mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. appoh

    JamiiForums Tanzania Tafadhali mwanaume usifanye tendo nyumba ya maumbile utakua mgumba soma hapa

    Usile tigo ni hatar sanaaa kwako kwa sababu katika uume wako kuna mirija miwili mrija wa mbegu za kiume na mrija wa maaji maji ya kubeba shahawa . Maji maji ni mengi sanaa shahawa no chache hata huwez kuziona ila majimaji unayaona. Kinyesi kikiingia kwenye mrija wa majimaji ya shahawa...
  2. Mtunza siri zako

    JamiiForums Tanzania Kitu gani ulikiona kwa mwanaume au mwanamke ukajua huyu siyo wako wa maisha (sio future mume / mke)

    Niliona uchafu wa haja kubwa kwenye nguo yake ya ndani, nikajua kama mwanaume hawezi kutawaza vizuri basi pia hawezi kuja kua kichwa cha familia yangu. Niliona anavyoongea kwa dharau na mzazi yake nikajua huyu hana heshima kuanzia nyumbani kwao, hanifai. Alinipigha alivyotoka mpirani amelewa...
  3. Tundazuri

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume Dodoma

    Kama ww ni mwanaume una stress za mapenzi, kazi au familia naomba tukutane nikufariji tulewe tupate tabasamu jipya. Usiri ni muhimu, so unaweza kuwa huru na mimi kusema chochote usiumie mwenyewe moyoni usije ukafa mapema jamani. Wanaume mnauguliaga ndani maumivu so nipo kwa ajili ya kuponya...
  4. jannelle

    JamiiForums Tanzania Outings na mwanaume wa hivi ni uchafu

    Ni aibu mwanaume unatoka nae outings eti anakunywa Reds, Savannah mara Flying Fish, ati St. Anna kheee 😂🚮, bora ukaagiza Juice tujue moja tu, kama huna pesa ya Liquor basi fanya iwe Safari, Windhoek, Balimi, Kili and alike. Haya kwenye food, eti tunagombania chips isikauke sana na Mayonnaise...
  5. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ewe Mwanaume, Jifunze Kutofautisha Kati ya Mapenzi na Huruma Unavyokuwa Unaishi na Mwanamke

    Katika mahusiano mengi ya watu wanaoishi kinyumba, mara nyingi mwanaume anaendelea kubaki na mwanamke hata kama moyoni alishamaliza safari—si kwa sababu ya mapenzi, bali kwa huruma. Unakuta kabisa mwanamke hana ile spirit ya kupambana na maisha; kwa wenzetu wengine kulelewa na kutegemea ni kama...
  6. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Inaumiza kuona Dada yako / mdogo wako wa kike anazalishwa na mwanaume kopo

    Huwa inaumiza sana kwenye familia kuona dada yako au mdogo wako wakike anazalishwa na mwanaume wa ovyo / kopo ambaye kwa kumtazama tu unajua hana uwezo wa kwenda kumuhudumia huyo mwanamke yaani ndg yako zaidi wanatengeneza mzigo wa majukumu kwa wengine . .
  7. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kipya umejaribu na mwanamke au mwanaume wako hivi karibuni?

    Kigiza hicho, haya nimeachana na siasa nimerudi kwenye mada zetu pendwa. Wiki hii nimemchangamsha shemeji yenu na style mpya . Mikao inaitwa “nilie juu ya meza” na “naokota hela uvunguni” Mkao wa Nilie juu ya meza: tulimaliza kula nikamwambie abaki mezani anisubiri nitoe vyombo. Nilivyomaliza...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Jifunze kuangalia message ya miamala kwenye simu ya mke/mwanamke wako

    Wakuu kuna siku unaweza Kuja ukalala njaa kumbe mkeo ana fedha ya kutosha na akabunda kimya bila kukutaarifu, Unakuta ana milion Lakini pia ni vyema kufanya ambush phone searching mara moja moja ili ujuwe, mustakabali 🥶NB kama una moyo mdogo Usijaribu kusearch simu ya mke wako Ila wake...
  9. Principle girl

    JamiiForums Tanzania Kuna aina za gari haipendezi kumilikiwa na mwanaume

    Unakuta mwanaume anamiliki vits sijui passo 😅kiukweli aina hii ya magari kwa mwanaume hapana bora hata umiliki pikipiki aiseee
  10. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Kupata mwanaume wa kukupokea bila hata Nida ni ngumu sana. Manara ana moyo

    Wanaume kama manara ni wachache mno siku hizi Mimi siku nipate mwanaume atakaenipokea bila hata Nida hakii ningeshukuru Wengi ni materialist.huna kitu anakuchezea Tu. Mungu atamlipia Manara Ngoja niongee nae mtu mzima mie Kwanza Nida ninayo.
  11. benybeny

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli kahawa inaongeza hatari kwa mwanaume kupata tatizo la tezi dume kuvimba

    Habari wakuu Ivi ni kweli kahawa hua inaongeza hatari kwa mwanaume kupata tatizo la tezi dume kuvimba . Hii ni kutokana na experience niliyoiona kwa sehemu ambazo zinazalisha zao la kahawa wanaume wengi ambao wana umri wa miaka zaidi ya 45 kua na tazizo hili. Kwenu wakuu
  12. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kijana huyu ndiye aliyeteuliwa kuwa mwanaume mzuri zaidi katika sayari ya dunia, Naijulikane Mimi ni baba yake mzazi 😍

    Kijana huyu ndiye aliyeteuliwa kuwa mwanaume mzuri zaidi katika sayari ya dunia, Naijulikane Mimi ni baba yake mzazi 😍
  13. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Faida Za Bamia Kwa Mwanaume

    Bamia Ni Nini? Bamia ambayo pia inajulikana kama okra, ni mboga inayopatikana katika tamaduni mbalimbali ulimwenguni. Bamia inaweza kuliwa mbichi au kupikwa katika njia mbalimbali, kama vile kuchemshwa, kukaangwa, au kuingizwa katika mchuzi. Bamia ni mboga yenye virutubisho vingi vinavyosaidia...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye Watoto Watatu halafu Wote ni Wezi na hawana mbele wala Nyuma na Mwanaume asiye na Mtoto kabisa Kwako Wewe nani hapa mwenye Afadhali?

    Na katika huu Uzi najikita tu zaidi Kusoma Maoni / Majibu yenu kwa huu Ubishani nimeukuta mahala na ninauleta Kwenu.
  15. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anapofanya mapenzi na side chick, huwa anahisi kama akiwa na mpenzi wake wa kweli?

    Wanaume wengi wanapokuwa na “side chick” huvaa full romantic mode — kumuwekea mto, kwenda “down”, kuhakikisha yupo comfortable… na wengine hadi wanacuddle baada ya tendo! Lakini huyu si wake halali, wala hamchukulii serious. Swali ni moja: Je, mwanaume akiwa na side chick, huwa anahisi kitu? Au...
  16. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Ivi ukiota mwanaume usiemjua anakubusu mdomoni kwenye ndoto ina maana gani?

    Haya swali ndio hilo Leo jumapili mnijibu basi Msije sema spiritual husband maana hamnaga hicho kitu, Mungu hajaweka hivyo
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanaume usinunue ng'ombe Kijiji ulichotoka

    Mwanaume, unaponunua ngo'mbe kamwe usinunue kwenye eneo au kijiji ulichopo. Kwanini?! Kwa sababu kuna siku ng'ombe ataenda mtoni kwa lengo la kunywa maji. Kisia nani atakuwa eneo hilo?! Ni mmiliki wake wa mwanzoni. Unajua atakachokifanya huyo mmiliki wake wa zamani?! Atakachofanya ni kumpigia...
  18. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mwanaume fanya haya mambo mawili tu, ili uweze kufanikiwa maishani mwako

    Je unataka kufanikiwa haraka? Mambo ni mawili tu, nayo ni haya hapa. 1. Usitumie mali/ kitu cha mtu bila kuomba na upewe. 2. Usiombe kitu wala mali ya mtu yeyoye. Tafuta chako, kumbuka, mtegemea cha nduguye hufa masikini
  19. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"

    Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nafikiri kitu bora cha kijasiri utakacho wahi kufanya kama mwanaume ni pale utakapostopisha mihemuko endapo utajua huyo ni mke wa mtu

    Kuliwa mke ni sawa sawa na kuingia kwa dharau katika banda la ng'ombe la mkurya au maasai na kuchukua mifugo yake alafu unajitapa kijijini kuwa ulimuweza na hajakufanya lolote Ishu ni kuwa mke anauma, sio kwa sababu eti mwanaume anampenda sana bali ni "dharau kuu juu ya himaya yake, ni kama...
Back
Top Bottom