Emmanuel Mussa (27), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Ighombwe, mkoani Singida, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa darasa la tano wa Shule ya Msingi Ighombwe.
Tukio hilo lilitokea Novemba 12, 2023 katika Kata ya Sepuka, Wilaya ya Ikungi...