mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Licha ya uzuri na elimu, dada yangu hapati mwanaume wa kumuoa

    Namuona kabisa dada angu sasa anamawazo sana, anamiaka 28 sasa, kila anaemfata hayuko serious au ni mume wa mtu, wapo wengine sema sasa dada anasema anakosa hisia nao kabisa, anaogopa kujilazimisha. Alifikia hatua ya kutaka kupanga akakae mwenyewe, kitu ambacho baba na familia nzima...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume, Mitindo ya uchezaji na Uanaume

    Wanaume, Sherehe ni jambo lililowekwa na wanadamu ili waweze kufurahia mafanikio yao na wengine hufanya sherehe wakati wa kuomba Dua kwa miungu yao. Vilevile Sherehe ilikuwa ni swala ambalo hufanyika kuonyesha Mwanzo au Mwisho wa Maisha fulani au hatua fulani katika Maisha. Mfano; Kuzaliwa kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

    Habari zenu bila shaka hamjambo em tupeane fikra hapa kidogo Je mwanaume kuomba samahani kwa mpenzi wako hua mwisho mara ngapi? Je suluhu pia isipofanya kazi kuachana ni uamuzi sahihi ? Tumeishi kwa furaha kwa mda mrefu ila vikombe kugongana lazima kabatini ila huyu mwenzangu kila nikitaka...
  4. JamiiForums Tanzania Maneno yalikuwa mengi sana, sasa nasubiri muongee

    Daaah, ngoja niteremke moja kwa moja kwenye point,, Simba alipokuwa cafcl maneno yalikuwa mengi sana, sasa nasubiri muongee na sahivi niwasikie, NASEMA HADI FA HAMTAPATA YAANI MTAKANDAWA POTE POTE MKIVUKA AZAM FC MNAKUTANA NA MWENYE KUU YA JANGWANI YAANI MTAPOTEANA MPAKA MSEME JINA LA UTOTO LA...
  5. JamiiForums Tanzania Ukiona mwanaume anaogopa wanawake wa Kaskazini huyo ni Mvivu

    Sio kwa ubaya lakini kusema wanawake wa kanda ya Kaskazini hawafai jua wewe ni mvivu unapenda mseleleko, Wale ukiwatumia vizuri kutoboa kimaisha ni chap tu, hawazi mapenzi muda wote kama waliopo let say tanga hivi au dar. shida ni unapata demu badala umtumie katika kufanikisha michongo yako...
  6. JamiiForums Tanzania Usiendekeze mwanaume

    Ni wakati wa kubadilika sasa kutoka kwa hasi hadi kuwa chanya. Jitahidi uwe mwema kwa wengine. Jipende kwa ukubwa wowote. Ikiwa una uwezo wa kupenda, jipende mwenyewe kwanza. Usimuendekeze mwanaume, mwanaume hakupendi ukiwa mchafu, anakupenda ukiwa uko smart. Cha ajabu wanapenda wanawake...
  7. JamiiForums Tanzania Upekee wa Mwanamke ni chuchu embe na sura nzuri

    Hello JF family, Tusilazimishane, makalio si chochote kwa mwanamke, makalio sio innovation wala creativity, na sio unique attribute kwa mwanamke. Upekee wa mwanamke ama wanawake ni chuchu embe na sura nzuri. Tuwe wakweli, mwanamke mwenye chuchu bomba na sura nzuri ana mvuto wote, hata mashetani...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanaume Maisha ni Mapambano, chagua moja kati ya haya

    Kupambana sio kutafuta hela tu. Kupambana ni kitendo cha kuwa bora na mwenye thamani zaidi kila siku. Tangu umezaliwa hauna thamani kulinganisha na mtoto wa kike. Usikae kulalamika kuhusu hilo. Ni juu yako kupambana na kukuza thamani yako. Na utaheshimiwa zaidi kadri unavyozidi kupanda juu...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanaume ni mtafuta hela, kiongozi wa familia

    Kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kikristo, mwanaume Mkristo, lazima uiandae na kuitunza familia yako, usipofanya hivyo utakuwa umeikana imani na utakuwa ni mbaya zaidi kuliko kafiri - 1 Tim 5: 8. Mungu alimpa mwanaume kazi kabla hajampa mke (Mwanzo 2:15). Ila mwanamume asipokuwa na uwezo...
  10. JamiiForums Tanzania Uaminifu wa mwanamke hujaribiwa wakati mwanamume wake hana chochote na Uaminifu wa mwanaume hujaribiwa wakati ana kila kitu

    Inawezekana kwamba msemo huu unashiria kwamba mwanamke anakuwa na uaminifu mdogo wakati mume wake hana utajiri, wakati mwanaume anapokuwa na kila kitu, anahitaji kujaribiwa kuhusu uaminifu wake kwa sababu anaweza kuwa na fursa nyingi za kuwa na wanawake wengine. Hata hivyo, ni muhimu kukumbuka...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanaume uliumbiwa kutoa

    Mwanaume lazima afanye kazi kwa ajili ya mwanamke wake. Mwanamume ambaye hayuko tayari kutoa hatakiwi kumiliki mwanamke. Kuna huu ujinga unaojitokeza siku hizi kwa wanaume kusubiri wanawake watoe. Hii ni kinyume cha maadili ya uanaume, mwanaume aliumbwa kutoa kila kitu kwa mwanamke wake. Mahaba...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke yeyote anayetaka ndoa kwa mwanaume, atafanya mambo haya

    Mwanamke yeyote anayetaka ndoa kwa mwanaume, lazima atafanya mambo haya amtembeleapo mpenzi wake wa kiume:- Kufua nguo Kupika Kusafisha nyumba Kutandika kitanda Kutoa mapenzi moto moto Kuongea kwa lugha ya upole Kumpangia/kumuandalia mpenzi wake nguo za kuvaa Kama hafanyi hayo mambo; juwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanaume, kitu muhimu kwenye Mahusiano ni kumuongoza Mwanamke

    Kama kuna kitu hujajifunza basi kitu pekee ukichukue ni uongozi. Muongoze mwanamke tangu unamsalimia ‘mambo’ hadi mkiwa kitandani. Na kama unaendelea naye na mahusiano, endelea kumuongoza hadi pale kifo kitawatenganisha. Ukiacha kumuongoza ndo mazoea huanza. Wote mnakosa hamu ya kimapenzi kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwenye kila mwanaume aliyefilisika...

    90% ni ukweli😅😅
  15. JamiiForums Tanzania Huu ndio Usalama wa mwanaume

    Habari vijana wenzangu pamoja na wanajukwaa Kwa ujumla.. Na tumai mko salama wote , Jambo kuu ni kwa wapenda sketi hasa vijana. Vijana Sasa hivi tunakumbwa na magonjwa mengi hasa yanayotokana na kufanya ngongo isiyo salama. Kuna Kila sababu wanaume kujali sana afya zetu Ili tudumu Kwa mda...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Suala la mwanaume kuoa miaka hii ni gumu, labda mtu ujilipue tu

    Mitaani kuna mabinti wachache sana ambao wanafaa kuwa wife materials, ila wengi ni shida..nimeona ili mwanaume upate mke inabidi aidha umwombe Mungu sana, au ukubaliane na ujinga wa mwanamke Kama vile 1)Ukimtongoza leo kesho akikuomba hela, ingawa unajua hii ni red flag, we mpe kama unayo, kama...
  17. JamiiForums Tanzania Njia nyepesi ya kumfukuza mwanaume

    Muombe hela tu mwanaume akikutongoza wewe umtaki muombe hela tu akikutumia uyo kweli anakupenda nakuganda 🤗🤗🤗 napenda pesa jaman ukija kwangu unatakiwa uwe mvumilivu na kibunda pia
  18. JamiiForums Tanzania Nimepata kuamini kuwa, hakuna mwanaume anayekula mke wa mtu kwa kudhamiria

    Wiki iliyopita nilikutana na mwanamke niliyefahamiana zamani sana, tena utotoni kabisaa, hata ugwadu wa barehe niliumalizia kwake, sio mimi tu, hata na marafiki zangu waliponea kwake na kwa marafiki zake kwa ujumla. Nilikutana nae maeneo ya Sinza Siku iliyofuata alinialika kwake maeneo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanaume unaemkataza mkeo kufanya kazi unafanya makosa makubwa

    Pengine wewe ni mwajiriwa ama umejiajiri. Unauwezo kifedha. Umemzuia mkeo kufanya kazi kwa sababu wewe unamtimizia haja zake zote kifedha. Unahudumia familia, na yeye as an individual unamhudumia. Pengine zaidi ya hata angefanya hiyo kazi. Kazi kwa maana ya shughuli yoyote inayoweza kumfanya...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanaume kama huyu anapatikana mkoa gani?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…