mwanachama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    ZSSF: Mwanachama wa ZSSF aliyechangia chini ya miezi 18 anastahili kupata mafao

    Upande wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) umeeleza kuwa mafao yanayotolewa na mfuko huo kwa sasa ni yake ambayo yalifanyiwa maboresho ya Kisheria mwezi Oktoba 2022. Ambapo fao la kutokuwa na ajira wanufaika wanapatiwa hata kama wamefanya kazi chini ya miezi 18 na kwamba Sheria hiyo...
  2. Amba Samedi

    Mbinu 6 Sifuatazo Zitakukinga na Uzoroto Wa Ubongo katika Kizazi cha AI

    Habari wanaJF, Natumaini mko salama. Nina siku nyingi sijaja humu. Ila leo nimepata nafasi tena. Moto usizime. Mbele daima! Leo tutazungumza kuhusu jinsi ya kutumia AI bila AI kukutumia wewe. AI itawasababisha wengi kuwa na uozo wa akili. Tafiti zinasema kuwa GenZ wa sasa watakuwa the most...
  3. Waufukweni

    PostGE2025 Askofu Gwajima atoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29 na kupona baada ya oparesheni nne

    Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, leo katika Ibada kanisani kwake ametoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 na kupona baada ya oparesheni nne. Askofu Gwajima pamoja na muumini huyo pia wanaeleza alipigwa risasi lakini hakuwa kwenye maandamano bali alikuwa...
  4. Troll JF

    Polisi Wamkamata Mwanachama wa CHADEMA kwa kosa la kuiba michango ya Tundu Lissu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Fredrick Mbwambo, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za wizi wa fedha za michango zilizokuwa zikikusanywa kwa ajili ya Mwenyekiti wa chama hicho aliyeko gerezani kwa tuhuma za uhaini, Tundu Lissu. Kwa mujibu wa...
  5. Troll JF

    TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Kibosho akutwa amefariki, Chanzo chatajwa kuwa ni Pombe

    Kijana Deogratius James Ottaru (37), mkazi wa Kijiji cha Kirima Kati, Kata ya Kibosho Kirima, wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba yake aliyokuwa akiishi peke yake. Taarifa zinaeleza Drogratius (marehemu) alifariki takribani siku mbili kabla ya...
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    Mwanachama wa JamiiForums Mwigulu Nchemba njoo hapa

    Ndugu mwigulu nchemba naomba dola lakimoja chap. Guys akiniwekea hiyo hela ndio aje sasa aseme ni nani aliyemchagua, guys huyu hana sifa ya kuwa hata diwani wa kata.
  7. DuaZaMama

    PostGE2025 Polisi wamkamata Mwanachama wa CHADEMA kwa tuhuma za “Kuhamasisha uhalifu kupitia kundi la WhatsApp”

    TAARIFA KWA UMMA Novemba 12,2025, Jeshi la Polisi lingependa kujulisha kuwa, lilimkamata na linaendelea kumshikilia Ambrose Leonce Dede, Mnyaruru, Mlinzi wa Kampuni ya Ulinzi ya African Safari na Mwanachama wa Chama cha Chadema kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha uhalifu nchini kupitia kundi la...
  8. DuaZaMama

    GE2025 Mwanachama CUF: Ahadi za CCM ni zile zile wameshindwa kutimiza ndani ya miaka 30

    Akizungumza leo Septemba 15, 2025 Kutoka Kijiwe cha Kivulini, Mikocheni – Hanifa Mgonela, Mwanachama wa chama cha CUF anaweka wazi namna ambavyo suala la ajira Tanzania limekuwa fumbo lililokosa majawabu.
  9. Daby

    In JF, what is your red flag?: Red flag gani ambayo ukiiona kwa mwanachama wa humu hautajibu hata PM yake?

    Binafsi zangu ni: 1. ID mpya 2. Majivuno [mimi nina hiki, mimi fulani n.k] 3. Matusi na dharau..... 4. Id ya zamani lakini ina comments chache......
  10. econonist

    GE2025 Kumbe INEC imechukukua orodha ya wapiga kura kutoka NIDA?

    Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana. Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi...
  11. M

    GE2025 Mwana CCM amuandikia Msajili wa Vya Siasa barua ya Malalamiko ya UKIUKWAJI wa taratibu za kupata Mgombea Urais wa CCM

  12. Hance Mtanashati

    Kama wewe ni mwanachama active wa JF na kuna mada inazungumzwa mahali unapoishi na ukashindwa kuchangia chochote wewe ni sawa na bure

    Kama wewe ni mwanachama active wa JF angalau kwa miaka miwili na kuna mada ikawa inazungumzwa ambayo haitegemei taaluma fulani na ukashindwa kuchangia chochote angalau 50% basi wewe ni sawa na bure na hauna haja tena ya kuendelea kutumia JF maana umeshindwa kabisa kuchota maarifa ya humu. Humu...
  13. M

    GE2025 Alliance for Democratic Change (ADC): Polisi wanatutesa sana kwenye chaguzi

    Akizungumza katika Mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa leo Agosti 18, 2025 katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Shaban Itutu amelalamikia...
  14. Mlume Ndago

    DOKEZO Michango wangu wa NSSF mwezi wa 12 Mwaka 2022 & 2024 imetolewa japokuwa ililipwa

    Habari za muda huu wakuu, ni matumaini yangu kuwa mpo na afya na nguvu tele, na kama ni hivyo basi tumshukuru na kumtukuza Mungu wa mbinguni aliye hai. Moja kwa moja bila ya kupoteza muda niende kwenye mada yangu iliyonifanya niandike uzi huu. Suala hili huenda wengine wanalijua na wengine...
  15. R

    Bado kuna vijana wana wito wa kumpigania Tundu Lissu, maana si kwa hali hii jamaa alivyokuwa anapambana na Polisi

    Mmoja kati ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akivutana na askari wa Jeshi la Polisi katika Mahakama ya Kisutu ambako kesi inayomkabili mwenyekiti wao, Tundu Lissu, inaendelea.
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kumbe IGP Mstaafu Simon Sirro ni mwanachama wa CCM

    Ndio nimejua leo wakuu..
  17. U

    Kupinga hadharani maamuzi ya mkutano Mkuu wa CCM ukiwa mwanachama ni dharau na Uasi mkubwa kwa Mwenyekiti Polepole afukuzwe Chamani

    Hiyo ni kanuni muhimu ya uwajibikaji wa pamoja ndani ya CCM Akabidhi KADI ya Uanachama na aende huko anakoona kinamfaa
  18. Tanzanians

    GE2025 Esther Matiko ni mwanachama wa CCM tokea mwaka 2022, alikuwa bungeni kwa tiketi ipi?

    Kwa yanayofanyika ndani ya nchi kwa sahivi ni aibu sana Copy and paste CCM WAMWANIKA MATIKO Nimesogezewa na mwanaCCM ambaye kachoka kuliko sisi Kaona isiwe shida katoa anachodai ni ushahidi wa usajili wa Esther MatikoDuh! Kumbe Matiko yuko Bungeni kwa kinga ya Tulia Ackson na Mahakama kama...
  19. Wakusoma 12

    Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama Mbunge wa chama Gani?

    Wakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.
  20. S

    Kwako Wakili Alloyce Komba, Kama una uwezo wa kuongoza mpira mbona Yanga unaogopa kuchukua fomu na wewe ni mwanachama mkongwe kuliko injinia Hersi?

    Hili jamaa bwana linashangaza sana , unadai unataka kuongoza mbona unamuogopa Eng Hersi pale Yanga wakati ni mwanachama wa Yanga tena mkongwe kuliko Hersi? Au kWa sababu TFF hakuna makelele na vitisho kule Yanga, we huoni Yanga inavyobagazwa na umekaa kimya tu, watu wananufaika na mradi wa...
Back
Top Bottom