Kwa masikitiko na wasiwasi mkubwa, tumepokea taarifa kuwa Mr. Jose Mbeya, ambaye ni mwanachama wa CHADEMA, amechukuliwa leo alfajiri na watu waliojitambulisha kuwa ni maafisa wa Polisi.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na ndugu zake, watu hao walieleza kuwa wanampeleka katika Kituo cha Polisi...