mwanamke

  1. Sheikh apinga Urais kwa mwanamke

    Sikiliza mwenyewe.
  2. Njia rahisi inayoweza kumsaidia mwanamke aliyepo kwenye uchumba sugu, kupata ndoa

    Wadada wenye uchumba sugu. Kuna wadada wapo kwenye mahusiano zaidi ya miaka kadhaa, na wanatamani waolewe; lakini wanaume walionao bado wanawapiga dana dana. Njia rahisi inayoweza kukusaidia, mwanaume wako afanye maamuzi ya haraka katika kukuoa, fanya hivi:- Andaa bajeti ndogo ya laki mbili...
  3. M

    Nini faida za makalio makubwa kwa mwanamke?

    Salute! Hivi makalio makubwa yana faida gani hasa? Mimi naona kabisa, na sio mimi tu, bali hata wataalamu wengi wanakiri hayana faida kwa wewe mwanaume. Ukipenda sana makalio jitathmini. Aidha uwe abnormal au uwe mtumiaji wa ule mtandao pendwa. Uzi tayari. ======= Pia soma: Sioni faida ya...
  4. Siku nikiwa na mwanamke mwingine ndio utajua tabia yangu, mke hakuongeza neno!

    Iko hivi nina rafiki yangu mmoja ambaye anaendesha magari daladala za hiace isela to magu. sasa kwa uzuri aliniambia mapema kuwa kuna dada kakosea namba kutoka segerema na anamchatisha sana hivyo hadi anaenda kupaki gari usiku bado mawasiliano yalikuwa ni moto sana. Jamaa alipofika kwake...
  5. Je, hizi ni ARV's? Vimekutwa kwa begi la mwanamke

    Wakuu nimeshindwa kuropoka jibu kwa huyu jamaa yangu, katika pekua pekua katika vitu vya mpenzi wake akakutana na vidonge vyeupe vibukwa kwa jina la LA75, Alivikuta vitano ktk gazeti vimefungwa kanitumia picha nikaseez kidogo sijampa jibu kamili nimemuacha dilema. Swali nililomuuliza aliona...
  6. Natafuta dawa ya kunifanya nimuache huyu mwanamke wangu

    Kama ni madawa, sasa naona yane expire. Huyu mama wa watoto wawili, mkubwa ana 27 na mdogo 24, sijui ilikuwaje nikajikuta tu mikononi mwake, tangu siku hiyo nikajikuta nampenda kichizi. Nikahama ghetto naye akahama kwao na watoto wake tukapanga nyumba. Mwanamke kanizidi miaka 8. Sasa nataka...
  7. T

    Mwanamke wa namna hii hakufai asilani na wala Usipoteze muda wako juu yake

    Ahlan wa sahlan Kuna wanawake wa aina nyingi hapa duniani.Kuna baadhi ya tabia zao zikianza kujionesha katika mahusiano yenu jua kuwa taa nyekundu imeshawaka na yakupasa ushtuke na usepe mapema. Mwanamke ambae hakusalimii wala kukujulia hali wala kukutakia usiku mwema mpaka umuanze wewe jua...
  8. TCRA: Tumia simu vizuri, ukimdhalilisha mwanamke mtandaoni jela inakuhusu

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewaonya watu wanaofanya vitendo vya udhalilishaji kwa wanawake mitandaoni, ikisema kufanya hivyo ni kosa la kihalifu kwa mujibu wa sheria za nchi na kunaweza kumpelekea mtu kutozwa faini, kufungwa jela au vyote kwa pamoja. Wito huo umetolewa hivi...
  9. Natafuta Mwanamke Wa kuzaa Nae Kwanza

    Nimefungua hii thread niko serios sina utani hata point 1,sitojibu comment ya mtu yeyote zaidi ya PM tu kwa wale watakao kuwa serious na watakaokuwa tayari. Mimi ni kijana wa 32yrs nimeshakua na mpenzi si mara ya kwanza kuwa na mpenzi,nina mtoto 1 yuko kwa mama yake (nampenda kusiko tamkika)...
  10. Kuolewa ni Heshima kwa Mwanamke

    KUOLEWA ni heshima kwa mwanamke Heshima hiyo inaenda mbali zaidi hadi kuwagusa wazazi wa binti ambaye ataolewa. Wazazi wanatembea kifua mbele pindi binti yao anapoolewa, tena wanafurahia zaidi binti huyo anapoolewa akiwa angali bado hajazaa. Wanamshukuru Mungu kwa binti yao kujitunza...
  11. Mwanamke anaposema "Mwanaume wake haeleweki" anamaanisha moja kati ya haya

    Ijumaa Kareem! Moja ya sababu zinazofanya mwanamke amuache mwanaume kimahusiano ni pamoja na "kutoeleweka Kwa Mwanaume". Bila Shaka ulishawahi kusikia Kauli Kama hizi Kwa wanawake, wakisema mwanaume Yule haeleweki, mume wake haeleweki, mchumba wake haeleweki. Haya ni baadhi ya mambo...
  12. Nimeamua kumuacha mwanamke niliyedumu naye kwa Miaka 7

    Wakuu nitakua nakosea? Ni binti niliekutana nae zamani kidogo tokea nasoma form four nilimuacha madarasa mawili nyuma, tulikua marafiki tu ni mtu ambae tumedumu nae kama rafiki na mpenzi kwa miaka mingi sana, katika mihangaiko yote ya maisha ya shule, chuo na kitaa Niko nae mpaka Leo. Kwanini...
  13. Mchungaji mwanamke aliyekuwa jambazi sugu, aolewa na mume aliyekuwa jambazi

    Anaposimulia maisha yake ya hapo awali utadhani ni hadithi ila ni hali halisi ya maisha yake ya kale ambaye kwa sasa anajulikana kama mchungaji Rebecah Ndinda. Mchungaji ambaye amekiri kuhusika na ujambazi wa hali ya juu nchini Kenya wakati wa ujana wake miaka ya 90. Alijipata katika hali hii...
  14. Mke wa Kaka: Hujapata mwanamke wa kuwa naye?

    Sijui hata nianzie sehemu ipi kuelezea na wana MMU mlivyo wavivu kusoma sired ndefu. Mama O alienda kwao kujifungua watoto mapacha huku kaka akiwa bize kutafta pesa, mama O kajifungua salama akaongeza miezi mitatu kubaki kwao ilipo timia miezi 6 ya mtoto ndio akarejea kwa kaka (baba O). Mama...
  15. Q

    Mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo

    Kwema wakuu Sijui ni kwangu tuu au ni kwa wanaume wote yaani mimi mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo nakasirika haswa sasa kuna mmoja alinijulia akaniambia sitokaa nikuombe tena hela cal nimechoka na visa vyako. Kweli tokea siku ile hajawahi niomba hela mpaka mm nimpe mwenyewe na...
  16. Inadaiwa Mwanamke ana wastani wa mawazo 70,000 kwa siku

    Uzi tayari. Ila mimi sikubaliani na utafiti kwamba eti wanawake hawana Kinga ya kutosha kutokana na kuwaza zaidi. Kama hawana Kinga mbona wanaishi Umri mrefu kuliko wanaume? ====== Imeelezwa kuwa mwanamke ana wastani wa mawazo 70,000 kwa siku na inaaminika asilimia 70 huwaza vitu vya...
  17. Mwanza: Tuzo za Mwanamke Kinara kanda ya ziwa

    Tuzo ya Mwanamke Kinara Kanda ya Ziwa Kutoka kwa Waandishi wetu Mwanza; Leo ni siku nyingine tena ambayo ni msimu wa pili wa tuzo hizi kubwa kanda ya ziwa ambapo tutashuhudia Tuzo zikitolewa kutambua michango mbalimbali ya wanawake Vinara Kanda ya Ziwa, waliogusa jamii kwa namna mbalimbali...
  18. Kwanini ni rahisi kwa Mwanamke kusamehe usaliti kuliko Mwanaume?

    Habari wana jamvi? Kama mada inavyojieleza hapo juu. Napenda kufahamu kwanini Mabinti wengi wanao nipata nikiwacheat ni wepesi sana kusamehe na kusahau kuliko mimi ambaye nikimkuta binti ana makando kando huwa ni mara moja anapotea katika ulimwengu wangu. Yaani hata nijaribu vipi kumpenda tena...
  19. Ni njia gani sahihi ya kuishi, na mwanamke uliyezaa naye; bila kuathiri ndoa iliyopo?

    Kuzaa nje ya ndoa kumekuwa na changamoto nyingi sana, baadhi ya changamoto ni kama zifuatazo:- Mzazi mwenzako kuhitaji huduma ya tendo la ndoa Mtoto kupata mahitaji yake ya lazima Mtoto kutaka kuwa karibu na baba yake Mzazi mwenzako kukuhitaji muda ambao sio rafiki kwako Mzazi mwenzako kuwa na...
  20. Rafiki yangu anakaribia kumfumania mkewe

    Aisee nyie acheni haya mambo, kutokana kuwa karibu na watu na sehemu niliyopo kuna jamaa kutoka mkoa x alimuwezesha mke wake kufanya biashara fulani kwenda mikoa fulani, baada ya biashara kukua mke kaanza kuleta zarau na kuwa bize sana na safari za huo mkoa. Basi jamaa katupigia simu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…