Mwananchi Communications Ltd is a company based in Tanzania. Mwananchi Communications Ltd, engages in the print media and radio, and is the publisher of Tanzania's leading daily newspaper, Mwananchi (in Swahili), and others such as The Citizen, Sunday Citizen, Mwananchi Jumapili, and Mwanaspoti.
The executive editor is Bakari Steven Machumu and the Mwananchi daily managing editor is Frank Sanga. Abdul Mohamed heads Mwanaspoti in Tanzania and Kenya. Sanga is regarded as the sports journalism guru in the region. His influence in sports led Kenyan media to start sports newspapers, such as Sports On and Game Yetu.Thomas Mosoba is the managing editor of The Citizen Daily, which has contributed much to socio-economic changes in Tanzania and in the region as well.
The company was established in May 1999 by Ambassador Ferdinand Ruhinda as Media Communications Ltd. But in April 2001, a new business was established (Advertising Agency & Public Relations) and a new company was formed—Mwananchi Communications Ltd. In the very same year Mwananchi Communications Ltd was acquired by the Nation Media Group (NMG), which is based in Nairobi, Kenya.
Akizungumza katika kikao kazi kilichowakutanisha Watendaji Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Afya pamoja na watumishi wa sekta ya afya wa Mkoa wa Dodoma Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa Mohamed Mchengerwa ameeleza kuwa Kutoa huduma kwa wananchi si kitendo cha hisani, ni Haki kwakuwa...
Baadhi ya wananchi mkoani Arusha wameieleza Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 changamoto mbalimbali walizokumbana nazo wakati na baada ya vurugu na maandamano yaliyotokea siku hiyo.
Wananchi hao wameyasema hayo Januari 5, 2026 mkoani Arusha mbele ya Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji...
Baadhi ya wananchi mkoani Arusha wameieleza Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 changamoto mbalimbali walizokumbana nazo wakati na baada ya vurugu na maandamano yaliyotokea siku hiyo.
Wananchi hao wameyasema hayo Januari 5, 2026 mkoani Arusha mbele ya Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji...
Mange kimambi ameandika yafuatayo
"Samia, Wambura, Mombo, Mafwele, Murillo, na washirika wenzao hawa wote safari yao ni ICC mahakama ya makosa ya jinai . Hawa wote mwisho wao ni kuhukumiwa kunyongwa.
Na huko ICC watakaofanya wakuhumiwe kunyongwa ni mashahidi walioshuhudia mauwaji na...
Mwananchi huyu amemchana Waziri Mkuu Mwigulu baada ya kauli yake kuhusu wasanii kutoungwa mkono na wananchi. Amesema; "Tunaona unatufokea kisa hatuwasapoti wasanii. Sasa, kama unaona kwamba wasanii watakufa njaa na mliweza kuwaajiri wakati wa kampeni, hata sasa hivi unaweza ukawaajiri kwenye...
Wakuu,
Huyu Mzee anawasha moto kwa Gen Z, hii kauli ya kusema tunashawishiwa na mabeberu wanaikamia sana
Hivi ni kweli vijana hatujui tunataka nini?
Nani alisema tunataka kuiwasha moto Tanzania na si kuijenga kutoka kwa mafedhuli tena wazawa wa nchi hii
Kama ni kazi tunafanya na ndo hii ya...
Kufuatia agizo la watu kupumzika katika siku ya Uhuru jana, Disemba 9, 2025 Christina Mogela maarufu kama Mama wawili ambaye anafanya biashara ya kuuza mihogo kwa muda mrefu amesema kazi yake iliathirika kwa sababu inamtegemea atoke ndipo ale.
Christina ameongeza kuwa akiba kidogo aliyokuwa...
Wananchi wengi wanakasirika sana kuambiwa kukaa ndan kwa sababu wanakosa kufanya biashara zao, ukwel ni kwamba itakapotokea mtu anataka kuandamana tena basi wananchi watadeal nae moja kwa moja kwa sababu hawataki kuwekwa ndan tena
Hivyo wanaharakati angalieni siasa mnazofanya saaahv msije...
Yes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi.
Kuna watu wanaitwa wamachinga wako Dar es salaam na majiji mengine wanateneza faida nyingi sana kuliko hata baadhhi ya wafanyabiashara wenye...
In short huyu dada kaongea mawazo yangu 100%.
Samia hakupaswa kuongea maneno yasiyo na busara vile. Tatizo wanawake ni watu wa visasi sana. Katonesha tu vidonda vya watu badala ya kuponya.
Hata sielewi nchi yetu inaelekea wapi
Serikali ya CCM inatakiwa ijue kusoma alama za nyakati vyema hatupo enzi za Nyerere, kama ni kuua raia ndiyo njia ya kuzima sauti za wananchi basi wateketeze taifa lote kwa petroli
Washauri wa Samia mwambieni ukweli yanayoendelea huku nje maana hata kwa hotuba zake zinaonyesha dhahiri hana...
Asshukuriwe Mungu Marais karibu Dunia yote ni watu wazima, wazee wenye busara.
Mimi ndo ningekuwa Rais na vijana waliotekwa akili na Mange kimambi wanashangilia vikwazo ningeigeuza TRA iwe jeshi usu, Watanzania waminywe vizuri mpaka wajue kuwa hata hao watoa misaada hawategemei misaada kwa...
Kwa tafiti yangu ndogo wananchi wanaitamani mabadiliko na wanaona tija ya maandamano ila wanahofia gharama zake kiuchumi na kuwaza kuwa nchi inaweza kuwekwa lockdown Kwa muda mrefu hivyo kuathiri Uzalishaji na upatikanaji wa riziki
Na hii ndiyo silaha ya mafisadi na wahuni, wanajua Watanganyika...
Baaaas dada kamaliza mjadala kabisa
Hawa watu wamezoea kuona watanzania kuwa wa kimya hawajui karne hubadika kisha watu na mitazamo yao pia hubadilika, Walidhani wakileta masuala ya dini basi wakristo na waislamu tungeanza battle la kiimani, imegeuka kuwa battle kati ya misimamo na umoja wa...
1. Achia watu waliotekwa.
2. Achia watu waliofunguliwa kesi za kijinga.
3. Weka katiba mpya yenye matakwa ya sasa.
4. Acha kulilia mali kuliko uhai wa watu.
5. Ongea lugha ya kuridhiana sio lugha ya kutishiana ubabe na kujiona kuwa wewe ni wewe.
6. Ruhusu uhuru wa vyombo vya habari...
" Nina imani kubwa sana na bunge la sasa hivi jinsi lilivyo. Ni bunge la Chama cha Mapinduzi"- amesema mwananchi
Huyu ni mwananchi tena mtu mzima aliyeshuhudia vipindi vingi vya uongozi hapa nchini, naamini anaelewa hasa matukio yanayoendelea lakini bado anashobokea uwepo wa nguvu ya chama...
Kufuatia kuanza rasmi kwa shughuli za Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wananchi jijini Dodoma wametoa wito kwa Wabunge kuachana na tabia ya ushabiki na kusifia kila jambo linalowasilishwa Bungeni, ambapo wameeleza kuwa ni muhimu kwa Wabunge kusimamia haki, misingi ya Katiba na...
Tutaandamana kwa amani na kwa muujibu wa katiba ya nchi Askari atakaye mpiga mwananchi kwa sababu ya maandamano ni uhalifu wa kivita na sisi tutajitetea tutamfanya nyama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.