mwamposa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwamposa ameshindikana kumejaa, kumetema, kumetapika wa kumuweza huyu jamaa ni Pope Francis mwenyewe

    Amani kwenu watumishi Huyu mwamposa kashindikana Kwa sasa dunian wa kushindana naye ni pope Francis mwenyewe hakuna tena mwingine Hata shetani hawezi kujaza watu kama anaojaza mwamposa Hata Trump hamuwezi huyu jamaa Acha injili ihubiliwe Acheni kuhukumu hakimu ni MWENYEZI MUNGU Ipo...
  2. JamiiForums Tanzania Mwamposa and Clear Malissa; The next giant ambassadors of Heaven in Africa after T.B Joshua.

    Amani ya Bwana iwe nanyi, Amini Mungu yupo na kuna kitu ananena leo kupitia mikesha yao miwili, Mwamposa kawe, Clear Malissa Ubungo Riverside. Nawasilisha.
  3. JamiiForums Tanzania Mwamposa anauwezo wa kuombea mikeka yangu ikatiki?

    Kuna mikeka nimesuka mitatu ikitiki tu hiyo baasi. Wale mashabiki wa mwamposa hivi huyu bwana anaweza kuiombea kwa makubaliano kuwa ikitiki nitamlipa 5%?
  4. JamiiForums Tanzania Siri iliyopo nyuma ya mafanikio ya Mwamposa na jinsi unavyoweza kuitumia kwenye biashara yako

    Tunasema ili uweze kufanyikiwa kwenye kitu chochote kile ni lazima uwe na “Model ya kujirudia inayokupa MATOKEO wanayoyataka walengwa wako kila mara” Yaani… Lazima uwe na kitu, bidhaa, huduma au mfumo flani ambao kila ukiutumia unakupa matokeo yale ambayo walengwa wako wanayahitaji. Mfano…...
  5. JamiiForums Tanzania Sijawaona Mwamposa na wenzake pale katika janga Kariakoo

    Hawa jamaa nadhani walitakiwa pale ghorofani ili wafanye jambo la muhimu sana, sijawaona, au ratiba zimewabana?
  6. JamiiForums Tanzania Napendekeza waanze haraka sana hili Zoezi na Mwamposa na Mwacha kwani nina uhakika nao wana Changamoto hii tajwa na Padri Sanga wa SAUT Mwanza

    Baadhi ya wasomi wa Biblia na viongozi wa dini wameshauri kitengenezwe chombo kitakachofuatilia mienendo ya wahubiri na wachungaji pamoja na kuwapima afya ya akili kabla ya kuruhusiwa kuhubiri. Ushauri huo umetolewa leo Alhamisi Novemba 14, 2024 kwenye kongamano la kiukemene kujadili imani moja...
  7. JamiiForums Tanzania Mwamposa awasili Leaders Club kuendesha ibada ya kumuaga Muigizaji Grace Mapunda (Tessa)

    Mtumishi wa Mungu Boniface Bulldozer Mwamposa alivyowasili viwanja vya Leaders Club kuendesha ibada ya kumuaga mpendwa wetu Grace Mapunda #RIPGraceMapunda Soma: Muigizaji Grace Mapunda (Tessa) amefariki dunia
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mtume Mwamposa ktk msiba wa Grace Mapunda (Tessa)

    Mwamposa naona anawavuta watu waende kanisani kwake kwamba kupitia Tessa kusali kwake tayari yuko mbinguni
  9. JamiiForums Tanzania Sijamuona mke wa Askofu Jonathan Shemhambu kwenye tukio mazishi yake

    RIP Jonathan
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa Salamu za Pole kwa Boniface Mwamposa Kufuatia Kifo cha Msaidizi wake Mkuu

    Ndugu zangu Watanzania, Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Mama mwenye moyo wa huruma, upendo, unyenyekevu na ukarimu ametoa salamu za pole kwa Mchungaji Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka uangaze.kufuatia kifo cha Msaidizi wake Mkuu...
  11. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Boniface Mwamposa

    Kwako mtumishi wa Mungu, nakuomba Tafadhali sana usipuuze andiko langu, hili ni andiko la Mungu mwenyewe. Wewe hakika ni mtumishi wa Mungu,ni kweli kabisa Mungu alikuita ili ufanye kazi yake, wanaokudharau na kukusimanga ni wa kuonea sana huruma, kwa sababu mimi nina ushahidi wa zaidi ya 100...
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwamposa: Watu wangu nenda mjiandikishe mkapigie kura CCM

    Kada maarufu wa CCM na Askofu wa kanisa la Arise and Shine, Dr Boniface Mwamposa (Buldozer) leo amewahimiza waumini wake waende wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura na kuwapigia kura wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nabii huyo amesema hayo leo jioni wakati akiwahubiria mamia ya...
  13. JamiiForums Tanzania P. Diddy parties explained!

    Nimeona hii thread niianzishie huku kwa sababu, Diddy alikutwa na mafuta, tofauti na hapo hii mada ilitakiwa niiposti jukwaa la intelligence. Msikilize huyu mshua alivyozichambua shutuma za Diddy. Jamani ndugu zanguni, tujitahidi tupate utajiri mapema, zama zijazo maisha yatakua magumu sana...
  14. JamiiForums Tanzania Kisarawe: Mwamposa, Jaffo, LT.COL Kombo, waungana na DC Petro Magoti Siku ya Wazee Duniani

    SIKU YA WAZEE DUNIANI 1 OCTOBER 2024 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti jana aliandaa Chakula cha Mchana na wazee zaidi ya 300 ktk Ikulu ndogo ya Kisarawe kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na katika Hafla hiyo Mgeni Rasmi alikuwa Dkt. Suleiman...
  15. JamiiForums Tanzania Kiboko ya Wachawi ni aidha amechanganyikiwa au ni kazi ya mizimu na miungu wa watu aliowaumiza

    Behaviour ya Kiboko ya Wachawi kuwakejeli victim wake inatoa taarifa moja tu kuhusu hali ya kiakili ya kiboko ya Wachawi. Amechanganyikiwa. Inaweza kuwa ni kazi ya Mungu mwenyewe au kazi ya miungu wa victim wake (probably walienda kulalamika kwenye madhabahu zao) Pia inaweza kuwa kazi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Katibu wa Baraza la maaskofu katoliki TEC aligoma kuwapa wanasiasa mike tundulisu, mnyika na chimbi kwanini mwamposa alimpa mike makonda

    Amani iwe nanyi wana wa MUNGU Juzi kanisa katoliki liliitisha kongamano la ekarist takatifu pale uwanja wa uhuru Katika watu ambao walikuwepo eneo hilo siku hiyo ni wanasiasa mashuhuri tundulisu, mnyika na Emmanuel chimbi katibu mkuu wa chama cha ccm Wanasiasa hao waliitwa madhabahuni...
  17. JamiiForums Tanzania Anayoyafanya Mwamposa kama ni kweli, Watanzania tusipuuze kila kitu

    Niko nafuatilia mkutano wa injili wa mwamposa huko Arusha naona makubwa yanafanyika anavohubiri neno liko sawa Ana nguvu za Mungu, Muujiza wa kwanza. Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua. Mkuu wa mkoa ameshawafika mkutanoni. Mahubiri ni...
  18. JamiiForums Tanzania Haya akina Mwamposa, Mwacha na Wenzenu dalili ya Mvua ni Mawingu

    "Hivi sasa yameibuka mafundisho ya baadhi ya viongozi wa dini yanayowaaminisha wafuasi wao, kutegemea miujiza Zaidi, ili kupata maendeleo badala ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa, viongozi hao wanawaelekeza waumini wao kwenda kwenye nyumba zao za ibada, ili wakaombewe wapate mali, ikiwemo...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Yawezekana wanaocha dawa wakiamini watapona baada ya kuombewa na Mwamposa wengi sana wakawa wanafariki pasipo kujulikana

    Iko hivi kuna watu wengi Sana,wameamua kuachana na doze za dawa wanazotumia wakiwa na imani kwamba, wamepona baada ya kuombewa na Mwamposa na baadhi ya wachungaji wa amakanisa ya kilokole Hivi inaingia akilini mgonjwa anayetumia dawa za kufubaza virusi vya ukimwi apone kwa kuombewa tu, au...
  20. JamiiForums Tanzania Tanganyika Packers: Eneo la Umma, palipokuwa Kiwanda kilichotoa ajira zaidi 2000, sasa pana Kanisa! Watu wanauziwa udongo, mafuta na maji

    Kuna mdau yeyote mwenye taarifa na eneo hili pale kawe(263 acres) na nini mustakabali wake? Inaonekana wanasiasa na viongozi wa dini wamejimilikisha. Nini hatma ya mashine zilizokuwemo? Zilienda wapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…