Natafuta dawa ya kunifanya nimuache huyu mwanamke wangu

Myebusi Mweusi

JF-Expert Member
Jan 23, 2022
668
1,505
Kama ni madawa, sasa naona yane expire. Huyu mama wa watoto wawili, mkubwa ana 27 na mdogo 24, sijui ilikuwaje nikajikuta tu mikononi mwake, tangu siku hiyo nikajikuta nampenda kichizi.

Nikahama ghetto naye akahama kwao na watoto wake tukapanga nyumba. Mwanamke kanizidi miaka 8.

Sasa nataka nimuache bila ya kumuumiza moyo, je kuna dawa ama mbinu yoyote?
 
Kama ni madawa, sasa naona yane expire. Huyu mama wa watoto wawili, mkubwa ana 27 na mdogo 24, sijui ilikuwa je nikajikuta tu mikononi mwake, tangu siku hiyo nikajikuta nampenda kichizi.

Nikahama ghetto naye akahama kwao na watoto wake tukapanga nyumba. Mwanamke kanizidi miaka 8.

Sasa nataka nimuache bila ya kumuumiza moyo, je kuna dawa ama mbinu yoyote?
Itakuchukua si chini ya MIAKA MITATU kuliweza hili
.hifadhi hii post
 
Back
Top Bottom