mwanao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Wanakuonea sana kwa upole ulio nao au mwanao nimpole sana imefikia hatua anaonewa na kila mtoto mtaani!

    ASILI ni mafumbo. Ikiwa wanakuonea sana nanguvu za kupigana nao huwezi. Mwanao mtaani imekua yeye ndio kama mpira wa kuchezea! Usijari solution yake ni! (KIKUNTI) Wale watu wa kigoma wanaelewa vizuri sana hii nizaidi ya kupigana nawatu10 nawote waamue kukimbia sana baada ya kutambua kwamba...
  2. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Rai yangu kwa vijana mliojipata vizuri, tengeneza mazingira ya kuja kumuinua mwanao kwa kumuajiri wewe mwenyewe au kumsaidia mtaji au asset ajiajiri

    Ukweli ni kuwa hakuna mkombozi wa kijana katika huu ukata. Atapigika sana akiendelea kusubiria resume yake ipitishwe. Itakuwa haina maana miaka hio utakuwa una hudumia baby mamas wawili huku mwingine umemfungulia kibanda cha M-PESA lakini kijana wako anatembea na bahasha na kuzunguka kwa kila...
  3. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Wewe ni mzazi usisahau jukumu lako la kumlea na kumlinda mwanao

    MHADHARA (106)✍️ Hata kama una majukumu... 1. Mlinde mwanao katika kipindi cha mvua kali. Kamwe asicheze kwenye mitalo ya maji, mabwawa, mito, n.k. 2. Mlinde mwanao dhidi ya ukatili wa kijinsia. Mkague mara kwa mara na umpe elimu. 3. Mlinde mwanao dhidi ya makundi mabaya ya wavuta bangi, wezi...
  4. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Dar kuna shule za msingi za serikali nyingi sana zimebadilishwa kuwa english medium. Tusikariri Olimpio tu. Mpeleke mwanao ya karibu na unapoishi

    Wazazi wengi wanahangaika kupeleka watoto olimpio tu. Huku wanaishi mbali na mjini. Hizi ni baadhi ya shule za msingi za serikali zilizobadilishwa kuwa english medium. Ambazo sijazitaja , sizijui naomba wengine mzitaje ili wote tuzijue 1. Chang'ombe Duce primary school ipo ndani ya Duce...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Umejiandaaje kumlea au unamleaje mwanao wa kike katika nyakati hizi za ki-porno porno.

    Utupu umekuwa glorified Sio tu kwa yale atakayaoyaona kwenye TV akiwa likizo ila hata siku ya gradu yake kuna wavaa wa utupu tupu watakuwepo siku hio kulingishiana mashepu. Akiingia kwenye simu yako anaona ni jinsi gani mwanamke aliekaa kimalaya malaya anavyokuwa entitled katika jamii zaidi ya...
  6. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Funzo kwa Wazazi: Kumlipia Mwanao Ada English Medium bila juhudi zako binafsi kumchochea kujifunza nyumbani ni kazi bure kwa asilimia kubwa

    Je, mafanikio ya elimu hutegemea ada kubwa ya shule au mshikamano wa familia katika kukuza juhudi binafsi za mtoto? Swali hili linaibuka mara nyingi, hasa tunapojadili tofauti kati ya shule za English Medium na zile za kawaida, maarufu kama Saint Kayumba. Wakati wengi wanaamini ada kubwa na...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Hivi shule za private kumbe ni wagumu unapotaka kuhamisha mwanao

    Wakuu habari. Mwanangu ameingia class 4 mwaka huu. Ila shule aliyopo imekuwa na mwenendo mbaya, kiasi kwamba kwa mwaka 2023 na 2024 wazazi wanaojitambua wamehamisha sana watoto wao. Sasa huyu wa kwangu kila mara yeye huchukua namba 1 darasani. Ila tangu tulivyoanza mwaka 2024 nikawa na mawazo...
  8. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Je, Waafrika Tuna Akili ya Kutumia Utajiri Wetu?

    Kwa karne nyingi, Afrika imekuwa ikijulikana kama bara tajiri kwa rasilimali zake za asili. Tunapenda kujigamba kuwa tuna dhahabu, almasi, mafuta, gesi, ardhi yenye rutuba, na madini adimu. Lakini ukitazama takwimu za rasilimali duniani, hali ni tofauti. Marekani, Ujerumani, Ufaransa, Italia, na...
  9. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Wewe mzazi unayemtegemea mwanao utalipwa kile ulichomfanyia mzazi wako (karma is real)

    Mzazi unataka nikujengee nyumba kubwa nikununulie na usafiri, haya unayoyahitaji kutoka kwangu sijui kama uliwahi kumfanyia mzazi wako hata robo yake, mmekuwa ni watu wa kututishia kutupa laana na hali ya kuwa nyinyi wenyewe wazazi wenu waliwavumilia vituko vyenu mpaka kuwa na familia na kutuzaa...
  10. tpaul

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki: Bikra Maria utuombee kwa mwanao Yesu. Je, bado yu hai?

    Siku zote nimekuwa nikiwasikia wakatoliki katika sara zao wakimuomba bikra Maria, mama yake Yesu, awaombee. Hata katika nyimbo nyingi wanazotunga, wanamtaja bikra Maria na kumsihi awaombee kwa Yesu. Je, kwani huyu mama bado yu hai? Je, imani ya dini yao haihuruhusu muumini kumuomba Yesu moja kwa...
  11. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutapeliwa na mwanao aliye-disco chuo kisha kupiga picha na 'graduation gown'?

    Mtoto wa dada yangu aliazima joho la mwenzie, akapiga nalo picha kisha akamtumia mama yake mkoani. Lakini kiukweli alikuwa ame DISCO CBE mwaka 2020. Mama alikuja kugundua baadaye sana wakati anataka ampe vyeti ili amtafutie connection ya kazi. Je, umewahi kupatwa na hali kama hii?
  12. W

    JamiiForums Tanzania Unamlindaje Mwanao Mtandaoni?

    Namna ya Kulinda Usalama wa Watoto Mtandaoni 1. Zungumza na mtoto juu ya matumizi sahihi na salama ya mtandao 2. Mfundishe mtoto kuhusu taarifa binafsi na namna ya kuzilinda 3. Weka mipaka ya mambo ambayo mtoto anaweza na hawezi kuyafanya mtandaoni. 4. Muhamasishe mtoto kutoa taarifa endapo...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mama mkanye mwanao, hakuna cha bure mafanikio hayaji kama mvua

    Kuna kipindi nilikwenda nje ya Afrika na kuishi huko kama miaka 4 hivi na kidogo. Mwnyeji wetu alichukua muda wake kutueleza mambo ya msingi sana ya kuzingatia katika taasisi ile, mji ule na nchi ile na kukutembeza kwenye maeneo machache sana Muhimu ambayo tunaweza kujipatia mahitaji na huduma...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mfundishe mwanao kujua upande mwingine wa dunia kwa kumuonesha chaneli za tv kama nat geo, history, etc sio kila muda ni komasava

    Yani unakuta dogo wa form 1 au 2 ameshakalili dance moves zote za chino lakini ukimuuliza hivi unamjuaje hitler eti anakuuliza "hivi aliimba wimbo gani vile" ahah Sio kila mtoto atachukulia yaliyomo kwenye tv ni burudani tu mwingine anachukulia kama inspiration ya lifestyle yake. Anyway sio...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe mkanye mwanao apunguze kunichunguza, atakufa kwa presha

    Mama mkwe mwanao amekolea kwa kiwango ambacho sikutarajia. Hata mimi nimemwelewa sana tu japo nimeweka akiba ya baadae kabla sijafanya maamuzi ya kumpiga pingu za maisha. Lakini sasa kunichunguza ameanza kuzidi. Yaani inafika wakati saa nane za usiku nastuka namkuta anapekua simu zangu, anazama...
  16. Mributz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Baiskeli za watoto zinauzwa 150,000

    150k chagua yyte call me 0718909429
  17. chama mpangala

    JamiiForums Tanzania Usipompa kazi mwanao, atapewa kazi na shetani

    Tuwafundishe watoto wetu kazi kuanzia nyumbani mpaka shuleni. Tuwalee watoto wetu kama binadamu na siyo kama mifugo. Zamani shamba la mwalimu lililimwa na wanafunzi, kuni za mwalimu zililetwa na wanafunzi na maji alichotewa na wanafunzi. Mwanafunzi alijisikia fahari kutumwa na mwalimu wake...
  18. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Mzazi kama una kijana South Africa hasomeki, Tafadhali mama mkanye mwanao

    Kuna wimbi la vijana wa hovyo panya road typical hatimaye wametinga kwa Kaburu. Kuna wimbi la vijana panya road type sasa wamevuka mipaka wameanza kuwakaba mpaka Watanzania wenzao na wengine wakishavuta bangi zao hujiona ni Wamarekani na kujipost wakiwa na silaha za moto. Sasa azimio ni moja...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania UVCCM yachangia wheel chairs tano kuunga mkono taasisi ya Mama Ongea na Mwanao

    ✳️ UVCCM YACHANGIA WHEEL CHAIR TANO (5) KUWAUNGA MKONO TAASISI YA MAMA ONGEA NA MWANAO 🗓️07 Aprili, 2024 📌Karimjee, Dar es Salaam. Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi imechangia Wheel Chair tano kuunga mkono jitihada zinazofanywa na taasisi ya Mama ongea na Mwanao ya kuwasaidia...
  20. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Usimvalishe mwanao wala usishike ile kofia nyekundu ya Krismasi, Babu yule amaeingizwa kimakosa kwenye sherehe za Krismasi

    Kofia nyekundu ya Baba Krismasi Santa Claus' Kama viumbe visivyokuwa binaadamu aliens watafika duniani katika wakati wa Krismasi, bila ya shaka wataamini Krismasi kuwa ni sherehe ya kufurahikia kuzaliwa kwa Baba Krismasi Santa. Majina ya ‘Santa Claus’, hayamo popote ndani ya Biblia. Hata...
Back
Top Bottom