1.Mwanamke ni binadamu mwenye anafunguliwa biashara ya kuuza mboga na mumewe halafu kama mume amekosa pesa aambiwe mke chukua mboga tupike anakasirika na kusema mumewe atamfilisisha biashara yake anasahau kua alipewa hyo biashara ndio mume akikosa aweze kumsaidia na ukumbuke pia yeye atakula...
https://www.youtube.com/watch?v=BQDpwewcZEw
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake Tanzania (Female Future Program) pamoja na Mahafali ya Wahitimu wa Awamu ya 10 ya Mafunzo hayo...
Heshima kwenu wana jamvi! Niende moja kwa moja kwenye mada husika,
Niliweka utaratibu kuwa kila siku nikirudi kazini nampa 10000 mwanamke wangu ambaye naishi nae na nilimkuta ana mtoto mdogo wa kiume mwenye kama miaka minne hivi na tunaishi wote watatu, hiyo hela haitumiwi hadi...
Mara kadhaa tumekuwa tukipata kusikia kauli mbiu nyingi kuwa wanawake wana nguvu na uwezo mkubwa katika jamii. Ni jambo ambalo sikatai na kulikubali kwani linaongeza chachu ya maendeleo ndani ya jamii zetu.
Ila sifa na mapambio yakiwa mengi tena wakati mwingine yakitumia maneno ya kutusi...
🔘 MWANAUME WA MAANA NA MWENYE UPENDO WA KWELI KWAKO; Utakutana nae kwenye nyakati zifuatazo,
1. Wakati wa kukupa mimba.
2. Wakati wa kulea/kutoa matunzo kwa mtoto wenu.
3. Wakati wa matunzo ya familia yenu kwa ujumla.
🔘 MWANAMKE MREMBO NA MWENYE KUJITAMBUA KWA AJILI YAKO; Utakutana nae kwenye...
Kisaikolojia mwanaume huwa hapendi sana isipokuwa Mwanamke ndiyo ambaye huwa anapenda sana.
Ikitokea mwanaume anampenda sana Mwanamke husababisha migogoro ya kimapenzi yenye kujirudia rudia, mwanaume huanza kulalamika, kususa,kununa, kutishia kujiua, kutishia waachane,kulia,kupiga magoti lakini...
Eti ni ya kweli haya ?
Naona reply nyingi kwenye nyuzi zangu kua wanawake waliojazia kwenda nyuma ndiyo kila kitu.
Haya mtuambie mnayapendea nini matraaakoooo makubwa 🍑?
Vipi wanawake wenye makalio makubwa, huwa mnapata special treatment kwa ajili ya maumbo yenu au ni usumbufu tu?
PS:
Sisi...
Haya mambo hayana formula lakini tunachoangalia ni pattern, wanawake wengi wa kundi hili kuna vitu vingi wanafanana kwenye maisha ya ndoa.
Conditions:
Kwao wawe wawili au zaidi, watoto wa baba moja mama moja
Awe kalelewa na wazazi wote, sio baba na mama walifarakana
Kutakuwa kuna...
Habari Wakuu!
Mwanamke wa kwanza wa kiafrica kuwa nuclear physicist amefariki dunia tarehe 9/02/2025 akiwa na umri wa miaka 37.
Mwanamke huyu anaitwa Senamile Masango ambaye amezaliwa mwaka 1987 katika kijiji kiitwacho Nongoma kilichopo Kwa Zulu Natal nchini South Africa.
Masango alijiunga...
Habari.
Moja kwa moja kwenye mada
Mnamo mwaka 2016 nikiwa form form five mkoa x nilibahatika kuonana na huyu binti mweusi, mrefu wastan, mnene kiasi na mcha Mungu mpaka sasa.
Nilimpenda ikiwa ni sababu hizo alikuwa ananishauri muda mwingi kuwa mtu mwema na kumpenda, kumcha Mungu wakati wote...
Narrative kama..
"Sitaki nioelewe nimtegemee mume tu"
"Nataka niolewe angalau na pesa zangu au kazi"
"Niolewe bila ata kazi mume akifa ntateseka"
"Sitaki niolewe then nipelekeshwe"
Zimetengeneza single mothers wengi na wanawake wasomi wasiolewa mpaka miaka 30+.....
Plus umalaya wa kutosha...
Maumivu wakati wa tendo la ndoa kwa mwanamke hujulikana kitaalamu kama dyspareunia.
Hili ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa nyakati tofauti. Maumivu haya yanaweza kuwa ya muda mfupi au ya muda mrefu, na yanaweza kusababishwa na sababu za kimwili au za kisaikolojia.
Leo katika mada...
ASSETS ZA ASILI ZA MWANAMKE NA MWANAUME. HIZI UKIZIJUA ZITAKUSAIDIA PAKUBWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Assets ni rasilimali aliyonayo mtu au kampuni, taasisi au shirika, au taifa ambayo inaweza kutumika kuleta faida kiuchumi.
Siku hizi Istilahi hiyo "Assets" hatimiliki tuu kiuchumi...
Wanawake ni supernatural😂😂
Unakuta anapika, huku ananyonyesha mtoto hapo hapo kichwani anakuundia risala kama zile hotuba za hitler😂...
Wanawake hubishana kulingana na hisia. Wanaume hubishana kwa kuzingatia mantiki.
Usiingie kwenye mtego wa kugombana na mwanamke yani utapoteza hata kabla...
I hope jumapili iko poa kwenu nyote, Kwangu haiku poa kabisa, nina mwanamke naishi nae na tumebarikiwa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili, tatizo ni huyu mwanamke wangu, yaani anapenda kununa kuliko kula, yaani ukimkosoa kitu ambacho ni kweli anakua kakosea basi hapo ni kununa kuanzia siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.