mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike Mimi ni mwanaume

    Natafuta rafiki wa kike Mimi ni mwanaume wa miaka 28, Nina stashahada ya ufundi mitambo, nipo dar es salaam, Mbezi. Tutakuwa tunabadilishana mawazo ya maisha. Namba ya simu pm
  2. JamiiForums Tanzania Swali tata kutoka kwa wanaume wenzangu

    Hivi inakuaje unakuwa na mtu mnafahamiana kwa sababu mlisoma wote O-level tena ni mwanaume mwenzangu kila akinipigia simu lazima aniulize shemeji hajambo? Na hafahamu na sijawahi kumwambia kama nimeoa na wala demu wangu hamfahamu maana ni miaka hatujaonana Swali kama ilo naona la kiwaki balaa...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanaume kama ujawahi kulala Polisi jua bado Serikali inakudai

    Mtu yeyote ambaye katika maisha yote ya utoto ,ujana na uzee kama haujawahi hata kulala kituo cha polisi bado haujakamilika
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake: Unajisikiaje kila ukipata mwanaume anaeleweka, anakuwa tayari ana mtu wake

    Kwema humu Jamani mimi kadogo2 sijui lini nitapata laazizi wa moyo wangu.. kila napogusa pamewahiwaa Hii hali kwangu imekuwa ikiniumiza sana maana unajikuta unampenda mwanaume kumbe tayari ana wake ambae labda wanapendana ama anampenda na kuachana kwao inakuwa ngumu Katika umri wangu huu...
  5. JamiiForums Tanzania Siku mkeo akianza kulala na mwanaume mwingine jua kifo chako kimekaribia

    "Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume...
  6. JamiiForums Tanzania NIKIWA RAISI NTAWEKA SHERIA MWANAUME ATAKAE OA SINGLE MOTHER AKATWE KICHWA

    Shalom shalom Niende kwenye mada Moja Kwa Moja Najua wengi watanishangaa lakin kwa mustakabali wa maendeleo wa Taifa lolote lile vijana ndo Kila kitu hasa wanaume hivo kuwatoa katika wimbi la stress zisizo na kichwa wala miguu ntaweka sheria kuwa kijana yeyote under 60 age of years hakuna kuoa...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaume perfume hizi ni mzuri sana kwako

    Helll Mwanaume mwenzangu ambaye bado ujajua perfume nzuri zitakazo kufanya uonekane mtanashat na kunukia vizuri wakati wote mimi natumia hizi mbili Hii natumia kama sehemu ninako enda hakuna kusanyiko kubwa la watu wengi sana hii ndio natumia au safari za kawaida bei 50000 Hii ya pili...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanaume hakuumbwa kufurahi: Aliumbwa kupambana na kushinda

    Suala la kufurahi ni kwa ajili ya wanawake na watoto ila siyo kwa wanaume (akina Baba). Maisha katika zama tunazoishi yamejawa na misongo na matatizo hayahitaji kujionea huruma. Ikumbukwe unachokitaka wewe na mwingine anakitaka hivyo njia ya pekee hapo ni kupambana na kushinda na siyo...
  9. JamiiForums Tanzania Ukiona hizi dalili jua umeshaachwa unasubiriwa wewe kujitangaza tu

    Dalili za kuachwa au kwamba uhusiano unaelekea kuisha mara nyingi huanza kwa mabadiliko madogo ambayo huongezeka polepole. Hizi hapa ni dalili za kawaida zinazoashiria kuwa huenda mwenzi wako anapanga kukuacha au tayari amepunguza mapenzi katika uhusiano: 1. Mawasiliano Kupungua Sana Hataki...
  10. JamiiForums Tanzania Kila unapomsaidia mwanamke, hakikisha unamdinya kwanza. Vinginevyo, what goes around, goes away

    Ukimsaidia mwanaume kwenye matatizo yake atakukumbuka maisha yake yote. Ila ukimsaidia mwanamke atakukumbuka kila akipata tatizo jipya.
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake Jambo gani mnafanya kwenye mapenzi ili tu kumridhisha mwanaume wako ila husikii raha yoyote?

    Mmekuwa na lawama nyingi mara hatuwezi kazi, mara haujafika kileleni. Mara nyingi hampo open na hili sio tatizo lenu ni malezi ya jamii. Hapa hamjulikani tuambiane kipi mnafanya tu kwenye sex ila hakina effects zozote kwenu. Wanaume tupo open saana linapokuja suala la mapenzi. Share mambo...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume ni nani na uanaume ni nini?

    Je ni vitu gani vinaashiria uanaume na ni vipi vinaharibu uanaume? Kwangu mimi naona mwanaume, pamoja na kua na maumbile ya kiume, mwanaume anathibit hisia zake na kutumia mantik/ akili yake. A man can set aside his emotions and lust and using his logic/ and intelligence on making decisions...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanaume usilale na Mke wa mtu Hili ni deni litakaloitesa damu yako milele, Usiwe na mahusiano na Boss wakoMkigombana utapoteza

    🚨MWANAUME👂 1- Usilale na Mke wa mtu Hili ni deni litakaloitesa damu yako milele 2 - Usiwe na mahusiano na Boss wako Mkigombana utapoteza mapenzi & maisha 3 - Usije kupendana na EX wa mshikaji wako Akiachwa na msela, ameachwa na Familia🙌 4 - Ndugu yako akikufundisha Kuvua KAMWE usirushe nyavu...
  14. JamiiForums Tanzania Nani Atamwokoa Tundu Lissu, Mwanaume Anayeota Tanzania Tofauti?

    Inamhusu Tundu Lissu, kiongozi wa upinzani Tanzania aliyenusurika jaribio la mauaji 2017 (risasi 16). Akiwa uhamishoni Belgium, anawania urais 2025, akisukuma demokrasia, kupambana na ufisadi na mageuzi ya haki za binadamu. Inatoa wito wa msaada kimataifa kumkinga na vitisho. Kutoka kikundi...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanaume bila Pesa, wanawake wazuri utaishia kuwaona tu kwa macho, na kamwe hutoheshimika

    Mwanaume nisikilize! Umasikini unauma zaidi ukiwa mwanaume. Familia inakutazama tofauti sana hata kama haikuambii ila we fahamu tu kuwa kuna vile wanawaza na kukutazama. Ukiwa huna pesa kuna namna fulani watu wanakunyima heshima au wanakukadiria heshima. Ukiwa huna pesa hakuna anayejali...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kunioa

    Habari wakuu Natafuta mwanaume aliemaliza ujana awe tayar kwa ndoa Sifa zangu Miaka 33 Kabila mchaga Dini Mkristo Sina mtoto Naishi Dsm Kazi Biashara SIfa za mwanaume Miaka 35 -45 Dini Mkristo Watoto wasizid 2 km atakua nao Awe na kipato halali inamaana awe anajishughulisha Makazi popote...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume unasemaje 'Happy birthday to me'?

    Hivi wanangu mnaanzaje kuandika maneno kama haya mkitaka watu wawa wish? Are you okay au dish limeyumba somewhere!?
  18. JamiiForums Tanzania Ukiona Familia yoyote inashida au sio strong ujue Mwanaume ndiye Mwenye matatizo. Mwanaume ndio Kafeli

    Hamjambo Wote! Mwanaume were ndiye Mfalme, ndiye Rais, ndiye Mtawala wa Familia yako. Chochote kitakachotokea kwenye Familia yako wewe ndio mtu wa Kwanza kuwa responsible, na lawama zote zipo Kwako. Mkeo kutokuwa na adabu, shida ni wewe. Mkeo kuvaa mavazi ya hovyo, shida ni wewe. Watoto...
  19. M

    JamiiForums Tanzania 50 cents ataja kuwa ndie mwanaume mchoyo sana kwa wanawake zake. Why wanaume wenye pesa wagumu kuhonga ?

    Aliyewahi Kuwa Mpenzi Wa #50Cent (Jamira) Amewashauri Wanawake Kukataa Kuwa Na Mwanaume Kama #50Cent Akidai Kuwa Mwanaume Huyo Alikuwa Mchoyo Sana. #Jamira Anasema Tangu Alipokuwa Kwenye Mahusiano Ya Miaka 2 Na #50Cent Hajawahi Kumpa Hata Shilingi 10, Na Zawadi Pekee Ambayo Aliwahi Kumpa...
  20. JamiiForums Tanzania Harusi ni ya Mwanamke, Ndoa ni ya Mwanaume

    Katika dunia ya sasa, harusi imegeuka kuwa tamasha la kuonyesha mali, hadhi na umaarufu. Watu wengi – hasa wanaume – wanajikuta wakilazimika kutumia mamilioni ili kufanikisha harusi ya kifahari, ilhali maisha ya ndoa yanayofuata yanakuwa magumu, yenye mivutano na yasiyo na furaha. Ni wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…