mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke na Mwanaume kabla hamjatanuana miguu naomba mkumbuke haya

    Leo nikiwa kwenye safari zangu nimemuona mwanamke mmoja anamburuza mtoto mwenye umri wa miaka kama 3 au 4 na kumlazimisha mtoto atembee na mtoto alikuwa analia amechoka. Ikabidi nimsimamishe nimuulize vipi naona mtoto analia. Akanambia anaelekea Vingunguti na hana nauli hivyo wanatembea...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Habari wanawake wote wa humu JF na pia hongereni kwa upambanaji wa kujitafutia mkate wa kila siku. Mada: Natafuta mwanamke wa kuoa awe mwanamke mwenye uhitaji wa kweli na mwenye nia ya kujenga familia bora na imara. Sifa: Awe na umri kuanzia miaka 25 hadi 37. Dini yeyote ile - Mkristo, au...
  3. JamiiForums Tanzania Wakati gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe tendo la ndoa? Tusaidiane wanandoa

    Wanandoa wengi sana hivi sasa wanapoteza haki za kupata unyumba Naomba kujua mda gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe unyumba Na mda gani mwanaume anatakiwa kumnyima mkewe tendo la ndoa Ndoa nyingi hivi sasa zimekuwa na shida sana hasa tendo la ndoa M n mmoja wa wanakamati wa jamii...
  4. JamiiForums Tanzania Ukianza uhusiano na mwanamke anaekuadithia jinsi alivyohumuzwa na mahusiano na jinsi anavyoogopa kuumizwa

    Muache futa namba yake, block kila mahali na umusahau Huyo ni mnyonyaji wa nishati anakuwekea mazingira ya kukutawala kihisia. Huyo mwehu anataka uishi nae kwa hofu ya kumuumiza. Anakuandaa kukufanya mtumwa wake...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuhitaji ana code ngumu sana kueleweka

    Miaka michache nyuma tulianzisha kikundi cha sanaa ya uigizaji mtaani kwetu. Mimi ndio nilitoa hilo wazo na kuwashirikisha vijana wenzangu ambao niliona wanaweza kufanya sanaa ya maigizo. Nilitoa hilo wazo baada ya kuwa nimeacha kufanya mazoezi na kikundi cha MTWARA SUPER FILM, kikundi maarufu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha rasmi siwezi pambana na changamoto za mwanamke

    nipo ndoani Miaka kadhaa , baba wa watoto wawili ndoani, nimekuwa NATOa Kila kitu kwa mke wangu msosi , matunzo kwa watoto , nashow love zote ila Bado lawama hazijawahi Isha nimeamua kwa dhati ya moyo wangu kuanzia sasa Sina uwezo wa kukabiliana na mwanamke, acha mambo yajiende
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaume kukosa mtoto ni huzuni zaidi kuliko mwanamke akikosa

    Kutokana na msukumo wa jamii na hali ilivyo mwanaume kukosa mtoto ni huzuni zaidi kuliko ilivyo kwa mwanamke. Karibu kwenye mjadala
  8. JamiiForums Tanzania LILITH: Mwanamke wa Kwanza Kabla ya Hawa? Ukweli, Fumbo na Tafsiri

    🔍 UTANGULIZI Katika simulizi nyingi za Biblia, tunafundishwa kuwa mwanamke wa kwanza alikuwa Hawa (Eve), aliyeumbwa kutoka ubavu wa Adamu. Lakini katika maandiko ya kale zaidi hasa yale ya Kiebrania, Kabbalah, na maandiko ya Kiyahudi ya kale kuna jina jingine linalojitokeza: LILITH. Lilith ni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ujue umeme uliopo katika sehemu za siri za mwanamke na kazi zake

    Habari ndugu zangu wapendwa! Hii mada inaweza isieleweke kwa baadhi ya watu! Wengi wakisikia neno umeme wanawaza mitambo, nguzo, waya, transfoma n.k kwakweli vyote hivi hivi siyo Umeme! Ukweli ni kwamba Umeme ni nishati au nguvu inayosafiri. Swali? Binadamu anaweza kuwa na umeme? Ni kweli...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya Kwanza Mwanamke anagombea URAISI hapa Tanzania

    IKiwa kipindi hiki cha mwanzo atashinda na ataongoza vizuri kufuatia uchaguzi utakaofanywa mwezi wa kumi, kuna uwezekano WaTanzania wakamchagua tena kugombea kwa tamu ya pili kama katiba ya Jamhuri ya Tanzania inavyompa ruhusa mwananchi kugombea ngazi ya Uraisi. Na hii itatokana na ridhaa ya...
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu video ya huyu mwanamke iliyokuwa ikisambaa mitandaoni

    UKWELI KUHUSU VIDEO YA MWANAMKE ILIYOKUWA IKISAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII. 1. Hii ni video nzima. 2. Video ya awali ilikatwa na wahuni. 3. Si mtoto, ni mtu mzima. 4. TAZAMA VIDEO NZIMA👇
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikupenda huitaji nguvu

    Inakuwaje mwanaume hutakiwi na mwanamke na bado unamlazimisha , Mwanamke akikupenda huitaji nguvu nyingi dalili utaziona, Hapa ofisini jamaa analazimisha penzi kashakataliwa mara nyingi bado anafosi. Binti akitumiwa message anakuja kunionesha Mimi, Tunakula ela za jamaa akitumiwa tunaenda kuinjoy.
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: yule mwanamke wa JamiiForum niliyempa talaka anaomba kurudia baada ya kuona thread yangu

    Wakuu hawa viumbe vipoje? Aisee yule mke wangu wa jamii forum aliyenitosa anaomba turudiane baada ya kuona andiko langu la hapa jamvini na analalamika yule bwana wake mpya amemtosa na analalamika hamfikishi kileleni so ameomba turudiane Kiukweli mimi nilikuwa namfikisha kunako mlima kitonga na...
  14. JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke mchepuko ambae anapenda ngono yani very sensitive with high libibo

    Kama umekizi vigezo hivo Kuna uwezokano ukaolewa kabisa kabisa muhimu uwe nasifa hzo, angalau mara 3 Kwa siku itakua vyema. Kama UPO serious njoo pm mbwembwe peleka Kwa ma uncle
  15. N

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mwanamke achangiwa zaidi ya bilioni moja baada ya kumwita mtoto mweusi wa miaka 5 niga

    Tukio la kibaguzi lililorekodiwa katika uwanja wa michezo wa Minnesota limezua hasira na kuzua mzozo usiotarajiwa baada ya mwanamke anayeitwa Shiloh Hendrix (kwenye picha) kurekodiwa akielekeza maneno ya ubaguzi wa rangi kwa mtoto mweusi mwenye umri wa miaka mitano, ambaye inasemekana ana autism...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa, awe sealed kama mimi😭😭

    Jambo la msingi ni hilo Yani mimi niko Sealed kama Box la sigara, halafu wewe nikukute Uko Open High way ya Mfugale.. Njoo tufunguane kama Champaigne😂😂
  17. JamiiForums Tanzania Mjue Pope Mwanamke

    Watu wengi ikiwemo mimi tulikiwa hatujui kuwa aliwahi kuwako pope mwanamke kunako karne ya 9 Aitwaye pope Joan Anglicus. Tafuta taarifa zaidi
  18. JamiiForums Tanzania Nikiona maziwa ya mwanamke napata msisimko na kurukwa na akili

    Sijui ni pepo la ngono ama vipi wakuu yaani nikiona tu maziwa au chuchu za mwanamke hasa hasa zile chuchu saa sita napatwa na msisimko wa ngono inayopelekea kurukwa na akili wakuu Kiukweli hii hali siiipendi kabisa sasa sijui jinsi ya kufanya wakuu naombeni ushauri au msaada wa mawazo na mimi...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini hukumuoa/ulimkimbia Mwanamke uliempa mimba?

    Wimbi kubwa la wasichana wengi wanazalia nyumbani, hasa kwa miaka ya hivi karibuni, changamoto inakua ni nini? Na unakuta jamaa aliyempa mimba yupo tu. Tumekua mstari wa mbele kuwashutumu Wanaume kwa kuwapa mimba na kukimbia, lakini ukiingia deep unakuta wanawake wenyewe ndio chanzo cha...
  20. JamiiForums Tanzania Uzuri wa mwanamke / pesa za mwanaume sio kila kitu kwenye maisha ya ndoa

    Wanaume wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya uzuri wa mwanamke na wanawake wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya pesa za huyo mwanaume. Ndani ya ndoa mtu ndio anakuja kutambua kumbe kwenye ndoa kuna vitu muhimu zaidi ya uzuri wa mwanamke na mwanamke pia anatambua kumbe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…