mwanao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Shutuma zote dhidi ya SAUT Mwanza ni za Uwongo mtupu mpeleke Mwanao huko akawe Genius na Thinker kwa Tanzania

    Ninachojua tu ni kwamba Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine ( SAUT Mwanza ) nilikosoma Mwanamume ukiwa....... 1. Mpumbavu wa Kurithishwa huwezi Kusoma 2. Ukiwa Mvivu na Lege Lege huwezi Kufaulu 3. Ukiwa huna bidii Kitakushinda na utakimbilia Mitandaoni 'Kupopomomika' tu Kutwa 4. Ukiwa Muhuni...
  2. Lycaon pictus

    Siku ya Mtoto wa Afrika: Huwa unamsomea mwanao hadithi?

    Wazazi wa zamani walikuwa wanatuhadithia sana hadithi. Hasa walizosoma. Bahati mbaya mabadiliko ya maisha, wameachia kazi hiyo TV na Cartoon. Utamaduni wa kusomea watoto hadithi bado unafaa leo? Vipi, huwa unamsomea mwanao hadithi?
  3. Expensive life

    Epuka kuvaa / kumvalisha mwanao nguo zenye rangi hizi unaweza kuta unasapoti ushoga bila wewe kujua

    Mapema leo wachezaji wa Norwich city wakati wakicheza mchezo wao wa mwisho, england premier league dhidi ya totenham. Wamevaa tishert zenye rangi za kishoga wakimsapoti mchezaji wa Blackpool fc inayoshiriki ligi ya daraja la tatu huko wingereza aliyejitangaza kuwa ni shoga. Wapo wengi tu...
  4. Ibrahim daud

    INAUZWA Mpende mwanao kwa laki tu

    Bike Laki tu ☎️ 0718909429
  5. MMASSY

    Unamfundisha vipi mwanao kuwa muungwana?

    Na Jerome Mmassy,Arusha Ulishaona unampatia mtoto kitu anachokihitaji ama alichokuomba na asiseme asante?Ulishaona mtoto ama mtu mzima ana kukosea na haoni tatizo wala hajishugulishi kuomba msamaha?.Katika jamii tunamoishi hujawahi kuona mtu anakukosea na ukimweleza anakwambia basi yaishe...
  6. Ferruccio Lamborghini

    Haya ndio mambo ya kuzingatia unapomchagulia mwanao shule

    Dar es Salaam. Mwanzo wa mwaka unapokaribia wazazi wengi huanza kutafuta shule bora kwa ajili ya watoto wao kujiunga ili wajiendeleze kielimu. Wakati huu ndio ambao wazazi hulazimika kuwapeleka watoto katika shule tofauti kufanya mitihani ya kujiunga, hasa wale wa kidato cha kwanza. Hapa...
  7. mama D

    Bodaboda sio salama kwa watoto wetu wadogo - Mzazi mjali mwanao, ukimpeleka shule mbali mlipie schoolbus au mpeleke na kumchua mwenyewe

    Pamoja na wazazi wengi kuwasajili watoto wao shule za mbali na wanakoishi ili sababu ya ubora wa hizo shule ukweli ni kwamba wamekua wakiwatesa sana watoto wao. Fikiria mtoto wa Dar es salaam anaishi pugu, gongo lamboto, kibamba, mbagala, toangoma halafu anasoma bunge primary, diamond au...
  8. Behaviourist

    Kwa Picha: Mfundishe mwanao njia rahisi kabisa ya kuchora ndege

    🤗🤗🤗
  9. C

    SoC01 Fanya yafuatayo kwa mwanao kukabiliana na ukosefu wa ajira

    Mambo yamebadilika.dunia ya sasa inakabiliwa na tatizo la ajira kwa vijana na sisi kama walezi au wazazi tunapaswa kuwa na mitazamo tofauti kwa watoto wetu juu ya ajira. Yafuatayo tunapaswa kufanya kwa kipindi hiki ili kuwajenga watoto wetu kuepuka janga la wasiokuwa na ajira baadaye: (1)...
  10. Miss Zomboko

    Namna ya kumwezesha Mwanao kuwa makini katika utendaji wake

    Jaribu kutengenezea mazingira yenye utulivu ili aweze kuzingatia kazi aliyopewa. Televisheni, Muziki, Kelele na Simu za rununu ni vizuizi vikubwa kwa Mtoto kuwa makini. Unapoona wanasoma au ni vema TV na Simu zikawa mbali nao au kuzimwa kabisa. Mtafutie michezo itakayomsaidia kuboresha kiwango...
  11. Good Father

    Vioja vya watoto wadogo (0-5years), tuambie vioja vya mwanao

    Watoto katika hatua zao za ukuaji na kujifunza wanakuwa na mambo flani flani ya kufurahisha sana yaani mwanao anaweza kukuvunja mbavu balaa. Mfano 1. Mwanangu (1.5years) anaweza kuwa anatazama TV akisikia unaongea na simu au umeweka music kwenye simu anakimbia kuja kuangalia simu hata kama TV...
Back
Top Bottom