JF member Mshana Alitabiri Mwamposa kutowekwa Lupango

wakurochi

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
2,647
2,936
Sijawai kumsikia akijiita nabii au mtume lakini Mshana jr alitabiri mapema kabisa kwamba Mwamposa ataachiwa na kuwa huru kuendelea na shughuli zake.

Pia aliongelea wale 20 ndugu zetu wametolewa kafara kumpandisha daraja Mwamposa ili awe na "power" zaidi na umaarufu maradufu ya aliokuwa nao.

Huo uzi uko humu humu JF. Kama mwenzetu amekuwa sahihi kwenye kipengere cha Mwamposa kuwa huru je na ile habari ya kafara huenda yuko sahihi.

Sidhani Mshana utakuwa wazi kutumegea ulijuaje, ila mi nadhani rada zako kali sana
Kama S400 . Ungekuwa wewe ni mwamposa ungestuka kule Moshi Mwamposa masikini rada ziliona giza.

Mi naanza kuwa na imani na Mshana potelea mbali yuko dini ganiau anapata je data zake

POVU RUKSA POVU RUKSA


Cc. Mshana
 
Mwamposa hata kama akikutwa na hatia sidhani kama itakuwa kwenye kipengele cha murder coz watatakiwa ku pruv beyond reasonable doubt, kwenye manslaughter may be kama wataiweka kwenye charge, but nayo sidhani kama watamkuta na hatia.

Sana sana atakutwa na hatia kwenye minor offences tu kama kufanya mkusanyiko nje ya muda aliopangiwa na mengine kama hayo, ambapo adhabu yake haiwezi kuwa kubwa kiivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ndio akili tunazozitegemea kama taifa....kuchanganua mambo madogo tu hivi unategemea utabiri lol! Tutegemee zaidi wafuasi wa misukule kila wanapoibuka...
Kufanikiwa kwa taifa hili kunategemea sana kujitambua kwa watu wake..
Wacha muendelee kushikwa ufahamu tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama kwa akili ndogo tuu ya darasa la 3 B umeshindwa kujua kama mwaiposa hana kosa, bc mtoa mada ni mzigo wa taifa.

hakuna kilichotabiriwa ila ni lazima ingekuwa hvy.
Ha ha mwamposa kabebwa h
Sio na wewe nimshana kwa new ID!?
kama kwa akili ndogo tuu ya darasa la 3 B umeshindwa kujua kama mwaiposa hana kosa, bc mtoa mada ni mzigo wa taifa.

hakuna kilichotabiriwa ila ni lazima ingekuwa hvy.
Mwamposa kabebwa ndio mambo ya kafara
 
Hizi ndio akili tunazozitegemea kama taifa....kuchanganua mambo madogo tu hivi unategemea utabiri lol! Tutegemee zaidi wafuasi wa misukule kila wanapoibuka...
Kufanikiwa kwa taifa hili kunategemea sana kujitambua kwa watu wake..
Wacha muendelee kushikwa ufahamu tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huyo mtabiri mwamposa mbona kashindwa kutabiri watu watakufa yeye si ndio mtabiri.
 
Kosa lake ni kukimbia wakati watu wamekufa na kurudi badae

Sent using Jamii Forums mobile app


Kosa lake ni kufanya mauaji, yaani kuuandaa njia iliyosababisha mauaji-- hapo anatakiwa ajibu mashitaka ya "kuandaa mtego wa kufanyia mauaji ".na ndiyo maana alikimbia baada ya mtego wake kunasa.

Sasa ni jinsi atakavyojieleza kimazingira ndipo atapona au atakuwa na hatia,
 
Kwenye uzi huu povu ruksa sana


. Siko serious na tabiri za mshana hapa ni JF lakini haijawai tokea nabii anakimbia kambi. Tena nabii anaejiita wa Mungu aliyeumba dunia
 
Mi naamini katoa kafara roho 20.
Bushiri au major 1 watu kibao walikufa.
Tb joshua watu kibao.

Inaelekea Mwamposa anataka kuwa wa kimataifa sio level ya akina Upako, Suguye na Gwajima.

Subirini tutaona
Yule Kenge Kabebwa ile kesi
 
Mi naamini katoa kafara roho 20.
Bushiri au major 1 watu kibao walikufa.
Tb joshua watu kibao.

Inaelekea Mwamposa anataka kuwa wa kimataifa sio level ya akina Upako, Suguye na Gwajima.

Subirini tutaona
Yule Kenge Kabebwa ile kesi
Unaongea sana tena reference ya vitu usivyovijua!
Watch ur tongue!
Usiseme hukuambiwa,ushauri tu!
Km unafikiri kutoa kafara rahisi na wewe toa!
Na km hao ni fake ,we original tusaidie basi!
Kazi inapingwa na kazi sio maneno!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom