mwamposa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Huyu Mwamposa huwa anaachwa na Serikali ya CCM kwakuwa ni ‘chawa’ wao? Hadi Mahakama ipo kimya?

    Mtu anapata uthubutu wa kudai anaweza kukuombea hadi ukafutiwa kesi, tunaona ni sawa na mabango yanawekwa barabarani? Taifa letu ni kama halina uongozi. Wote Serikalini mnaona ni sawa hii? Tuweke matangazo similar to this mtaruhusu????
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nyuma ya pazia: Wanayopitia Waamini wanaofika kwa Mwamposa kwenye makongamano ya kidini

    Hufika Kawe wakiwa na matumaini ya kupata huduma za kiroho, na kwa wengi wao matumaini hayo hutimia. Lakini kwa baadhi, safari hiyo hubadilika na kuwa mapambano ya kutafuta malazi, chakula na nauli ya kurejea nyumbani. Ni katika mazingira hayo ndipo huibuka simulizi ambazo hazisikiki jukwaani...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa nini miujiza ya Mwamposa inapingwa na kudhihakiwa na watu wa Imani nyingine?

    Kwa nini Mwamposa na mitume wenzake wa kileo wanaonekana matapeli na waamini wa dini na madhehebu mengine wakati ukifuatilia katika historia ya dini zote kubwa mbili utakuta kuna historia ndefu ya miujiza ya ajabu sana iliyofanyika kupitia mitume katika Uislamu na Ukristo? Mifano michache...
  4. JamiiForums Tanzania Apata mimba ghafla akiwa madhabahuni kwa Mwamposa

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja amejikuta akipata mimba ghafla bin vuu akiwa madhabahuni kwa Mtume Boniface Mwamposa, maarufu kama Bulldozer. Bikira Mariamu alipata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu na kumzaa Yesu. Je, huyu mfuasi wa Mwamposa atamzaa Yesu wa pili? Hebu...
  5. JamiiForums Tanzania Ukitaka hela za haraka fungua kanisa kuna majinga mengi; kinachoendelea Kawe kwa Mwamposa kinasikitisha

    Ukiona watu wengi hivi ujuwe umasikini ni mkubwa sana, pia elimu ni duni katika jamii. Ibada za kijinga kabisa kuhusu miujiza, ni utapeli kutumia shida na ujinga wawatu kama fursa hadharani. Tungekuwa na Serikali inayojali, ingetafakari ni wananchi wa kiasi gani walio katika hali ya kukata...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa watu wameuziwa udongo kikombe Tsh 10,000 kwenye Mkesha Usiosahalika kwa Mwamposa

    Inadaiwa hapo ni kwa Mwamposa kwenye mkesha usiosahaulika, watu wamenunua udongo kikombe sh. 10,000. Kwani hii imeandikwa kwenye kitabu gani cha Biblia wakuu?
  7. JamiiForums Tanzania Mwamposa kila siku analalamika kifo cha mchina wa mabibo ila vifo vya watanzania hana habari nazo.

    Mkijua watu hawana habari na nyie kwanza niwafunue tu. Mwamposa siku yoyote ni kama bushiri yule aliyejipigia pesa south africa na kukimbilia malawi. Mwamposa uwezi kuona anauzunika na haya yanayoendelea ila ana lalamika kwa nini mchina mmoja kafa na ilitakiwa wapewe adhabu kali watuhumiwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu hawajifunzi! Alikuja Kakobe, akawatapeli akatajirika, akawatosa. Akaja T B Joshua. Leo amekuja Mwamposa, anawatapeli, bado hawajashituka!

    Wabongo mbona hatujifunzi na utapeli wa dini? Wanaibuka wahuni wanawapiga hela majitu yamezubaa. Leo Mwamposa anatangaza Keki ya Upako. Majitu yananua kwa bei kubwa kipande! Eti atapata mimba akila kipande hicho! Ndiyo maana ukombozi wa TANGANYIKA unakuwa mgumu kwa aina ya watu kama hao!
  9. JamiiForums Tanzania Mwamposa anawaaminisha Waumini wake wamtazame yeye kama Mkombozi, huku akiwatenga mbali na Yesu

    Moja ya kitu alichofanyikiwa Jamaa ni kuwaamnisha Waumini wake wajinga wajinga kua Uponyaji Wokovu Utajiri Kufanikiwa Ni Matokeo ya kutumia Mafuta, Udongo, Keki, na blah blaaah Jamaa hafundishi kua "YESU Alikuja DUNIANI, akafa msalabani, na Kwamba KIFO chake kilitangaza uhuru dhidi ya Dhambi...
  10. JamiiForums Tanzania Unajisikiaje au unapata picha gani unapotongozwa na mwanaume ambae anasali makanisa ya mitume na manabii haswa mwamposa na kuhani Musa

    Hello Hope mko salama.. Hii kitu inanikata sana unakutana na kijana mzuri tu ila unamuuliza anasali wapi anakwambia nasali kwa Mwamposa au nasali kwa Kuhani Musa.. Anyway sio mbaya kila mtu na imani yake ila kwa upande wangu sifurahishwi na wanaume wahumini wa makanisa hayo yanayo trend na...
  11. JamiiForums Tanzania Wenye Makanisa kama Mwamposa muwe macho na sadaka zenu

    KIJANA ANASWA AKIBA SADAKA KANISANI KWA KUTUMIA GUNDI KWENYE KIJITI JIJINI NAIROBI Mtaa wa Githurai 45 ulijaa kicheko na mshangao baada ya kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la ‘Kevo’ kunaswa akitekeleza wizi wa aina yake ndani ya kanisa la mtaa huo. Kevo, ambaye mara nyingi huonekana akiwa wa...
  12. JamiiForums Tanzania Waumini wa Mwamposa wakichota udongo uliokombolewa

    Waumini maelfu wakichota udongo uliokombolewa na Mtume Boniphace Mwamposa hapo jana Kawe kwenye Mkesha wa kumaliza mwaka.
  13. JamiiForums Tanzania Nasikia kwa Mwamposa leo hali si hali basi mwenye picha za mkesha wa mwamposa leo 19/12/2025 atuwekee hapa

    Mambo yasiwe mengi ni picha ama clip tu
  14. JamiiForums Tanzania Una Degree, Masters au PhD lakini unaamini hawa manabii wa Leo?

    Msomi uliyefikia kiwango hicho kama nilivyo taja juu na bado akili yako haijajua kupambanua nyeusi na nyeupe ni ipi wewe ni galasa Type1 Ni ajabu kwa kweli wafuasi wakubwa wa hawa manabii matapeli ni wasomi. Mfano unaambiwa waumini/washiriki wa makanisa ya wahuni masanja mkandamizaji na...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Viongozi wa Dini Mbalimbali wahudhuria uapisho wa Baraza jipya la mawaziri - Apostle Mwamposa na Maaskofu wengine walikuwepo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mawaziri pamoja na viongozi wa dini mara baada ya hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025. Kiongozi wa dini yako umemuona?
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwamposa kama ni Nabii wa Mungu wa kweli mbona alimuombea rais Samia na vurugu zikatokea?

    Nabii wa wa kweli kama Elia, Samwel na Elisha walikuwa wanakemea maovu. Utekaji, ufisadi kupendelea familia za watawala., Kama Mwamposa ni nabii wa kweli mbona aliomba na kumuwekea mikono Rais Samia lakini watanzania wamemkataa na kuleta vurugu? Nabii wa kweli hawezi kufumbia ufisadi...
  17. JamiiForums Tanzania Clemence Mwandambo amvaa Mwamposa amwambia maandamano uondoa utukufu wa watawala na si utukufu wa Mungu

    Clemence Mwandambo kupitia ukurasa wake wa Istagram amemjibu Boniface Mwambosa kwa kauli yake aliyoitoa kusema Maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu. Soma Pia: Mwamposa: Maandamano yanaharibu Utukufu wa Mungu Licha mimi siungi mkono maandamano lakini mimi nipo na Mwamposa anaposema Maandamano...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwamposa aambiwe ukweli kuwa maandamano si dhambi mbele za Mungu

    Mwamposa amesema maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu! Nina uhakika Mwamposa hata Bibilia hasomi kama tunavyojua wote wenye akili timamu kwa pamoja wetu kuwa huyu Mwamposa ni Tapeli. Kwenye agano la kale tunasoma wana Waisraeli (Musa&Haruni)walimfuata mara kadhaa farao awape ruhusa waende...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Kati ya Nabii wako Mwamposa na Tundu Lissu, nani anayeyaishi mafundisho ya Yesu?

    Hauwezi kuwa mkristo halafu wakati huo huo ukawa mshabiki wa Rais @SuluhuSamia , NEVER. Nasema hivi kwa sababu kuwa mkristo ni kuamini na kufuata aliyoyatenda na kuyaishi Yesu Kristo. Yesu aliamini katika KWELI na aliisema KWELI mpaka ikamuingiza kaburini. Kupitia maneno yake na matendo yake...
  20. JamiiForums Tanzania Mwamposa ni mfanyabiashara kupitia kanisa lake na wala sio mtume kama wengine wanavyofahamu

    Naanza na hii ●kaingia mkataba na kampuninya ice drop kwamba awe anatumia maji yanayozalishwa kwenye kampuni hio kama majinya upako baada ya kuyaombea kwaio ice drop na A rise and sunshine ni trade partners Uthibitisho unajionesha wazi maana kuna logo ya ice drop na hio ya mwamposa A rise and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…