mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamke andika neno BLUETOOTH, mwanaume reply CONNECTED, mwanamke kama umemwelewa jamaa reply SUCCESSFFULLY

    Tutapata date za kumalizia mwaka, haya twende kazi... Sema JF Bluetooth ziko chache sana
  2. Hii ndiyo maana halisi ya mwanaume ni kichwa cha familia

    HII NDIO MAANA HALISI YA MWANAUME NI KICHWA CHA FAMILIA Anaandika, Robert Heriel Ukiwa kama kijana unayetarajia kuwa Baba, au ambaye tayari ni Baba na upo kwenye Familia yako. Shika Kwanza hizi nyundo; i. Kuna mambo unapaswa kuwa nayo lakini Mkeo asijue unayo. ii. Kuna mambo unapaswa kuwa...
  3. K

    Kwa dunia ya leo, sishauri mwanaume aoe mwanamke asiyekua na elimu ya walau diploma

    Achana na mama zetu wale wa miaka ile ya zamani ambao wengine hawakusoma kabisa ila maisha yalikuwa poa tu kwa upande wao. Nazungumzia hawa wanawake wa kizazi hiki wasiokua na elimu ya walau Diploma, yani wana reasoning capacity ndogo sana kiasi kwamba huwezi kukaa nao ukajadili core issues za...
  4. Hamna mwanamke anayeweza kumvumilia mwanaume asiye na pesa kwa miezi sita

    Hamna mwanamke awezaye kumvumilia mwanaume asiye na hela, ukiacha alete msosi nyumbani, lazima akupande kichwani.
  5. Mwanaume asiyejielewa ni yupi?

    Habarini wadungu wa JF Huyu Mwanaume asiyejielewa ni yupi, anatabia zipi. Wengi huelezea kijazba na kibinafsi baada ya kukutana na likulumbembe. Kumbe linajielewa. Unakuta mwanamke mwenyewe hajielewi anataka mwanaume ajielewe. Hapo sielewi Msaada hapo
  6. Sudan: Mwanamke afungwa jela kwa kumbusu Mwanaume

    Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 20 amehukumiwa kifungo cha miezi sita baada ya kukubali kosa, awali alihukumiwa kifo kwa kupigwa mawe, lakini baada ya malalamiko ya wanaharakati na taasisi mbalimbali hukumu ikabadilishwa. Adhabu ya awali iliyotolewa katika Mji wa Kosti, Jimbo la White Nile...
  7. Ni kweli kwamba mwanaume akifika mshindo ni sawa na nguvu anazotumia kutembea kwa mguu umbali wa kilometa 3 ?

    Kuna kale kauchovu huwa kanakuja baada ya kupiga bao inabidi usizi dakika kadhaa kabla ya kuendelea raundi nyigine, wengine hata kuendelea hawewezi wakishapiga kimoja kifuatacho huwa ni kuuchapa usingizi mzito. Kuna namna yoyote huo uchovu ni kama ule wa mtu anaetembea kilometa tatu ?
  8. Nikimpa msaada mwanaume mwenzangu nafsi yangu huwa inaridhika na kufurahi tofauti kama nikimsaidia mwanamke

    Hii kitu huwa ninayo mimi tu au na kwa wengine. Yaani nikitoa msaada wa ali na mali kwa mwanaume mwenzangu nafsi huwa yangu huwa inaridhika na kufurahi sana tofauti na kama nikimpa msaada mwanamke au mtoto wa kike. Yaani huwa najihisi kutapeliwa na moyo wangu hauridhiki wala kufurahi hata...
  9. S

    Kama mwanaume: Jitahidi mazingira yako ya nyumbani yawe bora kuliko mazingira ya nyumbani kwa mke wako

    Kuna hili suala la watu kusema hata ukioa mwanamke ambaye kwao wana uwezo kukuzidi sio tatizo. Huko ni kujidanganya. Inakuwa sio tatizo labda mwaka wa kwanza wa ndoa yenu, wakati wa honeymoon period. Ndani ya moyo wake, mkeo ambae ataishi na wewe katika mazingira duni kuliko ya nyumbani kwao...
  10. S

    Asikudanganye mtu, raha kwa mwanaume huwaga ipo kwenye kojo la kwanza na la pili tu

    Kwa uzoefu wangu, kojo la kwanza na la pili ndo huwaga 💥, hayo mengne huko mbeleni ni kujitutumua tu ili umridhishe mwanamke. Nakumbuka kuna siku nipo natafta kojo la nne, mashine imesimama napump tuu lkn sisikii chochote dadek naskia tu km vile mashine inatk kuchomoka. Funzo: Madem mridhike...
  11. Senegal: Mbunge mwanaume asitisha hotuba aenda kumpiga mbunge mwanamke, Bunge likiwa ‘LIVE’

    Massata Samb aliyekuwa akitoa hotuba Bungeni alisitisha na Kwenda kumshambulia Amy Ndiaye Gniby kwa kumpiga kichwani, Gniby akajibu mapigo kwa kumrushia kiti Samb. Licha ya Wabunge wengine kuingilia kuwatuliza vurugu ziliendelea kwa wawili hao kuendelea kutupiana maneno na kutaka kushikana...
  12. Mwanaume ukitumiwa meseji hii bila kuuliza ujue wewe ni mnoma sana kunako kitanda

    Wasalaaaaaam wazee. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Ewe mwanaume ukiona umepiga show usiku kisha asubuhi demu akaondoka, yakapita masaa kadhaa demu akakutumia mesej nitakayoiambatanisha hapa ujue wewe ni guru kunako kitanda. Huyu manzi jana usiku nimemkamua haswa mpaka alikuwa anageuza...
  13. Mwanaume Mpumbavu ndio humpigia mkewe magoti. Jioneshe kuwa Mwanaume

    MWANAUME MPUMBAVU NDIO HUMPIGIA MKEWE MAGOTI;. JIONYESHE KUWA MWANAMUME Anaandika, Robert Heriel Shahidi Mwanamke pekee ambaye mwanaume anaweza kumpigia magoti ni Mama yake. Na hapa nazungumzia mwanaume sio mvulana. Nazungumzia mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 20. Mwanaume atapiga magoti...
  14. Urafiki kati ya mwanaume na mwanamke yaani kaka na dada unawezekana?

    Kwa kuheshimu muda wako, ngoja niandike kwa ufupi sana. Je, urafiki kati ya mwanaume na mwanamke tena mke wa mtu, unaojionyesha kwa code ya "Kaka" na "Dada" huwa upo kweli au kuna kitu kinafunikwa hapo? Ndugu yangu, sina sababu ya kuelezea kilichofanya niulize swali hili hapa, lakini bila...
  15. Ukimya wa mwanaume unampa mashaka mwanamke juu ya baba halali wa mtoto

    Hakika msaada wako utaokoa maisha ya mama au mama na mtoto, iko hivi: Huyu dada naweza sema ni ndugu au rafiki, alikua na uhusiano na kaka mmoja ila sio serious, baadae akapata jamaa mwengine aliekua serious ila uhusiano wa mwanzo ni kama ulikuepo chinichini. Dada akapata mimba akamueleza jamaa...
  16. Ogopa sana kumuoa mwanamke ambaye amewahi kumpenda mwanaume bila sababu

    Naomba wanaume msiache kudodosa na kupata uhakika wa jambo hili kwa huyo unayefikiria kumuoa. Hapa namuongelea yule mwanamke ambaye ilitokea tu akamuona mwanaume halafu akampenda na wakaja kuwa na mahusiano. Mara nyingi wanaume huwa wanawatumia wanawake wa aina hii maana ni sawa na swala...
  17. Mwanaume anayevaa vizuri hung'oa pisi nyingi kuliko mwenye gari

    Hapa nazungumzia wenye uchumi wa kawaida, tuachane na mapedeshee ambao hata wakikosa kuni za kuotea moto wanaweza kuchoma vibunda vya pesa, ligi nyingine hizo, kwao neno mizinga ni matunzo. Yes mapenzi ya sasa ni pesa lakini lazima tujue hiyo pesa inatumikaje katika mapenzi kwa sababu kukosea...
  18. Kwanini viongozi wa dunia wanataka kumyang'anya nguvu ya utawala mwanaume na kumpa mwanamke?

    Sorry my fellow ladies, najua mtaona like I'm snitching you. Mungu alipo iumba dunia hii alimuumba mwanaume awe mtawala na sisi tuwe wasaidizi. Mwanaume alifanya kazi za uwindaji, kufukuzana na wanyama huko maporini kisha wakatuletea chakula tupike. Kazi ya baba nyingine ilikuwa ni ulinzi wa...
  19. Kituko: Binti asie na bikra ya kumpa thamani kiroho na kimwili anatoa wapi ujasiri wa kumkatalia mwanaume asijaribu mitambo mpaka waoane?

    Unakutana na binti hata kina single mama hana bikra kashatembea na na wanaume kadhaa ila ajabu ni kwamba anaanza kujiona kwamba yupo sawa na wenye bikra, anamwambia mwanaume hawezi kutoa mzigo mpaka amuoe !!
  20. Baadhi ya maneno ambayo hayapaswi kutumika kwenye mawasiliano ya wanaume kwa mwanaume

    Salaam Wakuu, Natumai mnaendelea vyema. Katika kuendelea kujifunza lugha na namna bora ya mawasiliano leo nimeona nilete mtazamo wangu na nisikie kutoka kwenu pia. Matumizi ya lugha yoyote yanapaswa kujingatia muktadha na wahusika unaozungumza nao. Katika muktadha wa mazungumzo ya wanaume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…