mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Inawezekanaje mchepuko wa mwanamke kuwa mwanakamati wa sendoff ya mwanamke wake kwenda kuolewa na mtu mwingine?

    Nikiwa nimekaa zangu natafakari uwezo wa hali ya juu wa Rais Samia kuweza kuwamaliza kabisa kisiasa Chama Cha Mbowe kwa kuwaruhusu kufanya mikutano.. Katumia sayansi ya hali ya juu sana. Wapinzani wakija kushtuka it is too late na wana kura sifuri kwenye sanduku. Nikapokea simu ya ndugu mmoja...
  2. JamiiForums Tanzania Maajabu ya mwanamke mjamzito kuomba police wamwambie mume asimpige tena sababu anampenda sana, hii ni baada ya kupewa kipigo kizito!

    Mama mwenye ujauzito wa miezi minne Jamila Hamisi (34) mkazi wa mtaa wa Remtula kata ya Elerai Jijini Arusha, amedai amejeruhiwa macho yake kwa kupigwa ngumi za uso na mume wake baada ya kutokea mzozano kati yao desemba 27, 2022. Jamila ameliomba Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limkanye mwanaume...
  3. JamiiForums Tanzania Tabia za mwanamke wa kuoa (wife material)

    Itatimia wakati flani ambapo utahitajika kuoa. Na kuoa huwa kuna harakati zake. Mtu hafai kuingia katika mpango wa ndoa bila ya kutambua yule ambaye ataona naye. Ikija katika maswala ya kuoa, utaskia wengi wakitumia maneno kama wife material ama mke bora. So utamtambuaje mwanamke ambaye ni wife...
  4. JamiiForums Tanzania Sijawahi na sitawahi kumpenda mwanamke awaye yeyote daima

    Natumai mwabuheri wa afya tele na mko vema na huu mwaka mupya. Leo nikiwa ndani ya shoo shoo na pisi mpakato yangu nimeulizwa mbona hujanitafuta ni wiki mbili toka tufamiane ulikuwa unasubiria mwaka mupya ufike ndio uniite? Hapo ni baada ya kula shoo kama awamu mbili na vibez kama zote, mvuvi...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kosa nililolijutia kuwa na mke wa mtu mwaka 2023. Huyu mwanamke anaviranga

    Kama mjuavyo bongo Ina raia wengi wa Tanzania wenye ndg zao mataifa ya arabuni. Basi bana jamaa alikubali Kiulainii asijue amedanganywa bin kudanga. Mkewe anakubali safari Dubai na marafiki kubiashara. Huyu mwanamke Hana hata genge la nyanya. Ameomba aende majuu na mashoga zake ajifunz biashara...
  6. JamiiForums Tanzania Mpaka mwanamke aharibu, basi nyuma yake kuna mwanaume/wanaume walishaharibu

    NB.. siandiki haya Kwa sababu labda nawapendelea Wanawake , au natafuta Wanawake, la Hashaa, Nina Mke na nina Wanawake zangu Kadhaa huku nje tunasogeza life bila stress !!. Turudi kwenye Mada,. Unajua tangu ulimwengu kuumbwa, Mwanaume akapewa ,Ufalme, Uongozi ,Umiliki na Utawala Kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanamke bora wa Maisha yangu

    Kwanza niseme mimi ni mwanaume mwenye uchumi wa kawaida sio tajiri wala sio masikini nipo katikati. Me ni mwanaume ninayependa Mwanamke mwenye sifa zifuatazo Mwanamke ambaye hawezi kuniomba mimi elf 20 elf 50 au laki 1 huyu Mwanamke hanifai nataka Mwanamke ambaye ataniambia nataka milion 3 au...
  8. JamiiForums Tanzania Watumia mkongo wanatuharibia kizazi hiki, wapelekwe mahakamani

    Wanawake wako tofauti tofauti sifa, tabia, mwenendo wao pia ni tofauti kamwe hutoweza kumridhisha Mwanamke kwa chochote. Nilikua na mpenzi wangu, during sex kwa muda mfupi sana alikua anamaliza na anakua yuko satisfied, hutoki jasho jingii kama vile unaponda mawe. Nikapata mwingine pia ndani...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri: Sina hisia na mwanamke mwenye malengo mazuri na mimi

    Habari za majukumu ndugu zangu wa Jf, Kama kichwa cha habari kinavojieleza yaani nimekuwa sina hisia kabisa na huyu binti ambae ni dhahiri kabisa anaonekana kabisa kuwa na faida kwangu. Kwanza ni mpole, msikivu na mcha Mungu na ninaona kabisa huyu ni mke bora kabisa kwangu ila tatizo sina...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ni mzuri kama malaika, halafu mlokole

    Wakati wa kufunga shule nilienda kumchukua kijana wangu shule moja ipo Kahama. Katika kusubiri maelekezo nikaona dada mmoja akiwa amekaa peke yake huku akichezea simu. Moyo ulilipuka sana baada ya macho yetu kugongana. Nikawa kama nimepigwa shoti ya umeme. Niliona ni kama nimekutana na malaika...
  11. JamiiForums Tanzania Je, unapenda mwanamke wako awe na kipi kati ya hivi?

    Huku kuna dimples kule kuna diastema ukipenda uite mwanya kazi ni kwako
  12. B

    JamiiForums Tanzania HIV+ woman needed

    I'm innocent 40 miaka One child WITH HIV+ I don't have a wife I'm Christian I love God too much Natafuta mwanamke yuko na VIH + Mature, love to pray Love work Love God Mwanamke mrembo Mungu akubariki. Write to me bressinginnocent@gmail.com
  13. JamiiForums Tanzania Ni kipi cha thamani kwa mwanamke kati ya kitanda na mwili wa mwanaume?

    Tunapoelekea mwisho wa mwaka, nikaona nijaribu kuleta kwenu hii hoja ambayo imekua ikiibuka Mara nyingi hasa Kwa wanandoa wanaume. Hapa naongelea Mme ameoa, anaamua kuchepuka anasema hawezifanya hicho kitendo na mwanamke mwingine kwenye Kitanda anacholalia na Mke wake. Sasa kama unamheshimu...
  14. JamiiForums Tanzania Nlichojifunza ni kwamba kila mwanamke ana 'price'

    Nisiwachoshe... huu ni ukweli mchungu kabisa, tunamalizia likizo na sikukuu lkn jana mke wa mtu kabisa kanilegezea balaa lakini nilikuwa tayari nimeshaopoa kitoto fulani hivi la sivyo angelizwa mtu. Wanawake wote wana 'price' hakikisha tu price ya mke wako ni kubwa na wewe ndo unaweza kuimudu...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke andika neno BLUETOOTH, mwanaume reply CONNECTED, mwanamke kama umemwelewa jamaa reply SUCCESSFFULLY

    Tutapata date za kumalizia mwaka, haya twende kazi... Sema JF Bluetooth ziko chache sana
  16. JamiiForums Tanzania 'Artificial womb' na mustakabadhi wa mwanamke

    Tokea miaka ya 1920's kumekuwa na hii concept au idea ya artificial womb mpaka Leo almost miaka 100 idea bado haijawa materialize. Binafsi yangu naona haitowezekana kwa sababu Ile Siri ya pumzi ya uhai ni fumbo gumu sana ili artificial womb iwe implemented lazim iweze kufumbua kitendawili cha...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kwa dunia ya leo, sishauri mwanaume aoe mwanamke asiyekua na elimu ya walau diploma

    Achana na mama zetu wale wa miaka ile ya zamani ambao wengine hawakusoma kabisa ila maisha yalikuwa poa tu kwa upande wao. Nazungumzia hawa wanawake wa kizazi hiki wasiokua na elimu ya walau Diploma, yani wana reasoning capacity ndogo sana kiasi kwamba huwezi kukaa nao ukajadili core issues za...
  18. JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke kutoka Kanda ya Kaskazini

    Sina haja ya kuwasilimia hata kidogo Aisee hawa maduu kutoka Kanda ya kaskazini sio poa kabisa nusura nipigwe kipapai kwa maana niuliwe kisa mali aisee nyie wabara mnawezaje kuishi nao hilo kabila? Sio poa kabisa. Yaani ni hivi Kuna duuu mmoja nilikutana nae pale old Moshi tukabadilisha...
  19. JamiiForums Tanzania Hamna mwanamke anayeweza kumvumilia mwanaume asiye na pesa kwa miezi sita

    Hamna mwanamke awezaye kumvumilia mwanaume asiye na hela, ukiacha alete msosi nyumbani, lazima akupande kichwani.
  20. JamiiForums Tanzania Video: Mwanamke anaswa akiweka chupi kwenye chakula

    Kwa kawaida watu wa mitandaoni hupenda kushabiki mambo, lakini katika hili wanaonekana kukerwa na video ambayo inaonesha mwanamke mmoja akivua nguo yake ya ndani na kuiweka kwenye sufuria la mboga jikoni. Katika video inayosambaa kwa kasi ya ajabu, mwanamama huyo ambaye tabia yake hiyo imetajwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…