mwanafunzi

  1. JamiiForums Tanzania Vurumai, Mabomu ya machozi vya rindima Singida kufuatia ajali iliondoa uhai wa mwanafunzi

    Mwanafunzi moja wa shule ya msingi Kibaoni Manispaa ya Singida amefariki dunia jioni ya Leo baada ya kugongwa na Gari iliosemekana ni ya kusafirishia hela za benki. Mwanafunzi huyo aligongwa akiwa sehemu salama kabisa inayoruhusu waenda kwa miguu kuvuka barabara yani zebra, lakini kwa kutojali...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi bora UDSM ametuokoa wanaume anaitwa TITO ana GPA ya 4.8 net bila nyongeza

    Wakuu kumbe kuna mwamba UDSM ana GPA ya 4.8,. Khaa ametuokoa wanaume, wanaume tulianza kusemwa wakuu. --- Mtoni Tito Paul ambaye ni mhitimu wa Shahada ya Awali ya Elimu jamii katika Takwimu yaani B. A. of Arts in Statistics UDSM aliyepata GPA ya 4.8 na kuwa mwanafunzi bora UDSM Tito...
  3. JamiiForums Tanzania Rukwa: Mwanafunzi aozwa kwa Mahari ya Tsh. 330,000 na Nguruwe mmoja

    MKAZI wa Kitongoji cha Mabatini, wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Kennedy Fumpa (37), amekamatwa kwa tuhuma za kumuoa mwanafunzi wa darasa la tatu baada ya kulipa mahari ya Sh. 330,000 pamoja na nguruwe mmoja. Mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 11 (jina linahifadhiwa), alikuwa darasa la tatu na...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Mwanafunzi mwenye AVN bila cheti anaweza ruhusiwa kujisajili chuo??

    Hivi Mwanafunzi mwenye AVN bila cheti anaweza ruhusiwa kujisajili chuo??
  5. JamiiForums Tanzania Nahisi jamaa yangu anatoka na mwanafunzi, nimeshangaa sana

    Juzi kati jamaa yangu akanipigia, Mshkaji nilisoma naye High school. Tulipotezana kitambo ila hamadi tukakutana town tukabadilishana namba fresh. Kwa sasa nimehamia kwenye kakibanda kangu ambapo jamaa since naanza ujenzi alikuwa hajawahi kuja though mimi kwake nimewahi kwenda kumtembelea, Jamaa...
  6. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mwanafunzi Ajinyonga kwa msongo wa Mawazo

    Mwananfunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Cyril Chami, Yasinta Mathew (17) amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kile kilichodaiwa kuwa na msongo wa mawazo Kamanda Maigwa amesema tukio hilo lilitokea Agosti 16, 2021 maeneo ya Mweka kata ya Kibosho Mashariki ambapo mwanafunzi huyo...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanafunzi aliyesoma bachelor in computer science or information technology, awe anakaa Dar es Salaam

    Kama kichwa Cha habari kinavyosema ambaye Yuko dar anicheki, kama amemaliza chuo mwaka huu ndo itakuwa vizuri.
  8. JamiiForums Tanzania SoC01 Hakuna Mwanafunzi asiye na uwezo wa kitaaluma ni mipango tu na kujiamini

    Kama mwanafunzi hana utindio wa ubongo huyo anafundishika na akafanya vizuri kabisa katika masomo yake. Wanafunzi wamegawanyika katika makundi makuu matatu;- Ni wanafunzi ambao wana uwezo mkubwa wa uelewa na kutafakari; hawa wakifundishwa kidogo tu inawatosha. Na wengine wapo wenye uwezo wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwenyekiti wa Kitongoji abaka shemeji yake ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la 6

    Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kanami, Kijiji cha Isangijo wilayani Magu Mkoani Mwanza Robert Mfungo anatuhumiwa kumbaka shemeji yake ambae ni mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka kumi na mbili. Inaelezwa Mke ambaye ni Dada wa Mtoto huyo pamoja na majirani waligundua Unyama huo na...
  10. JamiiForums Tanzania Mambo 3 ninayotamani Kila mwanafunzi wa mwaka wa kwanza ayafahamu

    Katika kila hatua mpya ya maisha kuna mambo usiyoyajua kwa sehemu, ambayo ukiyajua na kuzingatia kwa asilimia kubwa yatakuwezesha kuwa na matokeo bora ya maisha tofauti na asiyeyajua kabisa. Katika Makala hii nataka kuzungumza na mwanafunzi mpya wa chuo kikuu na hata wale wanaoendelea na masomo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kupokelewa MUHAS na Diploma ya clinical medicne as an entry qualification

    Najua unahitaji kuwa na GPA y 3.5 kupata sifa ya kujiunga na MD by TCU standards! Katika daily practice, kuna mwombaji aliyepokelewa MUHAS with this qualification? Nisaidieni information please. Vyuo vingine vya medicine wanawapokea na wanamaliza vema tu with flying colours.
  12. JamiiForums Tanzania Achukua rushwa ili Mwanafunzi asiende Shule

    DODOMA - JULAI 19, 2021 TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI ACHUKUA RUSHWA ILI MWANAFUNZI ASIENDE SHULE Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma leo Julai 19, 2021 inatarajia kumfikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma Bw. Maliselo Kapampa Saveli (29) na...
  13. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Mwanafunzi wa kidato cha kwanza mwenye miaka 13 aswekwa Mahabusu kituo cha Polisi Kirumba

    "Kati ya mahabusu wa kiume 48 waliokuwepo katika Kituo cha Kirumba, kuna mtoto mwenye umri wa miaka 13. Mtoto huyu, alimsogelea Askofu na kumueleza kwa masikitiko kisa chake. Kwamba siku moja aliamua kuchuma limao moja katika mlimao wa jirani yake ili aweke kwenye dagaa ili ale. Jirani yake...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Maboresho katika elimu yatakayomsaida mwanafunzi kujiendeleza kimaisha pindi amalizapo elimu au akwamapo njiani kabla ya kumaliza

    Ni wazi kwamba mifumo wa elimu yetu hapa nchini Tanzania haijaweza msaidia mwanafunzi kujisimamia na kuendesha maisha yake bila utegemezi wa wazazi/walezi au kuajiriwa.Kwa kiwango kikubwa cha ukosefu wa ajira kwa vijana na kutokuwa na thamani ya elimu yetu ya msingi na sekondari katika ajira...
  15. JamiiForums Tanzania SoC01 Unaweza kujiajiri ukiwa bado mwanafunzi kwa kutoa huduma hizi

    Kujiajiri ni kinyume cha kuajiriwa. Yani mtu kufanya kazi fulani kwalengo la kujipatia kipato, Mtu wa ngazi yeyote ya elimu anaweza kujiajiri mradi tu anaufahamu wa kile anachotaka kukifanya. Kwa hali ya kawaida iliyozoeleka katika akili za wengi ni kuwa wakati wa uanafunzi ni wakati wa...
  16. JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Omari Ally Juma alioa mwanafunzi wa kidato cha kwanza?

    Au sijasikia na kuona uzuri mie? Naangalia TBC1 hapa naona Mke wa hayati Dkt. Omari Ally Juma anatoa historia, Moja aliyoyasema eti alimchumbia akiwa ndogo sana na kufunga naye ndoa akiwa kidato cha kwanza. La pili anasema alikuwa ni ndugu yake, mume ndugu. La tatu, Dkt. Omari Ally Juma...
  17. JamiiForums Tanzania Inawezekana mwanafunzi wa Diploma kuhitimu mwaka huu nakujiunga na Degree mwaka huu?

    Habarini wataalam, Hivi inawezekana mwanafunzi wa diploma kuhitimu diploma mwaka huu nakujiunga na degree mwaka huuhuu.
  18. 4

    JamiiForums Tanzania Kifo cha mwanafunzi MCHAS-UDSM kichunguzwe, japo kimetokea akiwa Mwanza

    Wakuu Salam kwenu, Naenda kwenye mada moja kwa moja UDSM inaendesha medicine pitia brunch yao iliyopo Mbeya na hutumia Mbeya zonal referal hospital Kama teaching hospital, Kuna tahalifa za Mambo mengi ikiwa ni pamoja na mdau mmoja aliewahi leta malamiko yake apa jf kuhusu Mbeya ZONAL...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwanafunzi wa kidato cha tatu ampiga msumari mkuu wa shule kwa kudaiwa ada

    Mwanafunzi wa Kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Ainamoi iliyoko Kaunti ya Kericho, Kenya anatafutwa na polisi kwa kumpigilia msurmali wa inchi nne Mkuu wake wa shule. Mwanafunzi huyo alizuiwa kuingia darasani akitakiwa kwanza alipe ada aliyokuwa anadaiwa ambayo ni takribani Tsh...
  20. JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Mwanafunzi Josephat John aliyevaa mabango hakuchaguliwa ECA na hakuwa na sifa za kuchaguliwa PCB

    Mwanafunzi Josephat John hakuchaguliwa ECA na hakuwa na sifa za kuchaguliwa PCB OR-TAMISEMI,DODOMA Mwanafunzi Josephat John aliyekuwa anasoma kidato cha nne shule ya Sekondari Kom iliyopo kwenye Manispaa ya Shinyanga alizua taharuki baada ya kujianika juani huku akiwa amevaa mabango yenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…