Heri ya mwaka mpya ndugu zangu wakijiji, Mungu ni mwema ametupa neema ya mwaka 2023 ni mwaka mwingine ya zamani yamepita acha kutembea na fikra za 2022. Nirudi kwenye mada husika......
Maandiko yametuasa wanaume tuishi na wanawake kwa akili, ndoa na mahusiano ya sasa yamekuwa na changamoto sana...