Ni kawaida kwa mwanaume kuomba ngono katika mahusiano, ila ujue kuwa kumpa au kutompa hakutomfanya adumu kwako. Hivyo uhuru wa kumpa au kutompa unabaki kwako. Ngono pekee haitoshi kumfanya mwanaume adumu na wewe Sex isn't enough).
Kuna mambo mawili ambayo wanawake hulalamika sana kuhusu ngono...