mwanamke

  1. Je, ni sahihi kufanya mapenzi na mwanamke aliyeko period?

    Wakuu, Yamenitokea Kuna Dem mmoja mtaani kwetu nimemfukuzia kwa muda mrefu bila mafanikio,baada ya mwaka na nusu hivi akanikubalia Katika hekaheka akanizawadia tunda,bahati mbaya nae alikuwa hajui kuwa period inaingia hiyo siku Nilipoanza shughuli nimejikuta nalowa ghafla,kutazama hivi ni...
  2. J

    Mwanamke Mgumba anayejielewa anahitajika awe na sifa hizi

    Habari wanaJF Kichwa kimejieleza hapo juu ni jambo serious kwa huyu ndugu yetu kwani siku zote ukweli humweka mtu huru na amethubutu kuniweka wazi. Ni mjomba wa miaka 36 lakini amejikuta anapitia changamoto nzito sana katika mahusiano yake kisa matatizo yake ya uzazi(ugumba). Mimi sio...
  3. Tetesi: Waziri Mkuu Mwanamke (2025-2035)

    Tanzania itaandika historia nyingine kwa kuwa na Waziri Mkuu Mwanamke (2025-2035). Asante kamati kuu.. **Tunajivunia utaifa wetu
  4. Natafuta mwanamke wa kuchat nae awe mid 20-25yrs

    Nina free time ya kutosha kwa sasa natafuta ke wa kuchati nae mambo mbalimbali za mapenzi, pesa, ndoa mahusiano na mambo mengine ya kimaisha nitamshauri atanisahuri kama upo njoo pm
  5. Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"

    Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"
  6. Mwanamke Kutoka Kenya Akamatwa Na Kilo 1.7 Za Kokeine Nchini India

    Maafisa wa forodha nchini India wamemkamata mwanamke mmoja raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 43 kwa kosa la kusafirisha kilo 1.7 za kokeini zenye thamani ya kati ya Ksh225 milioni na Ksh300 milioni. Kwa mujibu wa The Indian Express, mwanamke huyo aliyefahamika kwa jina la Emily Rodha...
  7. R

    Naipongeza mikoa hii angalau wanaume huheshimiana wanapojua mwanamke ana mme au boyfriend

    wanaomendea wake / madem wa wanaume wenzao hawajawahi kukosekana kwenye mji wowote lakini mikoa hii angalau kuna kuheshimiana, MARA MWANZA RUKWA KIGOMA IRINGA
  8. Ukiwa na miaka 31 tafuta mwanamke wa miaka 18 hao mashangazi wataondoa focus jifunze kwa Jay Z na Beyonce

    Vijana tumieni akili Mwanamke akiwa na umri mkubwa akili yake inashuka sana na uwezo wa kufikiri unakuwa duni Sana SoTafuta mwanamke wa umri wa 18 kama umefika 30 achana na oldest women
  9. Picha: Ushauri kwa wanaume toka kwa mwanamke

    Wapenzi Wanaume, Hakuna aibu kusema, "Babe, siwezi kumudu hicho kitu." Usiende kukopa au kuwa na madeni ili kumfanya mwanamke afurahi, hawatakujali. ishi maisha yako kwa uwezo wako, vinginevyo utakufa mapema kwa sababu ya mfadhaiko. Na kabla hujafa, mkeo au mchumba wako atakuwa amekuwa na...
  10. M

    Nahitaji mwanamke wa kimasai

    Wakuu nahitaji kuoa mwanamke wa kimasai ,au mmangati naona wabantu wezangu wamenishinda.mahari naweza afford ngombe kumi.nawasilisha.
  11. Tumeshaachana wivu na vituko vyanini? Ila ke wembamba wana visa sana.

    Jana night nikatoka na chaguo la moyo tubadili hata dinner tuupumzishe ugali dagaa kidogo, hao tukaenda kiwanja fulani jina kapuni kwa ajili ya kulinda brand. Tukiwa tunaingia pale tunaangalia wapi pa kukaa ukizingatia ni sikukuu watu ni wengi karibia kila meza imejaa wadau, ghafla mbele yetu...
  12. Video ya Aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani (Ame Silima) akidhalilishwa na Mwanamke

    Anaitwa Ame Pereira Silima alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani kipindi cha JK 2010-2015, na katika uchaguzi wa 2015-2020 akaomba kuwa mgombea Urais Zanzibar akakosa akapewa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Moroco na leo 2025 ndio huyo Dah hii ndo inaitwa Dunia gunia. Haya ni matukio machache...
  13. Fanya ujinga wote ila usioe mwanamke aliyekuzidi chochote, labda akuzidi makalio na weupe tu.

    Nimeona ndoa ambazo wanandoa kabla ya kuoana wote hawakuwa bikra lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio Nimeona ndoa ambazo mwanamke ameolewa na mtoto tayari au watoto lakini ndoa zina furaha, amani na mafanikio. Nimeona ndoa ambazo wanandoa wameingia kwenye ndoa ilhali mume au wote...
  14. Sijui huyu mwanamke wa kiganda amenipangia nini?? Nisaidieni

    Habari wanazengo; Hapo nyuma nilishawahi leta Uzi na kuuelezea namna nilivyopata Binti wa kiganda amabaye anamahaba mazito Tanzania hamna. Mimi kama single father nikamwambia aende kwao aseme na wazazi wake kua amepata mchumba wakumuoa ili nipewe taratibu.... Lakini kilichotokea kumbe...
  15. Vijana mjifunze Kutongoza. Mmenisikitisha Sana kwa waliomfuata Binti Kimoso. Mbinu za kutongoza Mwanamke mtandaoni ni hizi;

    Habari za Jumapili! Hatukatai nanyi ni wanaume mnapenda wanawake wazuri Sana. Hatukatai wanaume tumeumbwa kuwajaribu wanawake kuona yaliyomo yamo na anamsimamo au Hana! Kama mwanaume kutongoza kupo damuni. Sisi Watibeli hatuzuii wake zetu au wachumba zetu kutongozwa kwa Sababu kuu mbili...
  16. Ajabu; Nimetongozwa na mwanamke mwezangu

    Nipo Dodoma kibiashara. Nikiwa hapa huwa napenda kula mgahawa mmoja Uhindini unaitwa Chef Asili. Jana mchana wakati napata lunch, akaja mdada wa umri kati ya 30-34 akakaa meza ya pembeni yangu. Yeye aliagiza wali samaki. Wakati anaendelea kula, akapita mhudumu wa kiume akamwambia ampe...
  17. Azimio la Beijing ndio anguko la mwanamke

    Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii imesema nchi ya Tanzania katika kipindi cha miaka 30 ya azimio la Beijing imefanikiwa kutekeleza malengo ya mkutano wa Beijing kwa mafanikio, ikiwemo kuongeza idadi ya wanawake katika vyombo vya maamuzi. ‎ Habari hii ni njema sana kwa wanawake ambao...
  18. Kama ulikua hujui kuwa MWAMPOSA aliwahi kuachwa na mwanamke kisa umaskini wacha nikufahamishe;-

    Watu wengi ukiwemo wewe najua hujui hili, Sasa leo kupitia grupu hili la Maajabu Ya Dunia wacha nikufahamishe, Kama ilovyo kwa wanaume wengi hapa duniani huachwa na wanawake kisa umasikini, Ndivyo pia ilivyomtokea mchungaji maarufu nchini TANZANIA kwasasa, Anaejulikana kwa jina la...
  19. Mara nyingi Past ya mwanamke utakayemuoa ndio future ya Mahusiano yenu

    Hamjambo wote! Vijana wadogo, huwezi ipuuza Past ya mwanamke unayetaka kwenda kumuoa kwa Sababu past ya Mwanamke ndio future ya Mahusiano yenu. Kupuuza past yake ni kupuuza future yako. Zingatia, mtu habadiliki mtu ni yuleyule. Na ukiona mabadiliko yoyote usiyaamini. Katika mahusiano ya...
  20. Inakuwaje mwanamke aliyeolewa anakopa pesa kwa mtu baki?

    Habari wakuu , Kama kichwa cha mada hapo juu: wanaume wenzangu ambao mmeoa inakuwaje mkeo anakopa japo anafanya kazi ? Kwa nn usikompee wewe? Mwanamke ana kazi ila anakopa pesa ndogo ndogo kama 20k ,30k,50k...Ukiangalia ana mume wa ndoa tena ana kazi ...Hivi kweli kwa nn watu wanapenda wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…