyike, wala hakuna dalili za mageuzi yoyote kufanyika kabla ya uchaguzi. Ameeleza kuwa njia pekee ambayo kauli mbiu hiyo inaweza kuwa na maana ni ikiwa itachukuliwa kama mzaha. Khalifa anahoji kuwa...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari Furaha Simchimba na Wengine Wawili Wafariki Katika Ajali Mbeya

    Watu watatu wamefariki dunia akiwamo mwandishi wa habari wa kujitegemea mkoani Mbeya, Furaha Simchimba katika ajali iliyotokea mkoani humo ikihusisha basi la Kampuni ya CRN na gari la Serikali. Ajali hiyo imetokea leo Jumanne Februari 25, 2025 katika eneo la Shamwengo wilayani Mbeya ambapo...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari mwenye lafudhi ya Kihindi na broken English aumbuliwa na Trump!

    Huyu mwandishi wa habari alikuwa anajikakamua na Kingereza chake cha kuunga unga na lafudhi ya Kihindi kwenye press conference ya Trump na Modi Trump akamwambia haelewi hata neno moja analolitamka akaachana naye akaenda kwa mwandishi mwingine.
  20. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Austere Malivika ni Mwandishi wa habari Jasiri sana, anaandika habari za vita vya Congo DRC akiwa uwanja wa vita

    Huyu mwamba ni zaidi ya mwanahabari, anaripoti habari za mgogoro wa Mashabiki ya Congo kwa zaidi ya miaka kumi sasa na mara zote amekuwa akirupoti matukio live akiwa na wapiganaji wa pande zote. Amekuwa ameonekena akiwa anasafiri pamoja na waasi, akiwa pamoja na wanajeshi wa serikali ya Congo...
Back
Top Bottom