Ukisikia kila kazi inachangamoto yake ndio hii, na moja ya watu wanakutana na changamoto ni Waandishi wa Habari.
===========
Waandishi habari wakati mwingine hujikuta katika mazingira hatari wakati wakikuletea habari. Ripota wa televisheni ya Urusi ya RT na mpiga picha wake walinusurika...
Mwandishi kusaga wa Arusha ashikiliwa na polisi muda huu,chanzo chadaiwa kuandika taarifa za uongo za kijana aliyebishana na polisi
Mwandishi wa habari wa alphonce Kusaga mmiliki wa Kusaga TV na mtangazaji wa kituo cha Radio cha Sunrise anashikiliwa kituo kikuu cha polisi Arusha muda huu baada...
Nimeona ile stori ya Mwananchi mwenzangu wa Kigoma aliyoandika kuhusu Shule ya Sekondari Buhanda iliyopo Kigoma Mjini kuwa na upungufu wa madawati, ni kweli shule hiyo na nyingine kadhaa hazina madawati na ni changamoto ambayo ipo kwenye shule kadhaa.
Nishee stori moja, kuna Mwandishi wa Habari...
Kumekuwepo Na Chapisho Linalo Sambaa Kwenye Mitandao Ya Kijamii Hasa Facebook Likiwa Na Ujumbe Kwa Vyombo Vya Habari.Je Lina Ukweli Kiasi Gani?
Hii Ni Nukuu Ya Ujumbe huo ""Baada yakuteuliwa kuwa waziri wa habari, Makonda kaja na Sheria mpya. Mtu yoyote ili aweze kutoa taarifa ya serikali ni...
Patrick Kipangula- Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari Tanzania (JAB) anasema vyombo vya habari vya nje havikufuata utaratibu wakati wa kuripoti matukio ya Oktoba 29 nchini.
Polisi kwa mara nyingine wamempiga na kumjeruhi mwandishi wa habari aliyekuwa akifuatilia kampeni za mgombea urais wa chama cha National Unity Platform, Robert Kyagulanyi, katika Wilaya ya Kween, eneo la Sebei.
Chanzo cha ukatili huo wa polisi dhidi ya mwandishi huyo asiye na silaha bado...
Ujumbe wa Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura, alioutoa Septemba 18, 2025 jijini Dodoma wakati akifungua mkutano wa majadiliano baina ya MCT na waandishi wa habari, maafisa wa idara na mamlaka za serikali, unakumbusha jukumu la waandishi wa habari katika kusimamia...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewaachia huru na kuwafutia mashtaka ya uhaini washtakiwa wanne akiwemo Mwandishi wa Habari wa Ayo Tv, Godfrey Ng’omba. Wengine walioachiwa ni watoto watatu wa kiume wenye umri wa miaka 13, 16 na 17 (waliokuwa mahabusu ya watoto) ambao kwa pamoja walikuwa...
Kushoto: NIffer akiwa katika make-up yake katika sura ya kikazi.
Kulia: NIffer akiwa anashuka kutoka kwenye karandinga la magereza mahakamani kwa kuchechemea, kuashiria kuwa amepigwa hadi kuteguliwa mguu.
Jennifer Bilikwija Jovin, maarufu kama "Niffer" ni Mwandishi wa Habari, Mwanamitindo na...
Picha: Alphonce Kusaga (Mei 2025)
Mwandishi wa kituo cha habari cha Sunrise Radio cha jijini Arusha, ambaye ni miliki wa Kusaga Tv, ndugu Alphonce Kusaga amekamatwa na Jeshi la polisi Arusha jana 04 Novemba 2025.
Baada ya kukamatwa, alipelekwa nyumbani kwake kufanya upekuzi, kisha wakamrudisha...
Hivi kuna mwandishi wa habari wa kujitegemea ambaye naweza kushirkiana nae kwenye platform za kidigital
Anaweza kushirikiana na mimi kwenye platform za kidigital kwa kuanza kujitolea, naomba kujua kama yupo tuwasiliane.
Nimekutana na hili andiko, naona mtoa hoja ana hoja:
Na Ndimara Tegambwage
Je, katika mazingira ya uandishi wa habari; yale ya ukusanyaji taarifa kwa ajili ya kuandaa habari au andiko la kuwasilisha katika chombo cha mawasiliano; bado kuna sababu au haja kwa Serikali kuendelea kutoa...
Mwandishi wa habari wa Kituo cha Televisheni cha EATV, Marco Kilo amedaiwa kushambuliwa wakati akiendelea na majukumu yake ya kihabari katika Kituo cha Mabasi yaendayo kasi (Mwendokasi) cha Mbezi Luis juzi.
Kwa mujibu wa taarifa ya Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika...
Naibu Mkurugenzi Habari Uenezi na Mawasiliano kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Mwandishi wa Habari wa Mawio Online TV, Ipyana Samson Umetuliwa na Chama hicho kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Uyole Jijini Mbeya Katika Uchaguzi Mkuu wa Rais Ubunge wa Diwani Utakaofanyika Oktoba...
Wanajamvi, nimeona niweke hapa sifa zinazotakiwa ili mtu aweze kusajiriwa kama mwandishi wa habari kwa mujibu wa Section 19 ya Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari, 2016 na Kanuni zake za mwaka 2017 (Regulations 17, 18, & 19).
Wachangiaji wengi tumeingia kwenye mjadala bila kujua kwanza sheria...
Mwandishi wa Habari na Kada wa Chama cha Mapinduzi, Harubu Kabwe amesema; "Nitamlinda Rais wangu Samia Suluhu Hassan kwa gharama yoyote ile, Rais ni Lulu kwa Taifa letu la Tanzania"
Mwandishi wa habari mkongwe na mtangazaji Salim Kikeke amechukua fomu ya kuwania ubunge katika Jimbo la Moshi Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa...
Aliyekuwa mwandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), wilayani Sengerema mkoani Mwanza, Daniel Makaka amechukua fomu ya kugombea udiwani wa Bulyaheke wilayani Sengerema kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Makaka amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM kata ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.